Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete tumechoka na majibu mabovu ya Makatibu na Mhasibu, wamekuwa wakitujibu vibaya sana tukiwa tunadai stahiki zetu.
Watumishi wanajitolea sana muda wao mwingi wanautumia kazini lakini yakija malipo ya extra na call mtu anakatwa unakuta mtu...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
kitete
majibu
rufaa
watumishi
Ni kweli hospital inakusanya mapato kwa wingi lakini sisi watumishi tunadai stahiki zetu kwa muda mrefu tu hatulipwi extra duty na call allowance tangu 2024, 2025 na 2026.
Ikitokea zimelipwa ni malipo ya mwenzi mmoja na mingine unayobakia hatulipwi, tukidai wanasema madeni yetu yapo wizarani...
Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi.
Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025.
Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955
Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy.
Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road.
Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi.
Bi Mwamvua...
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini kuharibika.
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio...
Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Molel ameonesha kutoridhishwa na utendaji kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete - Tabora hivyo amesema watafanya mabadiliko makubwa ya Menejimenti kuanzia kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali na timu nzima inayosimamia Hospitali hiyo.
Amesema haiwezekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.