Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Tumekwisha kama taifa. Hii ni zaidi ya Nightmare.Never! hakuna msuli! Nimefanya mtihani wa PCB 1974, taifa zima hapakuwa na A zaidi ya kumi PCB! katika kila somo kwa combination hiyo
Hivi ile BRN iliishia wapi ? ila ccm mjue Mungu anawaona aiseee !!Hawa madokta walio huko Mloganzila na sehemu nyingine nyiingi.
Bila shaka ndo wale wa Kikwete wa BRN... Division 5..
Wakaja wengine wa GPA....
Tumecheza na ELIMU sana.
mkuu mwaga mavituuz watu wajueMbona wameruka kutaja takwimu halisi ya vifo ya kipindi cha July - Septemba 2018 ya Mlonganzila vs July - Septemba 2019 Mlonganzila, maana hapo wameirukia tu MNH - Upanga bila kuonesha ulinganifu husika..hapo waliporuka ndo penye ukweli kwamba watu wengi wanafariki..
Walipiga hela sanaa...Hivi ile BRN iliishia wapi ? ila ccm mjue Mungu anawaona aiseee !!
Moja ya sababu ambazo imeelezwa na mtoa taarifa kwamba Madaktari wanaotoa huduma MNH-Mloganzila ni wanafunzi waliopo katika majaribio si za kweli, hivyo tungependa kufafanua kwamba Hospitali ya MNH-Mloganzila ina Madaktari Bingwa 52, Madaktari wa kawaida 50 na kwa sasa ina Madaktari tarajali 53
source:Upatikanaji wa huduma za jamii kama vile kujengwa kwa vituo vya afya katika kila kata na kuongezeka kwa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kumepunguza gharama za matibabu kwa wananchi na kumeimarisha afya zao, hivyo kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za
Death is natural mkuu. Tiba ni jitihada za binadamu kuendelea kuishi lkn lazima tufe! Hata madaktari hufa. So dont afraid, kila wagonjwa12 mmoja ataondoka, its ok. We will all die, doctors hawawezi kuzuia kifo.Julai-September wagonjwa 12,375 vifo 1000. Tafsiri rahisi zaidi kwa kila wagonjwa 120 kuna vifo 10
Tuombe afya njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja kuona kumbe ulishaandika ambacho nimeandika baada yako. Nadhani wawe wawazi na wasicheze na maisha ya watuExactly. This is what I wz talking about.
There's something fishy here.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaamini sana Muhimbili? Hizi hospitali watu wanaenda sababu hamna mbadala tu.Prof, definitely huwezi kukubali, admission of guilt is very rare in human nature! na data hizo authenticity yake unaijua wewe mwenyewe! We need independent verification of those data.
Two, you might have those numbers of highly qualified personnel, but the question is: Do they attend patients or they leave the duty to the interns? Laxity in our institutions is not a new phenomenon!
All in all jitahidini zaidi for better results. Tunawaamini sana tena sana.