barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Haitoi huduma kwa yeyote hata uwe na pesa zako.Malizia maswali, iko wapi na inamilikiwa na nani?
Inatibu viongozi tu wa kitaifa na usalama na familia zao? Au mtu yoyote anakuwa admitted? Toa location tukapime malaria hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona Mkuu!!! manabii tumo humu humu ila kibri cha uzima kinawafanya watudharau.
lugalo hawaitaki tena.?,, ni ya mageneral wa jeshi na wananchi?,auHaitoi huduma kwa yeyote hata uwe na pesa zako.
ni kwa ajili ya viongozi wa juu wa serikali na wastaafu wakuu kama waziri mkuu, makamu wa rais na maafisa wa usalama wa taifa.
Bado nastaajabu tutabirie Basi baada ya hili nchi itakuwaje?Unaona Mkuu!!! manabii tumo humu humu ila kibri cha uzima kinawafanya watudharau.
yaaani best we acha tu ila kwa sasa nchi itatuliaBado nastaajabu tutabirie Basi baada ya hili nchi itakuwaje?
Sio tunarudi kwa majizi na walanguzi?yaaani best we acha tu ila kwa sasa nchi itatulia
Hayo malanguzi.. mkuu yapo na yalikuwepo.pia yatakuwepo tu popote Duniani tangu zama!!!Sio tunarudi kwa majizi na walanguzi?
Hii hospitali wanatibiwa wafanyakazi wa Usalama wa Taifa na hata familia zao, ni kama hospitali nyinginezo za majeshi, tofauti ni kuwa miaka michache iliyopoita wamejenga wodi ya VIP ambayo Mkapa na Sita walifia hapo.Ya maofisa usalama na viongozi wakubwa wa kitaifa
Kuna uzi upo humu! wenye JF yao wamefunguka kweli kweli!! Utafute uusome. Hutauliza tena swali kuhusu hospitali hiyo.Poleni wana JF kwa msiba mzito wa kumpoteza kiongozi shupavu na mpenda maendeleo!
Pengine wapo watanzania wengi kama mimi ambao jina hili la Hospitali hii nyeti ya Mzena limekua geni kwao na wamekuja kulisikia siku za hivi karibuni, ni kawaida kwa taasisi kubwa kama hospitali kupewa majina ya watu mashuhuri au viongozi mbali mbali, na pengine Mzena ni mmoja wao. Kama kuna mwana JF mwenye kufahamu asili ya hili jina basi atiririke kwa faida ya wengi.
Kama movie vile,Hayo malanguzi.. mkuu yapo na yalikuwepo.pia yatakuwepo tu popote Duniani tangu zama!!!
Jua!! Yalianzia mbinguni.
yaani shetani na kundile dhidi ya utawala wa Mungu Baba alicho kipata huyu kaka mkubwa kila mtu anajua humu!!!
ukilijua hili mbona utaishi kwa amani sana.
fikiria tu, hata Yesu mwana wa Mungu alihujumiwa na mtu wa karibu mno!!!,why not mbongo??
Ukiwaza sana na eti kukomesha hii hali ya majizi na malanguzi !! Heee!!! utaletewa kifo mazimaaaa! Km sokoine alivo restishwa in peace !! Na sasa angalia jiwe ka rest in peace kimasihara sana!!
Tena via na hao hao!!! wanaomshangilia, hakujua kwamba hilo ni kundi hatare richa ya kuonywa mara kadhaa!!!
wapinzani mahasimuu wake.walaaa!! Hawajui kitu.
Elewa binadamu tuko tofauti sana Hawa wapinzani Kwa mheshimiwa mstaaf Jakaya ndo walikuwa rafiki zake wa karbu!! Ikulu km kawa kula na kunyw kujuliana hali enzI zake.
Lkn huyu..... Pwiiii!! Alikosa mbili tatu nyingiii hata za kumuokoa nafsi!
Lkn pia kuna la kujifunza haoa "Ubaya jamani haulipi" hata ufanyeje ndo Mungu ameamua hivo hkn kupinga.naomba sana watanzania wajifunze!!!
Haya Tate, ukiuona plz u quote!Kuna uzi upo humu! wenye JF yao wamefunguka kweli kweli!! Utafute uusome. Hutauliza tena swali kuhusu hospitali hiyo.
Mtanzania mzawa wa kwanza kuwa Mkurugenzi mkuu wa TISS.Poleni wana JF kwa msiba mzito wa kumpoteza kiongozi shupavu na mpenda maendeleo!
Pengine wapo watanzania wengi kama mimi ambao jina hili la Hospitali hii nyeti ya Mzena limekua geni kwao na wamekuja kulisikia siku za hivi karibuni, ni kawaida kwa taasisi kubwa kama hospitali kupewa majina ya watu mashuhuri au viongozi mbali mbali, na pengine Mzena ni mmoja wao. Kama kuna mwana JF mwenye kufahamu asili ya hili jina basi atiririke kwa faida ya wengi.
Hiyo Hospitali ya wenye nchiNasikia matibabu yao ni mazuri sana na kuna madaktari bingwa wa kutosha. JE naweza kutibiwa hapo kama ilivyo Lugalo?
Itoshe kusema kuwa ni ya systemYa maofisa usalama na viongozi wakubwa wa kitaifa
Sita si alifia huko kwa mabeberu mkuu?Hii hospitali wanatibiwa wafanyakazi wa Usalama wa Taifa na hata familia zao, ni kama hospitali nyinginezo za majeshi, tofauti ni kuwa miaka michache iliyopoita wamejenga wodi ya VIP ambayo Mkapa na Sita walifia hapo.