Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

Jaribu kuionea huruma familia ya joeephu haule inahusiana nin na chadema sio kila jambo ni siasa ndo ujinga wa hii nchi, mbona huyo mange akutoa video ya mwele malechela wakati anaumwa ubinafsi ndo kitu ambacho kinamtesa mwafrika kumbuka ugonjwa Hauna chama
 
Ujinga ni tatizo kubwa sana nchi hii kila jambo linaangaliwa kwa sura ya siasa
 
Huyu dada anajiharibia maisha yake,haijui kesho yake anahisi kwakua yupo USA basi kashamaliza kila kitu, ipo siku 1 isiyo najina Ataingia Rais kichwa mbovu atapiga simu 1 Tu na hiki kibaraka kitarudishwa TZ kuonja segerea milele na milele.

Njia aliyoamua kutumia kumfanya apate kula yake hapa duniani ni mbaya na isiyopendeza wengi hasa wanaojitambua,ataendelea kupumbazwa na hongera hongera toka kwa wapumbavu wenzie na wasio jielewa.

Nilishangaa sana Rais kwenda kupga picha na takataka kama hiii, nilishangaaa sana na bado siamini team nzima iliyo nyuma ya madam president isijue yupi wakuruhusiwa hata kusogea karibu na rais.

Anyway! HII takataka iliyonyoooka mithili ya toothpick itanasa tu siku 1 nawaonea huruma wale watoto wake,kuna maumivu makali sana mtoto huyapata kwenda kumuona mzazi wake nyuma ya nondo na jezi zenye maandishi "magereza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ