Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

Aloooooo huu mdude piga kavu kavu ndyo raha maee [emoji39][emoji39][emoji39]
Waongeze tu...
dss.jpg
 
Kuna hospital fulani hivi iko huko kaskazini miaka kama 8 iliyopita, unavuka mbuga za wanyama, kwenye ubao wao wa matangazo walikuwa wakitoa hizo huduma kwa oder maalumu, ila wataalamu walikuwa wakitoka nje
 
Inaonekana hiyo Klinic amekodishiwa Msauzi na ndo mana anataka lipwa kama vile yupo Sauz kwa Rands, India bado ni cheap japo ni risk pia. Kwa Msauz kufanya hii huduma hapa Tanzania ni powa kabisa maana jamaa kwa Ubora na umakini wa Kazi wapo vizuri
Kuna madaktari wa Tanzania pale Muhimbili wamefundishwa kwa kukomolewa, wachache wanaobahatika kupata alama za kuendelea wakienda South Africa wanajikuta ni kama walikuwa wanacheza chuoni. Ukiona mtu kaenda reputed university nchini South Africa ujue anajiamini, otherwise ni kina unanijua mimi ni nani hawa wanaenda India kusoma The Amazon College za kule.

Na hii plastic surgery kuna daktari mmoja bingwa hapa mjini namjua anaifanya, hasa ya kupunguza maziwa. Ni Mzanzibari
 
Hawa mpaka wamefikia hapo hata VIKOJOLEO watabadilisha huu ni mpango mkakati na si wa bahati mbaya
 
Aroo poti, kwa hii habari tutapigwa mizinga mno ya sajari
 
Back
Top Bottom