Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sawa ni hatua PiaNi vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozi duliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.
Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6 , Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele , kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba , Giggy Money , Mashehe na Maaskofu , akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi , huu ndio mradi halali wa awamu ya 6 .
View attachment 2754436
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozi duliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.
Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6 , Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele , kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba , Giggy Money , Mashehe na Maaskofu , akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi , huu ndio mradi halali wa awamu ya 6 .
View attachment 2754436
Sasa wataachaje miradi ambayo bado haijakamilika na kuanza upya? Nyie CHADEMA mngeshika dola mngetelekeza mradi wa SGR, Bwawa la umeme na miradi mingine ili muanze ya kwenu mipya? CHADEMA bado sana kushika madaraka kwa akili zenu hizi.Asante sana mtoa post kwa kuweka kumbukumbu sawa
Nimeona chawa wameanza kusema ni initiative ya awamu ya 6 nikashangaa sana,maana ninachojua mpaka sasa awamu ya sita bila bila wako wanambwelambwela tu
Kubinafsisha Bandari za Tanganyika kwa DP World.Miradi ya Samia ni ipi haswa?
Tamasha la kizimkazi na kuuzwa kwa Bandari za TanganyikaMiradi ya Samia ni ipi haswa?
Nia yangu ni kuweka wazi yaliyofichwaWe jamaa una ujinga kichwani
Kwa hio ulitakaje wasikamilishe huo ujenzi au unataka kusema feza imetumika vibaya
Nia yako iko wapi? Na wasi wasi na uraia wako hakuna mtz mwenye chuki hadi kwenye maendeleo
Usinilishe manenoMtoa mada unaroho mbaya na wivu mkali wa kike, Kwanini ilishindikana kukamilika miaka hiyo yote?, kwa kushindwa kukamilika kwa miaka hiyo yoote, je ni rais gani ambaye atakuwa kipenzi cha wana kusini, kusini inakwenda kuipita hata Mwanza time shall tell, ona leo anazindua ujenzi wa bandari ya uvuvi mradi mpya kabisa ndani ya Tanzania,haujawahi kuwepo!
Nje ya madaMiradi mikubwa ya CHADEMA;
1. Utafunaji wa michango ya Join The Chain
2. Kutafuna Tsh 1.5b kwa ununuzi wa pagale huko Mikocheni.
3. Utafunaji wa pesa za ruzuku.
Hiyo namba 1 & 2 huwa zinawakasirisha sana nyumbu na kuishia kutukana.
Kwani hapo mleta mada ameleta chuki gani? Amesema anaweka kumbukumbu kwa usahihi.We jamaa una ujinga kichwani
Kwa hio ulitakaje wasikamilishe huo ujenzi au unataka kusema feza imetumika vibaya
Nia yako iko wapi? Na wasi wasi na uraia wako hakuna mtz mwenye chuki hadi kwenye maendeleo
[emoji1787]Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.
Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6 , Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele , kwa kuwakutanisha akina Ally Kiba , Giggy Money , Mashehe na Maaskofu , akiwemo Malasusa ni Tamasha kabambe la kizimkazi , huu ndio mradi halali wa awamu ya 6 .
View attachment 2754436
Asante sanaKwani hapo mleta mada ameleta chuki gani? Amesema anaweka kumbukumbu kwa usahihi.
Anasema ujenzi ulianza mwaka 1978 awamu ya 1
Ina maana ama uliendelea awamu ya 2 au awamu ya pili haikufanya chochote.
Halikadhalika awamu ya 3, ya 4 na ya 5.
Awamu ya 6 imemalizia. Kama ndivyo ilivyokuwa, kuna tatizo gani? Kama wewe una ukweli tofauti na huo, si uuweke hapa ili mwongo ajulikane?
Kama awamu ya 6 imemalizia miradi fulani, itapongezwa kwa kazi hiyo. Ikishindwa kumalizia italaumiwa kwa kosa hilo. Pendeni ukweli na chukieni uwongo na uchawa wa kijinga. Tusiwe waongo na wanafiki. Na tabia hii ya uwongo, zaidi imekomaa kuanzia awamu ya 5 ambapo marehemu alifikia kufungua miradi hata ambayo ilikwishafunguliwa na wasaidizi wake. Hayo yamepita, tunatakiwa kuwa wakweli na kurudi kwenye ukweli.
Kwa nini watu wazima, mnakosa uwezo wa kujenga hoja, huku mkifurahia kupiga kelele na kuropoka?
Unapokosa kujenga hoja au kupinga kwa hoja au ushahidi, ukweli ni kwamba unaonekana ni mjinga asiyejitambua.
Mnataka tufiche ukweli ili iweje ?Hahahaaaaaa!
Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, mpaka akitoka 2030 kuna watu vibofu vya mikojo vitakuwa havina hata kazi.
Sikujua kama mtoa mada ni hamnazo kiasi hiki
Sio ya Lindi ni hospital ya Rufaa ya Kanda Mtwara.Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu , Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere , na ujenzi wake ulianza 1978.