Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Nani kakwambia? Si ulete ushahidi tu.
 
Subira mabingwa wa kujipendekeza. Kama wasipobadili jina la hiyo hospitali na kuita Magufuli Hospital na kusema wameiita hiyo kwa kuwa ndio rais wa kwanza kufia hapo.
 
Wakati wa jaribio la kumpindua Nyerere Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alikua Dr Philip Mahuga! Acha uongo! Halafu Mwamunyange alikua Luteni Kanali na alikua na cheo flani hivi jeshini!

Jf kwakweli ni sehemu muhimu sana ya kupata vitu Kama hivi.
 
Wakati wa jaribio la kumpindua Nyerere Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alikua Dr Philip Mahuga! Acha uongo! Halafu Mwamunyange alikua Luteni Kanali na alikua na cheo flani hivi jeshini!
Mwaka gani huo?isije kuwa mnatofautiana umri mwenzio kazungumzia ya kina Oscar kambona na Bibi titi Mohamed,wewe unaemzodoa mwenzio unazungumzia mwaka gani?
 
Wakati wa jaribio la kumpindua Nyerere Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alikua Dr Philip Mahuga! Acha uongo! Halafu Mwamunyange alikua Luteni Kanali na alikua na cheo flani hivi jeshini!

Emilio Mzena alikuwa DG TISS kipindi cha uasi wa Jeshi Tanganyika Rifles 1963 kabla ya kuundwa kwa JWTZ, Dr. Mahiga alikuwa DG TISS wakati wa jaribio la mapinduzi 1982, Gen Mwamunyange alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Intelligence JWTZ akiwa na Cheo cha Luteni Kanali
 
Jina lake mbona LIMEANZA kutumika mwishoni mwa 2004, vipi Nyerere alifufuka ndo akamtunuku heshima au?
 
Majaribio kadhaa ya kumpindua.....mangapi ama hata moja la mfano. Thanks!
 
Nasikia matibabu yao ni mazuri sana na kuna madaktari bingwa wa kutosha. Je, naweza kutibiwa hapo kama ilivyo Lugalo?

Cha Kushangaza sasa Wahusika wenyewe kuanzia Waandamizi wao hadi hawa wa Kawaida hawapendi Kutibiwa hapo na badala yake sasa utawakuta wamejazana tele pale Rabininsia Hospital Tegeta.

Nilipouliza ni kwanini nilipewa sababu ( jibu ) ambalo nililielewa na ambalo Kimaadili siwezi kuliweka ( Kulianika ) hapa kwani ni la Kimedani pamoja na Ustawi wao mzima wa Kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…