Kuna watu wapuuzi tu nchi hii! Nina classmate wangu pale ni daktari. Atakuwa sasa na miaka 20 kazini kama daktari. Huyu mwamba anahitimisha eti hakuna madaktari pale ni interns tu! Uongo huo!Mloganzila mbona Mimi nilihudumiwa kama mfalme mkuu??
Hosptal yangu pendwa Ile na.mwanafunzi akikuhudumia lazima awe na daktari bingwa hapo pembeni .sijawai kuona mwanafunzi akiwa mwenyewe pale.pole kwa yaliyokukuta.
Nchi gani hiyo?baadhi ya Mahospitali mengi kwa sasa wagonjwa wanahudumiwa na interns bila usimamizi au uangalizi ni hatari kwa wagonjwa. lets follow medical proffessional ethics
Hakuna taasisi ya serikali yenye huduma nzuri,tena mahospitari ndio kabisa, upuuzi mtupu,Habari,
Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila πππππππ.
Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo.
Mashine zao ni mbovu, manesi na wauguzi wanachukua muda sana kumtembelea mgonjwa, hawajali kabisa, wana majibu mepesi sana kwenye maswali magumu.
Amana ina huduma mbovu sana, Mloganzila ina huduma mbovu sana sana, samahani kwa unandishi mbovu, nimempoteza mama yangu mzazi kwa huduma mbovu za hospitali zote hizo.
Kama unampenda ndugu yako, sikushauri kumpeleka huko.
Mloganzila kutwa kucha kijisifu tunaondoa mara uvimbe kwenye ubongo, na blah blah kibao, hakuna kitu pale!
Surgery ndogo wameshindwa kunmfanyia mama yangu na kunipa jibu fupi kwamba haiwezekani, kesho yake daktari mwengine wa zamu (mwanafunzi intern), ananambia nisubiri Jumatatu anakuja neurosurgeon, sasa huyo surgeon wa nini ilihali dokta (intern) wa zamu wa mwanzo kaniambia surgery haiwezekani?
Interns mmoja anachezea simu, mama yuko chumba cha X-Ray, yeye yupo nje ya chumba busy na simu, mwenziwe anamuita, njoo huku, mpaka kamfuata na kumvuta kwa nguvu arudi kwa X-Ray Room, yeye bado yuko busy na simu!
Serikali inafumbia macho haya malalamiko kwa miaka sasa mingi, wagonjwa wakiendelea kufa kwa uzembe mdogo mdogo.
Hospitali ya Amana, kidude cha IV ilitoka kwenye mkono, damu ilitoka nyingi sana, kitanda kilitapakaa damu mpaka mgongoni, hakuna dokta aliyeona na kujali ila mimi nikiwa mbali niliona na kuwaambia πππππ , nilibaki kulia sana, umasikini mbaya sana
Usimpeleke mgonjwa wako huko.
Narudi tena, Usimpeleke mgonjwa wako huko.
Ahsante.
Siku zote wanasema ukipelekwa Mlogazila aga kabisa majirani zako.Habari,

Hili tatizo ni kubwa na lipo KCMC,BUGANDO NA MUHIMBILIHabari,

Udakitari sasa umerahisishwa, kila dakitari ana kompyuta mpakato kwa ajili ya kugugoo na kutoa tiba.Pole mkuu. saivi hata muhimbili mwendo ni uouo full interns. usipokaa sawa umeleta shida ya mguu wenzio wanang'ang'ana kukagua kichwa. ukitaka madaktari nguli hadi uwafate kwenye vilinge vyao.
Mloganzila ni Deathrowπ kule unapelekwa ukaishilie tu.Kuna jamaa fulani alienda muhimbili akaambiwa main sijui smyamefanyaje na figo yule jamaa ni mlevi pombe kali kupindukia, alikuwa mahututi bana akaambiwa anapeea transfer to mloganzila unafikiri alikubali na kupona alipona pale pale saiv yupo kitaa anadunda asee watu tulishangaa sana
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³Huduma za Mloganzila zipo vizuri sana kwa sasa. Labda unaongelea miaka mitano iliyopita
Alilipia hicho kipimo?na mbona wale manurse huwa wako vizuri Sana kushusha wagonjwa kwenye vipimo jamani??Kuna mdogo wangu alilazwa pale aliandikiwa kwenda kufanyiwa kipimo cha MRI mpaka anafariki hakufanyiwa hicho kipimo kisa hakuna wa kumpeleka kwenye hiyo machine,labda useme wewe una mtu wa kukushika mkono
Labda ww ni pisi kali. Pisi popote zinahudumiwa vizuri sanaSina hadhi yoyote mkuu.