MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
LiesNi Hospital KwaAjili Ya Viongozi Wa Juu Serikalini Na Family Za Idara Tu Ndiyo Wanaruhusiwa Kupata Tiba
😅😅😅Sijisikii vizuri wakuu kesho nataka kufanya checkup...
Ni kweli Mkuu na hata jina lake limetokana na Mkuu wa usalama TISS wa kwanza anaitwa Emilio MzenaLies
Karibu tukuhudumieSijisikii vizuri wakuu kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni muongozo wa kuingia hapo Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Kesho asbh na mapemaKaribu tukuhudumie
Masaa 24 tuko tayari kukuhudumia mtanzania mnyonge.Kesho asbh na mapema
Siyo kweliNi Hospital kwa ajili ya Viongozi wa juu Serikalini na Family Za Idara tu ndiyo wanaruhusiwa kupata tiba
HahahahaSijisikii vizuri wakuu kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni muongozo wa kuingia hapo Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Utapokelewa vizuri na kupata matibabu,au kama vipi unaweza kwenda pale Lugalo nao wako poa tu.😂😂Kesho asbh na mapema