Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
Screenshot_20240621-145637.png
Screenshot_20240621-135841.png
 
Tangazo limetoka Toka tarehe 18/06/2024 lakini akina flani walilifahamu ili wafanye mambo yao, ombeni kwa fujo zote Sasa..
 
Una maanisha nini yaani sijakuelewa
Namaanisha ivi mkuu watumishi wa umma asilimia kubwa hawana uadirifu na kazi zao mara ngapi wauguzi wanawafokea wagonjwa au kuwatelekeza na kuwapa customer care mbovu mfano juzi tu apo katika kufatilia nida watu wazima mnafokewa kama watoto sasa kama kutakuwa na ajira za mkataba na maana yake kutakuwa na merit kwa watumishi kuwa na good customercare na uadilifu kwa maana mkataba utambana mtumishi asiye na uadilifu au itazame uda tu jinsi wananchi wanavoletewa dharau na watumishi hasa madereva mtu anatelekeza gari na abiria kisa anajua hakuna mtu wa kumuwajibisha moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom