Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
- Thread starter
- #41
Nan anawaharubu si wanatengenezwaWanatuharibia dada zetu siku hizi wadada karibu wote shape zao zinafanana.
Kwan hiyo pesa ya operation wanayo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan anawaharubu si wanatengenezwaWanatuharibia dada zetu siku hizi wadada karibu wote shape zao zinafanana.
Hospital gan kubwa dunian haina wanafunzimachinjioni hapo
hospitali ya kipumbavu hiyo imejaa wanafunzi
Hongera,ulikuwa na hela au someone who knows you.Binafsi nimekua admitted pale x 2. Huduma niliyoipata Ni nzuri Sana, kila asubuhi saa tatu mpaka sita Kuna jopo la madaktari wasiopungua watano wanaokuja kunihudumia ikiwa Ni pamoja na mbobezi 1, Prof 1. Resident wa ward, intern 1 na labda mwanafunzi mmoja.
Aisee pale hawabahatishi.
Wagonjwa wanaokufa Mloganzila Ni walioshindikana hosp zote za Dar ikiwa Ni pamoja za private na za mkoa wa Pwani. Na wengi wanakua wamefia kwenye ambulance Ila anayetangaza kwamba wamevuta Ni daktari wa Mloganzila ndio maana watu wanahisi wamefia Mloganzila.
nilipeleka mgonjwa Ijumaa, wanafunzi wa intern ndiyo walikuwa wanampa huduma ya kwanzaMbona wengi wanaopelekwa hapo huwa hawatoboi? Unalizungumziaje hilo ndugu msemaji?
Udom na St John's hakuna kozi ya medicine wewe,pia St.Francis Wana hospital Yao huko huko Ifakara.Wanaosoma UDOM, St Francis, St John's wanafanya wap practice?
Bado wa diploma za nursing na Co unahisi wanafanya wap practice?
Una sifia kitu gani au na wewe ni chawa?kwa nini viongozi wakipata maradhi wana kimbilia inje ya inchi na wengine wanaenda inchi jirani ya Kenya, kama kweli kuna ubora huo. Tupunguze uchawa safari bado ni ndefu sana.Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting.
Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma.
Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania
View attachment 3050574
Rudia tena UDOM hawana cozi ya udaktar na uuguzi? Jamaa ww chenga sanaUdom na St John's hakuna kozi ya medicine wewe,pia St.Francis Wana hospital Yao huko huko Ifakara.
Pia nimesema tofautisha interns wanaopangwa huko na teaching hospital ni vitu viwili tofauti.
Acha uongo bna nan alikuambia intern anafanya kazi bila supervisor unalazimisha kueleweka tu hamna lolotenilipeleka mgonjwa Ijumaa, wanafunzi wa intern ndiyo walikuwa wanampa huduma ya kwanza
kuwauliza doctor(ambaye si mwanafunzi) yuko wapi wakajibu atakuja JumaNne
Jumamosi jioni mgonjwa anafariki
hakuna matibabu pale, kinachotolewa na wale interns ni huduma ya kwanza tu
Nilisikia ukipelekwa hapo haurudi ukiwa Mzima au ndio Siasa unazozisema?Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania
Si mnasema pale ni wanafunzi ndo maana wagonjwa wanafariki? Sasa kama hawajui kutibu hata ukiwapa pesa wataweza?Hongera,ulikuwa na hela au someone who knows you.
Babu Ubaya ubwela huu Mchezo hauujuiAcha uongo bna nan alikuambia intern anafanya kazi bila supervisor unalazimisha kueleweka tu hamna lolote
Utarudi ukiwa Maiti maana mpaka Maiti wanataka wazifanyie majaribio zinaonekanajeSi mnasema pale ni wanafunzi ndo maana wagonjwa wanafariki? Sasa kama hawajui kutibu hata ukiwapa pesa wataweza?
Unalazimisha tu kulalamika
Alipangiwa Wapi VIP room? Maana unaweza ukawa unasemasema tu wenzio wanaosota kwenye Meli ya Kijeshi ya waChina kule hawajui Mloganzila ilipo?Ni kweli usemayo. Nishawahi muuguza mgonjwa wangu hapo. Mgonjwa wangu alishakaa muhimbili akaniambia hajaona hospitali yenye huduma nzuri kama mloganzila. Mwanzo tuliogopa kutokana na maneno ya watu lakini baada ya kufika tukashangaa kwanini tulichelewa kufika hapo.
ilichafuliwa sana hasa kipindi kile cha COVIDNilisikia ukipelekwa hapo haurudi ukiwa Mzima au ndio Siasa unazozisema?
Kwamba ukienda pale Kifo Mkononi, Mimi sio Mloganzila tu hospital yoyote nikienda nikiona Dokta na Manesi hawanipetipeti najua hapa Muda wowote nakufa Hawa wataishia kuniangalia tu hivi mwisho wanifunike lile shuka la blue au Jeupeilichafuliwa sana hasa kipindi kile cha COVID
JESUS IS LORD&SAVIOR
Jamaa gani unawazungumzia Mloganzila?Sjafika hospital ya serikali Kwa Zaid ya miaka 20 .
Natibiwa Agha khan Zaid.
Hawa jamaa ni Bora sana
Kwenye pesa wanakuja Walimu waoSi mnasema pale ni wanafunzi ndo maana wagonjwa wanafariki? Sasa kama hawajui kutibu hata ukiwapa pesa wataweza?
Unalazimisha tu kulalamika
Hata hivyo si imejengwa hivi karibuni? itashangaza kama itakosa sifa hizo ulizozitaja.Wagonjwa wengi wanaenda pale wakiwa kwenye last stages za maisha, kosa sio la wahudumu...hospitali nyingi za private wakishaona huu mzigo hautoboi wanampa rufaa, mtu anaenda pale ameshafikia hatua za mwisho kabisa unategemea atoboe au kosa liwe kwa nani.
Mloga ni moja ya hispitali bora kabisa kuanzia design yake, space, facilities nk.