Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia? Si ulete ushahidi tu.Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii kuanzia mwaka 1961 hadi 1975, akiwa ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Emilio Mzena, aliaminiwa sana na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, baada ya idara yake kuzima majaribio kadhaa ya kumpindua. Na hiyo ikapelekea Mwl. Nyerere, kumpa heshima ya kuiita hospitali hiyo kwa jina lake.
Kama Ulikuwa Hujui Ndio Ujue
Ushahidi gani sasa?? Mbona aliyoyaandika yamejitoshelezaNani kakwambia? Si ulete ushahidi tu.
Hayatoshelezi kwa sababu ya jina tu. Na itakuwaje kama ni hospitali ya mwanae? Nijuavyo usalama wa taifa hawana hospitali yoyoteUshahidi gani sasa?? Mbona aliyoyaandika yamejitosheleza
Ipo kijitonyama na ndo hio mzena. Inatibu sanasana watumishi wa idaraHayatoshelezi kwa sababu ya jina tu. Na itakuwaje kama ni hospitali ya mwanae? Nijuavyo usalama wa taifa hawana hospitali yoyote
Kuna sehemu maelezo hujaelewa,,soma vizuriHayatoshelezi kwa sababu ya jina tu. Na itakuwaje kama ni hospitali ya mwanae? Nijuavyo usalama wa taifa hawana hospitali yoyote
Wakati wa jaribio la kumpindua Nyerere Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alikua Dr Philip Mahuga! Acha uongo! Halafu Mwamunyange alikua Luteni Kanali na alikua na cheo flani hivi jeshini!
Mwaka gani huo?isije kuwa mnatofautiana umri mwenzio kazungumzia ya kina Oscar kambona na Bibi titi Mohamed,wewe unaemzodoa mwenzio unazungumzia mwaka gani?Wakati wa jaribio la kumpindua Nyerere Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alikua Dr Philip Mahuga! Acha uongo! Halafu Mwamunyange alikua Luteni Kanali na alikua na cheo flani hivi jeshini!
Bila shaka na wewe ulikuwa na connection juu ya ukimya Wa mheshimiwa!We Bwana wewe!! Shauri yako.
Ha ha ha ha haHuwezi amini hata Google haina taarifa za ndani kuhusu hii Hospitali aisee, nimesearch wanasema "Be the first to add the photo" [emoji3][emoji3][emoji3] nikajiuliza mimi ni nani hata niwe wa kwanza kuweka picha? [emoji3][emoji3]View attachment 1729432
Mkuu tafadhar tuwekee hizo picha banaHuwezi amini hata Google haina taarifa za ndani kuhusu hii Hospitali aisee, nimesearch wanasema "Be the first to add the photo" [emoji3][emoji3][emoji3] nikajiuliza mimi ni nani hata niwe wa kwanza kuweka picha? [emoji3][emoji3]View attachment 1729432
Wakati wa jaribio la kumpindua Nyerere Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alikua Dr Philip Mahuga! Acha uongo! Halafu Mwamunyange alikua Luteni Kanali na alikua na cheo flani hivi jeshini!
Mhh Itapatikana kweli picha?? Kama ni ya Wakuu? Nina mashaka,
Jina lake mbona LIMEANZA kutumika mwishoni mwa 2004, vipi Nyerere alifufuka ndo akamtunuku heshima au?Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani?
=========
Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena?
Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii kuanzia mwaka 1961 hadi 1975, akiwa ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Emilio Mzena, aliaminiwa sana na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, baada ya Idara yake kuzima majaribio kadhaa ya kumpindua. Na hiyo ikapelekea Mwl. Nyerere, kumpa heshima ya kuiita hospitali hiyo kwa jina lake.

Nasikia matibabu yao ni mazuri sana na kuna madaktari bingwa wa kutosha. Je, naweza kutibiwa hapo kama ilivyo Lugalo?