Hospitali ya Rufaa inayozinduliwa huko Lindi ilianza kujengwa 1978

Miradi mikubwa ya CHADEMA;
1. Utafunaji wa michango ya Join The Chain
2. Kutafuna Tsh 1.5b kwa ununuzi wa pagale huko Mikocheni.
3. Utafunaji wa pesa za ruzuku.

Hiyo namba 1 & 2 huwa zinawakasirisha sana nyumbu na kuishia kutukana.
Wewe Ni mama Bora.
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba, Giggy Money, Mashehe na Maaskofu, akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi, huu ndio mradi halali wa awamu ya 6.

View attachment 2754436

Ilianza jengwa 1978 wakati Wasira akiwa kijana shupavu. Hata kama hatuna pesa ni hatari sana
 
Asante , Je mwanzo wake ni awamu ya 6 kama chawa mnavyotaka kutuaminisha ?
Onesha chawa Aliyesema hospital ya Mtwara imeanza kujengwa awamu ya 6.Hiyo taarifa akitoa Waziri wa Afya.

Pili kama ni hospital ya Lindi nayo tusubirie taarifa ya Waziri kama itasema ulianza awamu ya ngapi
 
Kuweka kumbukumbu sawa, Kauli mbiu ya Raisi SSH ni kazi iendelee. Anastahili pongezi kubwa kwa kujituma kukamilisha kazi zote njema za watangulizi wake. Uraisi ni Taasisi ya Nchi, na mipango ya Raisi Huwa ni mipango ya Nchi. Kama Kila Raisi atakuwa na mipango yake kivyake kivyake itakuwa tuanaishia nusu nusu mipango mingi. Miaka kumi ya kukakaa madarakani kwa kiongozi usidhani inatosha kukamilisha Kila kitu.

Hongera Mama Samia.
 
Sio ya Lindi ni hospital ya Rufaa ya Kanda Mtwara.

Jiridhishe kabla ya kupuyanga.
Screenshot_2023-09-19-14-43-33-52.jpg

Kwasasa ngoja tumuamini mleta mada.
 
Onesha chawa Aliyesema hospital ya Mtwara imeanza kujengwa awamu ya 6.Hiyo taarifa akitoa Waziri wa Afya.

Pili kama ni hospital ya Lindi nayo tusubirie taarifa ya Waziri kama itasema ulianza awamu ya ngapi
Sasa kinachokuliza nini , si wote waliokuwepo awamu zote ni wanaccm tu !
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba, Giggy Money, Mashehe na Maaskofu, akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi, huu ndio mradi halali wa awamu ya 6.

View attachment 2754436
Aisee 🤔
 
Miradi mikubwa ya CHADEMA;
1. Utafunaji wa michango ya Join The Chain
2. Kutafuna Tsh 1.5b kwa ununuzi wa pagale huko Mikocheni.
3. Utafunaji wa pesa za ruzuku.

Hiyo namba 1 & 2 huwa zinawakasirisha sana nyumbu na kuishia kutukana.
Jamaa wa CDM ameweka ushahid, ww mbona huweki ushahid? Na picha za hilo pagala tuone!
 
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978.

Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba, Giggy Money, Mashehe na Maaskofu, akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi, huu ndio mradi halali wa awamu ya 6.

View attachment 2754436
Chawa wa mama chali
 
Miradi ya Samia ni ipi haswa?
Na kwanini aanze mipya ikiwa ipo kibao ambayo watangulizi wake hawakuikamilisha? Na akiiacha pia mpate cha kuongea kuwa nchi haina dira kila rais anajianzishia tu la kwake!!
 
Wala hatukatai tunachotaka muwe mnasema ukweli
 
Back
Top Bottom