Hospitali ya Rufaa inayozinduliwa huko Lindi ilianza kujengwa 1978

Hospitali ya Rufaa inayozinduliwa huko Lindi ilianza kujengwa 1978

Asante , Je mwanzo wake ni awamu ya 6 kama chawa mnavyotaka kutuaminisha ?
Ipo miradi ya Nyerere ilikamilishwa na Magufuli,na ipo iliyouawa na kufa, kinachonishangaza mradi aanzishe Nyerere hapo kati wapite Marais 5,wasikamilishe wa sita mwenye kujali afya za wana kusini aumalizie!
 
Ipo miradi ya Nyerere ilikamilishwa na Magufuli, kinachonishangaza mradi aanzishe Nyerere hapo kati wapite Marais 5,wasikamilishe wa sita mwenye kujali afya za wana kusini aumalizie!
muwe mnanyoosha maelezo basi
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba, Giggy Money, Mashehe na Maaskofu, akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi, huu ndio mradi halali wa awamu ya 6.

View attachment 2754436
Hata ya Mtwara LIGULA ilianza kujengwa mwaka 2019 enzi za JPM pamoja na soko la CHUNO lakini wapambe utawasikia nani kama mama kaleta pesa za ......wakati ni uongo mtupu
 
Ilishindikana kuisha tangu 78 lkn Samia Kwa vile anaupiga mwingi kaweza ndani ya miaka miwili tu.
 
Back
Top Bottom