George Charles007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2024
- 217
- 337
Mloga yaani anayeloga, nzila yaani njia. Unaweza kutafsiri kama "anayeloga njia"Mloga nzila....(Machinjioni)
Yaani ungeenda kujifungua ungefurahi mwenyewe.wana level za aghakhanKuna ndugu yangu mmoja anafanya kazi Mloganzila aliniambia nikajifungue kule nilikataa nikamuambia kuna huduma mbaya watu wanakufa akaniambia shida moja wagonjwa wengi ni wa rufaa unakuta mpaka analetwa Mloganzila kashakuwa hali mbaya hawaletwi hali nzuri wnaapoteza maisha lawama kwetu sababu wanaletww critical condition.
Sina uspecial wowote mkuu.ile ni hosptal kubwa Wana vifaa na madaktari bingwa WA kutosha.ukifa pale ni mipango ya Mungu hakuna uzembeLabda ww ni pisi kali. Pisi popote zinahudumiwa vizuri sana
Sasa wanafunzi watajifunzaje??Kwa mloga kwa kuwa ni teaching hospital siwezi kushangaa sasa muhimbili usiku asilimia kubwa unakuta wanabaki intern nimewahi kushuhudia dogo anapiga sim kwa chief anamwambia hii issue ni ngumu anataka ushauri.
Ni kweli kabisa mchana haina shida ila usiku wanapobaki peke yao sometime inakuwa sio sawa umewahi kulazwa muhimbili ukaona kinachoendelea wakati wa usiku.Sasa wanafunzi watajifunzaje??
Ila mimi nilichooona ukiingia kwa daktari.daktari anakuwepo na mwanafunzi au wanafunzi wawili wako nae pembeni.kuna ubaya gani? Na wodini madaktari wanakuja mara kwa mara.wale wanafunzi wanaweza kupita Tu ila mwenye maamuzi ni daktari bingwa.na wale wanafunzi me naona wanasaidia Sana kuliko mgonjwa ungeachwa Peke yako
Sio kweli mkuu.pale wanapokea wagonjwa wengi mahututi kabisa .inakuwa ngumu kupona.ila uliwahi wako vizuri mnoPole sana mkuu Kuna rafiki yangu aliwahi kunambia kama nataka mgonjwa wangu afariki haraka basi nimpeleke Mloganzila
Kipindi hiki nitaenda mwenyewe kuangalia huduma zaoSio kweli mkuu.pale wanapokea wagonjwa wengi mahututi kabisa .inakuwa ngumu kupona.ila uliwahi wako vizuri mno
Mimi nilimpeleka mama pale MRI ilichukua siku tatu MRI mbovu ilipokuja kuwa sawa na kupimwa daktari wa kusoma hayupo na hata majibu yalipotoka na yalivyosomwa na kuambiwa arudi tena kwa ajili ya clinic majibu hayakuonekana wala hawakuwa na taarifa kuwa warudi. Mgonjwa wangu alikuwa na stroke analalamika kichwa kinamuuma hakuna nesi wala daktari anayefanya kitu , unawafuata unawaambi hawatake any action , inabidi sasa kumfuata umsimamie ampe dawa za maumivu. Hiyo hospitali inashida kubwaKuna mdogo wangu alilazwa pale aliandikiwa kwenda kufanyiwa kipimo cha MRI mpaka anafariki hakufanyiwa hicho kipimo kisa hakuna wa kumpeleka kwenye hiyo machine,labda useme wewe una mtu wa kukushika mkono