state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Yaani michango ya rambirambi ya marehemu umeila Sasa unataka na fidia ya kifo Cha marehemu uwe na huruma na marehemu jamani.Marehemu angejua hili angejigomea kufa
1.5 trillion ziko wapi? nani aliidhinisha manunuzi ya ndege? mkataba wa manunuzi uko wapi? acha siasa tuwe kitu kimoja kupinga maovu ya kuvunja katiba na sheria!Usitake kuharibu mada ,jiekeze huko hizi tuhuma zipo humu muda tuache siasa chafu ,tuungane na jpm kufichua maovu
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Sad thing ni kuwa hata ukienda NBS hawawezi kukupa hizi data zilizoainishwa kwenye hii barua. They might be cooked too!The System has FAILED us.
Mloganzila ukihamishiwa wameshaona wewe si wa kupona unapelekwa pale ukamsubirie Israel.Ukiwa wafikiria kama great thinker watakiwa uanze kwa kufikiria aina ya wagonjwa wanaoenda Mloganzila. Watanzania wengi wakienda hospitali ujue wako terminally ill, na hospitali huwa kama sehemu ya wao kufia.
Mkuu acha kutudharau tuliofanya hii paper, mimi niliambulia D hapa. Ingawa kuna paper 2 na 3 hujaziweka hivo hatuwezi kulinganisha uwiano na ugumu wa mtihani mzima.Absolutely true! na sasa hiyo form six ya PCB "kila" mtu anapata AAA! , BBB, AAB etc in this range. This was unthinkable in the 70s and 80s! Sasa uchafu mtupu unakwenda Muhimbili and other rubbish medical schools!
Angalia mtihani wa mwaka jana wa Biology eti ni form six!
View attachment 1313942View attachment 1313943View attachment 1313944View attachment 1313945
Huu ndio ukweliJF inanguvu Sana...
Huko ni kujitetea