Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuwa flat sasa, itakuwa ni ubahili wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje?
Watanipata kwenye facelift, nataka nibadilike kabisaaaaa hadi sauti dadeki
Huwa amini? 😀😀😀madaktari ni wabongo?
I totally feel you mkuu!!Nataka niwe mtu mwingine kabisa halafu nikaishi sehemu mpya nianze kila kitu kipya,
You feel me?
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua zikitokewa hospitalini hapo ni pamoja na kuongeza/kupunguza matiti, kuongeza hips, kuongeza makalio, kurekebisha sura (facelift), kutengeneza shingo, na kadhalika.
Gharama za upasuaji huo ni kati ya shilingi za Kitanzania Milioni 9 hadi Milioni 24 kutegemea na ukubwa na aina ya upasuaji. Jedwali hapa chini linaonyesha gharama hizo kwa aina mbalimbali za upasuaji huu.
Awali, wahitaji wa aina hizi za upasuaji walikua wanalazimika kwenda Uturuki, India na nchi zingine za Asia ya kati kwa ajili ya huduma hizi. Kutokana na ujio wa huduma hizi Mloganzila, kutakua hakuna tena haja ya kwenda Uturuki, kwani sasa huduma imesogezwa karibu.
Kwa sasa gharama hizi haziwi covered na bima ya NHIF.
Changamkieni fursa Watanzania.
View attachment 2593082
Watoto wenye Brazillian butt lift, bubble but, na kadhalika😅Habari njema ,TZ itakuwa na watoto wazuri kama USA.
Daaaahhhhhh😂😂😂Hapo kwenye pua Baba levo aende haraka maana pua yake imekaa kama tairi iloishiwa upepo
Nitaenda nae ili Wakiyapunguza yangu wamwekee yeyeSasa si mbadilishane tu na Evelyn Salt
Kunyonyesha watu wazima?Ili aweze kunyonyesha zaidi...
Mi ntapunguza😶Nitaongeza manyonyo
Yaani nimecheka hadi machozi...we dogo wewe dah😆😆Eeh ni wa wakwetu wanatumia tutorial za YouTube
Naona rand hapo ya m South Africa sasa nashangaa inahusukaje au madaktari (foreman) ni wasauzi wasaidizi wakibongoHospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua zikitokewa hospitalini hapo ni pamoja na kuongeza/kupunguza matiti, kuongeza hips, kuongeza makalio, kurekebisha sura (facelift), kutengeneza shingo, na kadhalika.
Gharama za upasuaji huo ni kati ya shilingi za Kitanzania Milioni 9 hadi Milioni 24 kutegemea na ukubwa na aina ya upasuaji. Jedwali hapa chini linaonyesha gharama hizo kwa aina mbalimbali za upasuaji huu.
Awali, wahitaji wa aina hizi za upasuaji walikua wanalazimika kwenda Uturuki, India na nchi zingine za Asia ya kati kwa ajili ya huduma hizi. Kutokana na ujio wa huduma hizi Mloganzila, kutakua hakuna tena haja ya kwenda Uturuki, kwani sasa huduma imesogezwa karibu.
Kwa sasa gharama hizi haziwi covered na bima ya NHIF.
Changamkieni fursa Watanzania.
View attachment 2593082
Kunyonyesha watu wazima?
Yaongeze, au Mr hayapendi?Mi ntapunguza😶
Kuwavutia Wasauzi waje kufanyia hizo surgery hapo... Sauzi kuna uhitaji mkubwa sana wa hizi mambo.Naona rand hapo ya m South Africa sasa nashangaa inahusukaje au madaktari (foreman) ni wasauzi wasaidizi wakibongo