UlHivi kwanini isitajwe hospital ingine iwe ni hapo tu?
Hata mwana CCM USSR kaliona hilo. mana huwa wao swala linaloenda tofauti mkisema waonekana sijui huna uzalendo
Mbona hizo hospitali za private wakishindwa wanawapeleka Muhimbili , ingekua haiaminiki wangewapeleka Muhimbili? Acheni uzushi wenuUnawaamini sana Muhimbili? Hizi hospitali watu wanaenda sababu hamna mbadala tu.
PointKwanza siyo sahihi mgonjwa aliyekuwa refferred kwenda hospitali ya Taifa, anafika huko, anaenda kutibiwa na interns. Wakati wote interns wanatakiwa kuambatana na madaktari bingwa. Na lolote wanalolifanya wanatakiwa kufanya kwa maelekezo ya daktari bingwa, siyo kwa maamuzi yao.
Hawa ni wagonjwa wenye matatizo yaliyoshindikana kwenye hospitali za chini. Inakuwaje tena, wanafika hospitali ya Taifa wanahudumiwa na madaktari wanafunzi? Si aheri wangebakia hospitali za chini walikokuwa?
Hamna hospitali Tanzania inaaminika. Kama hujawahi kutibiwa nje hutaelewa nachosema.Mbona hizo hospitali za private wakishindwa wanawapeleka Muhimbili , ingekua haiaminiki wangewapeleka Muhimbili? Acheni uzushi wenu
Najaribu kupima hy idadi ya vifo 1000+ kwa mwaka, ina maana kwa siku ni lazima wagonjwa wasio pungua wawili lazima wafariki. Ni changamoto kwa sekta ya afya kwa hospitali kubwa kama hii kuboresha uwezo wa kunusuru vifo vinavyotokana na maradhi mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kiukweli wagonjwa wengi wanaofariki pale mi naweza kusema most of them ni wale wanaokuwa reffered from other hospitals wakiwa terminally ill...unakuta mgonjwa waneshindwa kummanage huko mwananyamala..au amana wanamleta pale mgonjwa ni hypertensive..diabetic afu tayar ana CKD...yan kunakuwa hamna jinsi...inawezekana ukweli ndio vipo vingine vya uzembe ila tusilaumu moja kwa moja.
Ul
Pole sana ndugu kwa experience uliyoipata.Kwa utaratibu wa kawaida daktari tarajali(intern doctor) hawez kutoa management ya moja kwa moja kwa mgonjwa bila kufanya consultation kwa daktari aliyejuu yake..either registrar, resident, junior specialist au senior specialist.Kama utaratibu huo haufatwi basi kutakuwa na shida bt binafsi huwa naona hawa madaktari tarajali huwa wanafanya kazi kubwa sana clerking the pts in details kuliko hata hawa madaktari waajiriwa labda shida ndio iwe hiyo kwenye management as i said earlier coz kuna cases ambazo lazima zitahitaj consultation ya daktari wa juu yako.Ila kwa kuwa hili jambo limeongelewa sana basi naamini litafanyiwa kazi.Nimeongea kwa experience yangu.Sasa km ni mgonjwa aliyepo kwenye state mbaya why afike kupokelewa na kuhudumiwa na wanafunzi?? Naandika Kwa ushahidi week nzima mama yangu alihudumiwa na mwanafunzi....na baada ya kuona hakuna jipya na kwamba Vifo vya wenzake kila dakika vinamzidishia kuumwa yy mwenyewe akaomba Kwa kulazimisha aruhusiwe. Tukarudi home.
Na kweli baada ya week 3 Kwa kutumia dawa zake alizopatiwa clinic na dr bingwa akapata nafuu Kwa Imani.
Pole sana ndugu kwa experience uliyoipata.Kwa utaratibu wa kawaida daktari tarajali(intern doctor) hawez kutoa management ya moja kwa moja kwa mgonjwa bila kufanya consultation kwa daktari aliyejuu yake..either registrar, resident, junior specialist au senior specialist.Kama utaratibu huo haufatwi basi kutakuwa na shida bt binafsi huwa naona hawa madaktari tarajali huwa wanafanya kazi kubwa sana clerking the pts in details kuliko hata hawa madaktari waajiriwa labda shida ndio iwe hiyo kwenye management as i said earlier coz kuna cases ambazo lazima zitahitaj consultation ya daktari wa juu yako.Ila kwa kuwa hili jambo limeongelewa sana basi naamini litafanyiwa kazi.Nimeongea kwa experience yangu.
Dah ila kwa lawama hizi zilizoelekezwa kwao naamin hata huko hospital wamekaa na kuyajadili kama wanajali.Kama uongozi wa hospital ukiyafanyia kazi malalamiko haya ya watu naamini Mloganzila itakuja kuwa hospital nzuri sana.Uongozi ukiwa mzuri na wakujali wagonjwa basi hata watendaj chini watafanya kazi kwa weledi.Ndugu yangu Hali Ndio hiyo.
Kumbe taratibu ni wawe chini ya dr.... Basi wenzako hapo wamewaachia hao interns na hivi mloganzila ni mbali Ndio kabisaaa wanaopewa shift za pale hawataki hata kufika hapo