Hospitali ya Rufaa inayozinduliwa huko Lindi ilianza kujengwa 1978

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba, Giggy Money, Mashehe na Maaskofu, akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi, huu ndio mradi halali wa awamu ya 6.

Screenshot_2023-09-19-11-16-44-1.png
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozi duliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6 , Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele , kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba , Giggy Money , Mashehe na Maaskofu , akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi , huu ndio mradi halali wa awamu ya 6 .

View attachment 2754436
Sawa ni hatua Pia
 
Miradi mikubwa ya CHADEMA;
1. Utafunaji wa michango ya Join The Chain
2. Kutafuna Tsh 1.5b kwa ununuzi wa pagale huko Mikocheni.
3. Utafunaji wa pesa za ruzuku.

Hiyo namba 1 & 2 huwa zinawakasirisha sana nyumbu na kuishia kutukana.
 
Mtoa mada unaroho mbaya na wivu mkali wa kike, Kwanini ilishindikana kukamilika miaka hiyo yote?, kwa kushindwa kukamilika kwa miaka hiyo yoote, je ni rais gani ambaye atakuwa kipenzi cha wana kusini, kusini inakwenda kuipita hata Mwanza time shall tell, ona leo anazindua ujenzi wa bandari ya uvuvi mradi mpya kabisa ndani ya Tanzania,haujawahi kuwepo!
 
We jamaa una ujinga kichwani
Kwa hio ulitakaje wasikamilishe huo ujenzi au unataka kusema feza imetumika vibaya
Nia yako iko wapi? Na wasi wasi na uraia wako hakuna mtz mwenye chuki hadi kwenye maendeleo
 
Asante sana mtoa post kwa kuweka kumbukumbu sawa

Nimeona chawa wameanza kusema ni initiative ya awamu ya 6 nikashangaa sana,maana ninachojua mpaka sasa awamu ya sita bila bila wako wanambwelambwela tu
Sasa wataachaje miradi ambayo bado haijakamilika na kuanza upya? Nyie CHADEMA mngeshika dola mngetelekeza mradi wa SGR, Bwawa la umeme na miradi mingine ili muanze ya kwenu mipya? CHADEMA bado sana kushika madaraka kwa akili zenu hizi.
 
We jamaa una ujinga kichwani
Kwa hio ulitakaje wasikamilishe huo ujenzi au unataka kusema feza imetumika vibaya
Nia yako iko wapi? Na wasi wasi na uraia wako hakuna mtz mwenye chuki hadi kwenye maendeleo
Nia yangu ni kuweka wazi yaliyofichwa
 
Mtoa mada unaroho mbaya na wivu mkali wa kike, Kwanini ilishindikana kukamilika miaka hiyo yote?, kwa kushindwa kukamilika kwa miaka hiyo yoote, je ni rais gani ambaye atakuwa kipenzi cha wana kusini, kusini inakwenda kuipita hata Mwanza time shall tell, ona leo anazindua ujenzi wa bandari ya uvuvi mradi mpya kabisa ndani ya Tanzania,haujawahi kuwepo!
Usinilishe maneno
 
Miradi mikubwa ya CHADEMA;
1. Utafunaji wa michango ya Join The Chain
2. Kutafuna Tsh 1.5b kwa ununuzi wa pagale huko Mikocheni.
3. Utafunaji wa pesa za ruzuku.

Hiyo namba 1 & 2 huwa zinawakasirisha sana nyumbu na kuishia kutukana.
Nje ya mada
 
We jamaa una ujinga kichwani
Kwa hio ulitakaje wasikamilishe huo ujenzi au unataka kusema feza imetumika vibaya
Nia yako iko wapi? Na wasi wasi na uraia wako hakuna mtz mwenye chuki hadi kwenye maendeleo
Kwani hapo mleta mada ameleta chuki gani? Amesema anaweka kumbukumbu kwa usahihi.

Anasema ujenzi ulianza mwaka 1978 awamu ya 1
Ina maana ama uliendelea awamu ya 2 au awamu ya pili haikufanya chochote.

Halikadhalika awamu ya 3, ya 4 na ya 5.

Awamu ya 6 imemalizia. Kama ndivyo ilivyokuwa, kuna tatizo gani? Kama wewe una ukweli tofauti na huo, si uuweke hapa ili mwongo ajulikane?

Kama awamu ya 6 imemalizia miradi fulani, itapongezwa kwa kazi hiyo. Ikishindwa kumalizia italaumiwa kwa kosa hilo. Pendeni ukweli na chukieni uwongo na uchawa wa kijinga. Tusiwe waongo na wanafiki. Na tabia hii ya uwongo, zaidi imekomaa kuanzia awamu ya 5 ambapo marehemu alifikia kufungua miradi hata ambayo ilikwishafunguliwa na wasaidizi wake. Hayo yamepita, tunatakiwa kuwa wakweli na kurudi kwenye ukweli.

Kwa nini watu wazima, mnakosa uwezo wa kujenga hoja, huku mkifurahia kupiga kelele na kuropoka?

Unapokosa kujenga hoja au kupinga kwa hoja au ushahidi, ukweli ni kwamba unaonekana ni mjinga asiyejitambua.
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6 , Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele , kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba , Giggy Money , Mashehe na Maaskofu , akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi , huu ndio mradi halali wa awamu ya 6 .

View attachment 2754436
[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaaa!
Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, mpaka akitoka 2030 kuna watu vibofu vya mikojo vitakuwa havina hata kazi.

Sikujua kama mtoa mada ni hamnazo kiasi hiki
 
Asante sana
 
Mnataka tufiche ukweli ili iweje ?
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6 , Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele , kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba , Giggy Money , Mashehe na Maaskofu , akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi , huu ndio mradi halali wa awamu ya 6 .

View attachment 2754436
Sio ya Lindi ni hospital ya Rufaa ya Kanda Mtwara.

Jiridhishe kabla ya kupuyanga.
 
Back
Top Bottom