Yaani michango ya rambirambi ya marehemu umeila Sasa unataka na fidia ya kifo Cha marehemu uwe na huruma na marehemu jamani.Marehemu angejua hili angejigomea kufa
Watanzania tuwe na tabia ya kupima mara kwa mara..hata kama huna ugonjwa.hii.haitaondoa tatizo completely bali itapunguza vifo vinavyoepukika….hii mentality mpaka uumwe ndio uende hospitali mnatafutia madaktari lawama tuuu…..Mwalimu Umy anzisha continuous campaign watu wapime afya zao mara kwa mara...
And,Second mimi naomba Madaktari wanafunzi wafundishwe kwa Kiswahili..huku O level na A level ni mwendo wa kukariri tuu...so sidhani ikifika chuoni hali hii ya kukariri inabadilika,so sometimes na feel huko kwa madaktari kuna waliopita kwa njia hii hii ya kukariri,this is dangerous..mnacheza na Maisha ya watu...
Kwanza siyo sahihi mgonjwa aliyekuwa refferred kwenda hospitali ya Taifa, anafika huko, anaenda kutibiwa na interns. Wakati wote interns wanatakiwa kuambatana na madaktari bingwa. Na lolote wanalolifanya wanatakiwa kufanya kwa maelekezo ya daktari bingwa, siyo kwa maamuzi yao.Maintern hapo ilogazala hosital wanapomtibu mtu ikija msg kwenye simu anamuacha mgonjwa anaanza kujibu msg huku akicheka kuhusu wanavyoambizana kwenye msg.huku Mgonjwa anazidi kuwa mahututi akirudi kumhudumia anasahau mgonjwa alikuja hapo anaumwa nini akili yake kwenye msg
Sent using Jamii Forums mobile app
umejigundua kama umeandika upuuzi kama vitu huvijui sio kuandika andika tu
mloganzila hakuna mwanafunzi anae enda na usi mdharau anae soma udaktari Tanzania tena muhimbili maana amekuzid vingi ukitoa kutopoka kwako
Kuna mtu kafa baada yakuvunjika mguu kutokana na ajali sasa huyu atapimaje mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio mitaala tu, tatizo liko lwenye serikali pamoja na TISS! Hawa wote wanatakiwa kufumuliwa.HALAFU WANASOMEA MITIHANI TU SIO KUELEWA YAANI KUNA ULAZIMA WA KUBADILISHA MITAALA
Neno kama desmosomes utaliitaje kwa kiswahiiWatanzania tuwe na tabia ya kupima mara kwa mara..hata kama huna ugonjwa.hii.haitaondoa tatizo completely bali itapunguza vifo vinavyoepukika….hii mentality mpaka uumwe ndio uende hospitali mnatafutia madaktari lawama tuuu…..Mwalimu Umy anzisha continuous campaign watu wapime afya zao mara kwa mara...
And,Second mimi naomba Madaktari wanafunzi wafundishwe kwa Kiswahili..huku O level na A level ni mwendo wa kukariri tuu...so sidhani ikifika chuoni hali hii ya kukariri inabadilika,so sometimes na feel huko kwa madaktari kuna waliopita kwa njia hii hii ya kukariri,this is dangerous..mnacheza na Maisha ya watu...
Jombaa kuna ishu ya dawa, fanya hivi ukiumwa kichwa kunywa paracetal ya hapa tanzania kisha lete mrejesho hapa jfUkiwa wafikiria kama great thinker watakiwa uanze kwa kufikiria aina ya wagonjwa wanaoenda Mloganzila. Watanzania wengi wakienda hospitali ujue wako terminally ill, na hospitali huwa kama sehemu ya wao kufia.
Sio kwa mwaka, ni kwa robo mwaka. Kwa ujumla hali sio nzuriNajaribu kupima hy idadi ya vifo 1000+ kwa mwaka, ina maana kwa siku ni lazima wagonjwa wasio pungua wawili lazima wafariki. Ni changamoto kwa sekta ya afya kwa hospitali kubwa kama hii kuboresha uwezo wa kunusuru vifo vinavyotokana na maradhi mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
lkn ni moja ya hospitali inayopokea referral nyingin yani mgonjwa akishashindikana kwenye hospi tali ndogo anapelekwa pale, kwa maana hiyo lazima anakuwa kwenye hali mbaya.Julai-September wagonjwa 12,375 vifo 1000. Tafsiri rahisi zaidi kwa kila wagonjwa 120 kuna vifo 10
Tuombe afya njema
Sent using Jamii Forums mobile app