Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa nje mpaka muda uishe.
Hapo chini ni wodi ya MOI wahusika tusaidieni iwe kama zamani ili tupate kuona wagonjwa wetu
Hapo chini ni wodi ya MOI wahusika tusaidieni iwe kama zamani ili tupate kuona wagonjwa wetu