A
Anonymous
Guest
Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi.
Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025.
Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi ifuatayo 04, 05, 06, 07, 08, 09, 10, 11, na 12 za mwaka 2025.
Tunaomba uongozi wa hospitali na Wizara ya Afya wafanyie kazi changamoto hii. Morali na hamasa ya kazi imeshuka sana kwetu watumishi.