Hospitali ya Muhimbili mnatuchosha

Hospitali ya Muhimbili mnatuchosha

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
4,761
Reaction score
4,926
Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa nje mpaka muda uishe.

Hapo chini ni wodi ya MOI wahusika tusaidieni iwe kama zamani ili tupate kuona wagonjwa wetu

IMG-20200705-WA0000.jpeg
 
Subirini kwanza Korona iishe kabisa. Mtawapelekea wagonjwa Korona bure...
 
Back
Top Bottom