KERO Hospitali ya Serikali kwanini inakuwa na huduma ya choo ya kulipia?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni Iringa hapa, tena Regional referral hospital, nimeshangaa sana au ndio Yale mambo ya halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia...
Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana.Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji
Hili lipo sana hata kwenye mastendi haya ya Luxury ya Magufuri unapoingia ndani lazima ulipie wakati walijitapa kuwa yanajengwa kwa pesa zetu za ndani.
 
Choo cho hospital ni kama Choo cha Bar, huwez anzisha biashara inayowakusanya watu na usiwe na choo.

Swala kulipia choo cho hospital ni wiz wa waziwazi kabisa ni kuwadharau wananchi kwamba hawazijui haki zao.

Gharama za uendeshaji wa hospital ziko ndani ya ada ya matibabu na huduma ya choo iko ndani yake.

Ni wapi uko wanafanya huo ufala tumuite Dr. Gwajima
 
Ni Iringa hapa, tena Regional referral hospital, nimeshangaa sana au ndio Yale mambo ya halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia...
Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana.Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji
Hii hata kwenye Pure Capitalist countries hakuna huu ujinga,
 
Choo cho hospital ni kama Choo cha Bar, huwez anzisha biashara inayowakusanya watu na usiwe na choo.

Swala kulipia choo cho hospital ni wiz wa waziwazi kabisa ni kuwadharau wananchi kwamba hawazijui haki zao.

Gharama za uendeshaji wa hospital ziko ndani ya ada ya matibabu na huduma ya choo iko ndani yake.

Ni wapi uko wanafanya huo ufala tumuite Dr. Gwajima
Kuna wajinga humu wanasema ni ubunifu, huu ni ujinga, ni wizi wa kijinga,
 
Kulipia siyo gharama za kulipa mradi bali ni gharama za uendeshaji kuna bill za maji, umeme, mfanya usafi na nk si vigumu mwananchi kuchangua
Mkuu kwa hilo na kupinga hospital kuwa na choo Cha kulipia haimake sense at all hizo gharama zinaweza kuwa covered na serikali
 
Dawa zinanunuliwa kwa kodi za serikali na choo kinajengwa kwa kodi za serikali sasa kama unalipia huko kwingine kwa nini ukatae kulipia choo?

Kwanza unakuwa umeikosea adabu hospitali

Unaondoka na uchafu tumboni toka nyumbani kwenu badala ya kujisaidia kwenu ndio uende hospitali huyo unasafiri na huo uchafu tumbonib hadi hospitali kwenda kuuacha kwenye vyoo vyao wakati kwenu vyoo vipo

Siku ingine jisaidie kabisa kwenu ukienda hospital unatibiwa tu na kuondoka
😹😹😹 wafanyaje makwao??
 
Attachments

  • IMG_3089.jpeg
    IMG_3089.jpeg
    87.8 KB · Views: 1
Ni Iringa hapa, tena Regional referral hospital, nimeshangaa sana au ndio Yale mambo ya halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia...
Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana.Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji
Hii nimeikuta Mwanza pale Hospital ya Sekou Toure Kuna choo cha kulipia
 
Kuna wajinga humu wanasema ni ubunifu, huu ni ujinga, ni wizi wa kijinga,
Ubunifu wa kuiba? Shida ni Wakurugenzi wezi badala ya kuwekeza mapato katika uendeshaji wao wanabania ili nyingi iingie mfukoni matokeo yake hawaajili wafanyakazi (wa usafi) mpaka wawachangishe tena Raia.

Ona mwendo kasi saivi unakuta kituo ni kirefu kwelikweli wewe unakaa magharibi unalazimika kutembea mpaka mashariki ndo ukaingilie uko, upande wa pili wameziba kwa hoja nyepesi tu ati wanapunguza gharama za uendeshaji, Wapunguze na naili basi.
 
Mkuu kwa hilo na kupinga hospital kuwa na choo Cha kulipia haimake sense at all hizo gharama zinaweza kuwa covered na serikali
Iko hivi kaka kama umeingia ndani ya hosp kuna vyoo vinavyosafishwa na watu wa usafi wa hospitali na wagonjwa na ndugu za wagonjwa hutumia ndani ya hospitali hiki choo kinachosemwa ni cha nje ya hospitali kama umewahi kufika hospitali ya mkoa mwanza waweza nielewa.
Wangesema wagonjwa wanalupishwa kwenda kujisaidia ingekuwa inshu
 
Hii ni zaidi ya ujinga, hata mataifa ya Kibepari hakuna aina hii ya ujinga naona na wewe unatetea ujinga
Sitetei ujinga jiulize wagonjwa mpaka wanaolazwa watozwa fedha kwenye hivyo vyoo?
Hiki ni choo cha nje kwa ajiri ya wapitaji njia
Maana huwezi kuzengea zengea tu wodini kabla ya muda wa kuona wagonjwa
 
Choo cho hospital ni kama Choo cha Bar, huwez anzisha biashara inayowakusanya watu na usiwe na choo.

Swala kulipia choo cho hospital ni wiz wa waziwazi kabisa ni kuwadharau wananchi kwamba hawazijui haki zao.

Gharama za uendeshaji wa hospital ziko ndani ya ada ya matibabu na huduma ya choo iko ndani yake.

Ni wapi uko wanafanya huo ufala tumuite Dr. Gwajima
Iringa
 
Back
Top Bottom