Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Ndio inaongoza Kwa kulalamikiwa
Wagonjwa wengi wanaenda pale wakiwa kwenye last stages za maisha, kosa sio la wahudumu...hospitali nyingi za private wakishaona huu mzigo hautoboi wanampa rufaa, mtu anaenda pale ameshafikia hatua za mwisho kabisa unategemea atoboe au kosa liwe kwa nani.

Mloga ni moja ya hispitali bora kabisa kuanzia design yake, space, facilities nk.
 
ChoiceVariable unaonekana hujawahi kufika Mloganzila, unaropoka tu Kama chawa wengine.
Mloganzila is a world class hospital.
Hata Aga Khan wakasome.
Sina Mpango wa kufika kama mgonjwa labda itokee vinginevyo ila naionaga tuu.

World class hospital ni Huduma.Hiyo ndio hospital inaongoza kulalamikiwa hapa Tanzania na wanasema Ukiwa admitted hapo uko half dead.
 
Naomba mfano wa teaching hospital na ambayo sio maalum kwa kufundishia
Na mloganzila iko upande
Benjamin Mkapa Dodoma ni ya kifundishia? Kuna Chuo au kozi ya matibabau pale?

Sana sana wanakuja field tuu za wale ma interns ndio maana Haina cases za hovyo kama hizo za Mlonganzila
 
Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting.

Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma.

Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania

View attachment 3050574
Mbona wengi wanaopelekwa hapo huwa hawatoboi? Unalizungumziaje hilo ndugu msemaji?
 
machinjioni hapo
hospitali ya kipumbavu hiyo imejaa wanafunzi
 
Wagonjwa wengi wanaenda pale wakiwa kwenye last stages za maisha, kosa sio la wahudumu...hospitali nyingi za private wakishaona huu mzigo hautoboi wanampa rufaa, mtu anaenda pale ameshafikia hatua za mwisho kabisa unategemea atoboe au kosa liwe kwa nani.

Mloga ni moja ya hispitali bora kabisa kuanzia design yake, space, facilities nk.
Nina furaha watu wana uelewa mkubwa kwenye hili
Cha kushangaza watu wengine watabisha
 
Sina Mpango wa kufika kama mgonjwa labda itokee vinginevyo ila naionaga tuu.

World class hospital ni Huduma.Hiyo ndio hospital inaongoza kulalamikiwa hapa Tanzania na wanasema Ukiwa admitted hapo uko half dead.
Wanasema na ww unaamini ila wakisema huduma n nzuri huamini na unajua uongo ndo huenea zaid ya ukweli nahis umeshaelewa
 
Benjamin Mkapa Dodoma ni ya kifundishia? Kuna Chuo au kozi ya matibabau pale?

Sana sana wanakuja field tuu za wale ma interns ndio maana Haina cases za hovyo kama hizo za Mlonganzila
Wanaosoma UDOM, St Francis, St John's wanafanya wap practice?
Bado wa diploma za nursing na Co unahisi wanafanya wap practice?
 
Sina Mpango wa kufika kama mgonjwa labda itokee vinginevyo ila naionaga tuu.

World class hospital ni Huduma.Hiyo ndio hospital inaongoza kulalamikiwa hapa Tanzania na wanasema Ukiwa admitted hapo uko half dead.
Binafsi nimekua admitted pale x 2. Huduma niliyoipata Ni nzuri Sana, kila asubuhi saa tatu mpaka sita Kuna jopo la madaktari wasiopungua watano wanaokuja kunihudumia ikiwa Ni pamoja na mbobezi 1, Prof 1. Resident wa ward, intern 1 na labda mwanafunzi mmoja.
Aisee pale hawabahatishi.
Wagonjwa wanaokufa Mloganzila Ni walioshindikana hosp zote za Dar ikiwa Ni pamoja za private na za mkoa wa Pwani. Na wengi wanakua wamefia kwenye ambulance Ila anayetangaza kwamba wamevuta Ni daktari wa Mloganzila ndio maana watu wanahisi wamefia Mloganzila.
 
Back
Top Bottom