Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi
Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa amevunjika kabisa mkono na exray alopigwa pia ilionyesha hivyo lakini huyo mtu akawa analalamika mguu unamuuma wakampiga na exray ya mguu cha kushangaza wakasema mguu uko vzr haujavunjika.
Hivyo kwa mujibu wao ni mkono tu ndo umevunjika lakini mgonjwa analalamika sana mguu na kilichoshangaza kuliko vyote walimfunga pop mkono na kumruhusu aende nyumbani wakampa dawa za kutuliza maumivu tuu. Kurudi nyumbani kuangalia mguu umevimba kuushika mguu umejitenga kabisa yani ulivunjika na wenyewe lakini wao walisema mguu haujapata shida.
Ndo kumpeleka mgonjwa hospital nyingine muda huo huo na kulazwa kushughulikiwa mguu huo. Mpk sasa yupo kitandani tushukuru Mungu waliweza kugundua na hela ikawa ipo ya kumpeleka hospital nyingne najiuliza kama hali ya mtu mwingine ambaye hana si anakufa?
Case 2: Jana kuna mtoto aligongwa na bodaboda usiku. Mtoto huyo wakampeleka kwny hospital binafsi ya krb kwa first aid kufika hapo daktari wa hyo hospital akasema hali ya mtoto si nzuri maana alikua anapumua kwa shida mpelekeni general wakampeleka mida ya saa mbili.
Kufika general sijui kweli walimpiga exray au ni walimwangalia kwa macho tuu? But familia wanasema walimpiga exray na wakasema kua hana tatizo kubwa wakaandikiwa dawa na ilibidi kununua nje na kurudi na mtoto nyumbani
Wanasema usiku hawakulala mtt analia tuu alfajiri leo wakaamkia General tena ndo kulazwa mtoto hajitambui, muda huu nasikia mtoto amekufa.
Imeniuma sana sana Serikali hebu angalieni hyo hospital kama hizo exray kuna mtaalamu kweli au ni wanafunzi..kipaumbele cha serikali kiwe kwenye afya za watu.
General Dodoma watu wanaenda hapo wakitegemea kupata huduma nzuri ya madaktari wabobevu ila ndo yanatokea kama haya. Kama mnataka mlipwe semeni watu watoe hela na sio kujiita hospital ya serikali huduma mbovu kila siku vilio.