Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Wagonjwa wengi wanaenda pale wakiwa kwenye last stages za maisha, kosa sio la wahudumu...hospitali nyingi za private wakishaona huu mzigo hautoboi wanampa rufaa, mtu anaenda pale ameshafikia hatua za mwisho kabisa unategemea atoboe au kosa liwe kwa nani.

Mloga ni moja ya hispitali bora kabisa kuanzia design yake, space, facilities nk.
Wanapelekwa hapo wakiamini watakutana na mabingwa kumbe ni tofauti wanaenda kukutana na wanafunzi ambao wapo lab kwa hio ikifika mtu IPO dhofurihali wanaiona km Maiti fulani hivi imefika kwenye mafriji ya mochwari kiufupi wale wanafunzi wamekula Mafunzo ya kukaa mochwari zaidi kuliko kuokoa Uhai wa watu
 
Kwamba ukienda pale Kifo Mkononi, Mimi sio Mloganzila tu hospital yoyote nikienda nikiona Dokta na Manesi hawanipetipeti najua hapa Muda wowote nakufa Hawa wataishia kuniangalia tu hivi mwisho wanifunike lile shuka la blue au Jeupe
kukupetipeti, how
 
Sasa unaingia hospital unachukuliwa km Paka fulani hivi anavizia Mifupa ya supu za walevi wa Bar hio hapana
ilishawahi kunitokea kwenye ka kituo ka afya mahala flani huko maporini. Nilikuwa admitted saa mbili asubuhi, ilipofika saa kumi jioni niliomba kuondoka
 
kina Mwamposa hawawezi kunipata bro, kwa vyovyote vile! Bora kupata huduma mbovu kuliko kutapeliwa mchana kweupe!
Hauchinji Mbuzi au Kuku kuweka mambo sawa, niliwahi kwenda hospital Dokta akaniambia waziwazi Dawa hii nikikupa usipopona uje nikupeleke kwa Mitume na Manabii ukaombewe
 
Watu Huwa wanasema ukipewa rufaa ya kwenda mloganzila ujue unaenda ku r.i.p kumbe ni uongo?
 
Sijawahi kuhudumia Mloganzila, ila naweza kuwatetea.

Kwanza, tunapaswa kujua Mloganzila ni Referral hospital. Ambayo huwadumia wagonjwa very serious. Wagonjwa ambao ni nusu hai nusu maiti.

Mgonjwa kapelekwa Aga Khan, wamekaa naye, wakishaona sasa hapa ni kasheshe wanaandika rufaa. Mgonjwa akifia huko basi Mloganzila ndiyo wamemuua.

Pili, tunapaswa kupima kiwango cha vifo kulingana na idadi ya wanaohudumiwa. Ile ni hospital kubwa, ikiwahudumia wagonjwa wengi. Mfano ikiwahudumia wagonjwa 1,000 kisha kati yao 20 wakafariki basi ina maana mortality rate yao ni 2%.

Lakini hospital nyingine ina wagonjwa 100. Wakafariki 5, maana yake ina mortality rate ya asilimia 5.

Kwa macho ya kawaida, Hospital iliyowapoteza wagonjwa 20 inapata sifa mbaya zaidi ya hospital iliyopoteza wagonjwa 5. Watahadithiana, 'kwa macho yangu nimeona maiti 20 kwa leo tu'.

Habari ile inatapakaa na kuleta sifa yenye uongo ndani yake.

Lakini pia, hospital za rufaa taarifa zake zimenyooka. Zinakuwa accessible muda wote, zikiwa za kweli bila kuedit kwa malengo kibiashara.

Si hilo tu, mara nyingi sana hospital za rufaa huteuliwa kuwa vituo vya magonjwa ya mlipuko. Mfano nyakati zile za COVID.

Dunia nzima kulishuhudiwa maelfu na malaki ya watu waliofariki. Ambao idadi ya waliosurvive kwa serious cases ilikuwa ndogo.

Sasa ile perception watu wanabaki nayo. Sawa, lakini isingeliwezekana kuwaokoa watu wote wale kwa gonjwa jipya na hatari.
 
Binafsi nimekua admitted pale x 2. Huduma niliyoipata Ni nzuri Sana, kila asubuhi saa tatu mpaka sita Kuna jopo la madaktari wasiopungua watano wanaokuja kunihudumia ikiwa Ni pamoja na mbobezi 1, Prof 1. Resident wa ward, intern 1 na labda mwanafunzi mmoja.
Aisee pale hawabahatishi.
Wagonjwa wanaokufa Mloganzila Ni walioshindikana hosp zote za Dar ikiwa Ni pamoja za private na za mkoa wa Pwani. Na wengi wanakua wamefia kwenye ambulance Ila anayetangaza kwamba wamevuta Ni daktari wa Mloganzila ndio maana watu wanahisi wamefia Mloganzila.
Hilo jopo la wataalam 5 mpaka wabobezi, walikuwa wa nakuja kukuhudumia kila siku mkuu?
 
Hospital gan kubwa dunian haina wanafunzi
Tofauti na za hapa kwetu huko ulaya, kama kuna wanafunzi huwa wana tambulishwa kwako Mgonjwa. Na wanaomba ruhusa toka kwako kama uko radhi wa naweza kushiriki kukupa huduma, ukisema no wanaondolewa.
 
Back
Top Bottom