Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Copro mtego

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
619
Reaction score
796
Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting.

Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma.

Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania

 
Ndio inaongoza Kwa kulalamikiwa
 
Ndio hata mishahara yao ipo vizuri usilinganishe na huku local government. Kupandishwq daraja tu lazima upambane haswa
 
Ni kweli usemayo. Nishawahi muuguza mgonjwa wangu hapo. Mgonjwa wangu alishakaa muhimbili akaniambia hajaona hospitali yenye huduma nzuri kama mloganzila. Mwanzo tuliogopa kutokana na maneno ya watu lakini baada ya kufika tukashangaa kwanini tulichelewa kufika hapo.
 
Maneno ya watu bwana kuna time ynaweza kukupoteza kabisa. Japo ni muhim kusikiliza ushauri
 
Utashaangaa watu wanabishana na ww mwenye experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…