Hospitali ya Rufaa inayozinduliwa huko Lindi ilianza kujengwa 1978

Asante , Je mwanzo wake ni awamu ya 6 kama chawa mnavyotaka kutuaminisha ?
Ipo miradi ya Nyerere ilikamilishwa na Magufuli,na ipo iliyouawa na kufa, kinachonishangaza mradi aanzishe Nyerere hapo kati wapite Marais 5,wasikamilishe wa sita mwenye kujali afya za wana kusini aumalizie!
 
Ipo miradi ya Nyerere ilikamilishwa na Magufuli, kinachonishangaza mradi aanzishe Nyerere hapo kati wapite Marais 5,wasikamilishe wa sita mwenye kujali afya za wana kusini aumalizie!
muwe mnanyoosha maelezo basi
 
Hata ya Mtwara LIGULA ilianza kujengwa mwaka 2019 enzi za JPM pamoja na soko la CHUNO lakini wapambe utawasikia nani kama mama kaleta pesa za ......wakati ni uongo mtupu
 
Ilishindikana kuisha tangu 78 lkn Samia Kwa vile anaupiga mwingi kaweza ndani ya miaka miwili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…