Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mzena ipo jirani na Kariuki lakini naona the nearest ni TMJ, je Kuna connection?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzena ipo jirani na Kariuki lakini naona the nearest ni TMJ, je Kuna connection?
Aisee...Hiyo hospitali ni ya V.I.P
Mbona Lugalo tunatibiwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu hapo Ni kwa ajili ya Viongozi wa Juu sana wa kitaifa na Pia kwa ajili ya TISS na ndo maana Ipo karibu na TISS
Halafu Wakifa Mortuary wanapelekwa LugaloNi Hospital kwa ajili ya Viongozi wa juu Serikalini na Family Za Idara tu ndiyo wanaruhusiwa kupata tiba
Mleta mada apige simu kupitia namba hizo zilizoandikwa hapa aulizie alichohitaji kujua.
Wapi Pameandikwa Jeshi ?
Hiyo Tofauti na Lugalo Mkuu..Mbona Lugalo tunatibiwa
Kwani unaleta humu jukwaani ni umuulize rafikiyo Lucas Mwashambwa🤓Sijisikii vizuri wakuu kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni muongozo wa kuingia hapo Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
High ranks officers ukiwa na maana gani?Hiyo Tofauti na Lugalo Mkuu..
Unaweza ukatibiea Hospitali zote za Jeshi ila sio Hospitali Hizo za High Rank Officals
Na atakapoingia moo hatoooki😎Mpaka umalize kujibu maswali ushazidiwa na ugonjwa wenyewe
wanasema ni ya kijeshi, mo ana hospitali ya hadhi yakeAisee...
Kwa hiyo mtu kama Mo ruksa?
Hiyo Military ni nini?Wapi Pameandikwa Jeshi ?
Hospital ya Jeshi ni Lugalo
Kwani ipo mitaa gani?😅😅😅
Mkuu hapo Ni kwa ajili ya Viongozi wa Juu sana wa kitaifa na Pia kwa ajili ya TISS na ndo maana Ipo karibu na TISS
WAkuu wa Serkali..High ranks officers ukiwa na maana gani?
Kuna diversity ya utoaji huduma mkuu sio hao pekee.WAkuu wa Serkali..
Viongozi wa Kitaifa Mkuu..
Mzena ni nani?Sijisikii vizuri wakuu kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni muongozo wa kuingia hapo Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.