reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Mmeshamfungia mange maana sijajiunga nlitaka nijiunge ila naona magumashi tuHuu ni unyama, itoshe kusema hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshamfungia mange maana sijajiunga nlitaka nijiunge ila naona magumashi tuHuu ni unyama, itoshe kusema hivyo
Jaribu kuionea huruma familia ya joeephu haule inahusiana nin na chadema sio kila jambo ni siasa ndo ujinga wa hii nchi, mbona huyo mange akutoa video ya mwele malechela wakati anaumwa ubinafsi ndo kitu ambacho kinamtesa mwafrika kumbuka ugonjwa Hauna chamaHuyu Mange amelelewa na wana jf wenyewe na wengine wanao jiita wana harakati hasa wanachadema na amekuwa akishangiliwa sana na amedharirisha watu wengi sana sana na wengi walikuwa wanamuona shujaa na wakitaka aendelee kudhalilisha watu....
Maumivu ya dhambi yana tabia ya kumrudi anayeishangilia... sasa waliokuwa wanashangilia dhambi zile zile zimegusa watu wanao wauma sasa wameanza kutafuta mchawi....
Huyu Mange anasifiwa kuwa shuja sasa ndio matokeo yake......
Ujinga ni tatizo kubwa sana nchi hii kila jambo linaangaliwa kwa sura ya siasaHapa ndio unapokosea kudhani hili ni swala la chadema badala ya kusema ni swala la kudhalilisha utu wa watu au mtu! Kwa hiyo unataka kusema umeguswa kwakuwa aliyefanyiwa ni mwanachadema? Ninyi ndio mmelea hili tatizo! Kwa hiyo asingekuwa mwanachadema amefanyiwa haya wewe usingelilalamika?
Mmeshamfungia mange maana sijajiunga nlitaka nijiunge ila naona magumashi tu