Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Hii hospitali inayoitwa Dr mzena iko wapi na inamilikiwa na nani na huyo Dr mzena ninani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani?
Huyo ni mfugale wa zama hizo, according to mwana jf mmoja
 
Tunaomba ajira basi jamani uzoefu wooote huu tulio nao unateketea wabafaidu wazungu tu
 
Ni hospitali muhimu kwa viongozi wa kitaifa ..

Pia kwa usalama wa taifa , wao na watoto wao

Imepewa jina hilo , kuenzi kazi kubwa aliyofanya mzee kuijenga taasisi ya usalama wa taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee alikuwa mnoko hadi hospitali ikapewa jina lake.

Wahehe na wakurya ndio waliotibua mapinduzi ya Mwl. Nyerere. Sasa adhabu yao watakufa maskini.
 
Ndio iko pale ukipita barabarani unaona getini askari wenye nguo za mabakamabaka....
 
Wanabodi habarini za masiku tele

Ninaomba kujuzwa Mzena Hospital iko wapi, inamilikiwa na nani na inahudumia watu wenye magonjwa yepi zaidi

Je nitaasis ya serikali?
We Bwana wewe!! Shauri yako.
 
Back
Top Bottom