Sio tunarudi kwa majizi na walanguzi?
Hayo malanguzi.. mkuu yapo na yalikuwepo.pia yatakuwepo tu popote Duniani tangu zama!!!
Jua!! Yalianzia mbinguni.
yaani shetani na kundile dhidi ya utawala wa Mungu Baba alicho kipata huyu kaka mkubwa kila mtu anajua humu!!!
ukilijua hili mbona utaishi kwa amani sana.
fikiria tu, hata Yesu mwana wa Mungu alihujumiwa na mtu wa karibu mno!!!,why not mbongo??
Ukiwaza sana na eti kukomesha hii hali ya majizi na malanguzi !! Heee!!! utaletewa kifo mazimaaaa! Km sokoine alivo restishwa in peace !! Na sasa angalia jiwe ka rest in peace kimasihara sana!!
Tena via na hao hao!!! wanaomshangilia, hakujua kwamba hilo ni kundi hatare richa ya kuonywa mara kadhaa!!!
wapinzani mahasimuu wake.walaaa!! Hawajui kitu.
Elewa binadamu tuko tofauti sana Hawa wapinzani Kwa mheshimiwa mstaaf Jakaya ndo walikuwa rafiki zake wa karbu!! Ikulu km kawa kula na kunyw kujuliana hali enzI zake.
Lkn huyu..... Pwiiii!! Alikosa mbili tatu nyingiii hata za kumuokoa nafsi!
Lkn pia kuna la kujifunza haoa "Ubaya jamani haulipi" hata ufanyeje ndo Mungu ameamua hivo hkn kupinga.naomba sana watanzania wajifunze!!!