Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Tatizo hospitali zetu za serikali watumishi wanawaacha wanafunzi na interns kutoa huduma bila usimamizi.
Ndo umejibu swali hivo?
Maana naona mnakazia wanafunzi kwan huyo specialist hakuwa mwanafunzi? Alijiaje kama haku practice
 
Ukitaka uifaidi mloganzila uwe unaumwa magonjwa mepesi yasiyo na complications.
 
Watu Wanakufa pale balaa.Ingawa Vifo ni kawaida ila watu waliotibiwa pale wanasema shida pale ni Ma Intern Wengi
 
Watu Wanakufa pale balaa.Ingawa Vifo ni kawaida ila watu waliotibiwa pale wanasema shida pale ni Ma Intern Wengi
Idadi ya intern waliopo pale ni ndogo kuliko idadi ya intern walioko muhimbili
Na idadi ya intern waliopo mloganzila inazidi idadi ya intern waliopo agha Khan kwa watu watano tu
Unataka kusema hii kashfa ipo mpaka agha Khan?
Elewa neno siasa
 
Idadi ya intern waliopo pale ni ndogo kuliko idadi ya intern walioko muhimbili
Na idadi ya intern waliopo mloganzila inazidi id Kwa Ufupi adi ya intern waliopo agha Khan kwa watu watano tu
Unataka kusema hii kashfa ipo mpaka agha Khan?
Elewa neno siasa
Agakan Hawana madaktari wamejaza vijana wadogo woa wanachofanya ni usafi wanafanya ukifika unadhani wanajua kumbe usafi wa jengo. Kwa ufupi tiba TZ ni janga.
 
Agakan Hawana madaktari wamejaza vijana wadogo woa wanachofanya ni usafi wanafanya ukifika unadhani wanajua kumbe usafi wa jengo. Kwa ufupi tiba TZ ni janga.
Na watu ndo wanasema kuna huduma nzuri nawahakikushia wakizidiwa wanawapa rufaa kuja muhimbili hawataki lawama wale
 
Madaktari wao hawapo serious kulinganisha na muhimbili..
Madaktari wa upanga ndio wale wale wa Muhimbili Mloganzila. Ndio maana kwenye klinik utasikia akikuambia njoo siku Fulani na Fulani nyingine hizo nitakua upanga.
 
Mpeleke ndugu yako alafu uje na hiyo mada
Mzee vifaa vilivyopo hapo hakuna private hospital yoyote Tanzania vinavweza kuwa navyo

Madaktari wengi ni specialist na sio physician kama tunavyodhani

Hizo unazosikia ni siasa mzee, Mimi napeleka ndugu zangu pale Mara nyingi

Huwezi fananisha huduma za Mloganzila na hospital coyote unayoijua wewe
 
Ndio inaongoza Kwa kulalamikiwa
Hizo propaganda za private hospital

Hata hivyo ile ni hospital ya rufaa uwezi ukafananisha na hizo hospital zinazotibu UTI kama kitengule, regency, rabinsia etc

Ambazo Daktari Dingwall mpaka atoke Mloganzila ndio ukamuone
 
Back
Top Bottom