Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wewe ulichagua hospital gani wakat unajiunga na nssf? Kwa nssf issue ya ujauzito ipo exclude,hasa kwa wanaotumia ile system ya hiari scheme sijui labda kadi yako ni ya mfumo upi.Habari zenu ndugu zanguni watanzania,napenda kuuliza mie nina kadi ya nssf kwa ajili ya matibabu,wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za nssf
Nilichagua hospital ya dr Hameer,sasaivi wanakupa huduma nyingine tu lakini sasaivi hawana huduma za kulaza wagonjwa,ila mwanzo walikuwa wanalaza ila sasaivi hawalazi,wakaniambia nikitaka docta wa specialist wa mambo ya uzazi itanibidi niongeze hela kila anapokuja clinic,sasa napenda kujua ni hospital gani nyingine inayotoa huduma za uzazi kwa kutumia kadi ya nssfKwan wewe ulichagua hospital gani wakat unajiunga na nssf? Kwa nssf issue ya ujauzito ipo exclude,hasa kwa wanaotumia ile system ya hiari scheme sijui labda kadi yako ni ya mfumo upi.
Ila nimeenda hapa kwenye ofisi ya nssf na wamenielewesha vizuri tuKwan wewe ulichagua hospital gani wakat unajiunga na nssf? Kwa nssf issue ya ujauzito ipo exclude,hasa kwa wanaotumia ile system ya hiari scheme sijui labda kadi yako ni ya mfumo upi.
Gharama shs ngapi??Ila nimeenda hapa kwenye ofisi ya nssf na wamenielewesha vizuri tu
Mm nilichagua bochi bt kwa suala la ujauzito ni mpk mwanachama awe ametimiza miaka mitatu na zaidi napia apewe kibali toka nssf. Mengine yote fresh napata huduma bila shida yoyoteNilichagua hospital ya dr Hameer,sasaivi wanakupa huduma nyingine tu lakini sasaivi hawana huduma za kulaza wagonjwa,ila mwanzo walikuwa wanalaza ila sasaivi hawalazi,wakaniambia nikitaka docta wa specialist wa mambo ya uzazi itanibidi niongeze hela kila anapokuja clinic,sasa napenda kujua ni hospital gani nyingine inayotoa huduma za uzazi kwa kutumia kadi ya nssf
kwa mwanamke akichangia miaka 3 ndio anapata iyo huduma,sasa mie ni mwanaume nimemuunga mke wangu,so wamesema haiwezekana kwa mwanamke tegemezi,hapo ataambulia tu huduma nyinginezo za kimatibabuMm nilichagua bochi bt kwa suala la ujauzito ni mpk mwanachama awe ametimiza miaka mitatu na zaidi napia apewe kibali toka nssf. Mengine yote fresh napata huduma bila shida yoyote
Kwan ujauzito anabeba mwanaume? Coz mada hapa ni ujauzito vs nssf bima.wewe ni mwanamke ndio maana
Usemacho ni sahihi kabisa.Nimewahi kwenda hospital Kwa doctor Ameer pale faya zaidi ya mara tatu naambiwa nssf hawajaupdate,nalazimika kutumia cash.Bahati Tu ni kwamba nikipeleka risiti kazini narudishiwa gharama zangu zoteHii Bima ya hovyo sijapata kuona, unaenda Hospitali uko hoi Mara unaambiwa Kadi yako haifanyi kazi mpaka uende NSSF wakaihuishe, unalazimika kutumia Cash.
Ukipata nafuu unajikongoja kwenda Ofisi zao kujua nini shida, wanakwambia samahani tulisahau kuupdate michango yako kwenye system, wanabonyeza bonyeza kwenye Kompyuta zao wanakwambia tayari, unaweza kwenda kuitumia.. Ukirejea Hospitali unaambiwa bado haijawa updated rudi tena NSSF wakakuangalizie.
Mjamzito anaambiwa kwa hii kadi yako hatuwezi kukupatia huduma, lipa cash. Wanakera sana. Nilishaachana na lihuduma lao libovu hawa..
Sio kweli kaka, hii bima imenisaidia sana since nimejiunga nayo, hospital unapata huduma zote muhim.Bima ya NSSF ni upuuzi mtupu.
Do sijawah kujua hili.Inategemea na aina ya maradhi unayoumwa,mengine unaambiwa haiwezekani inakubidi utoe cash
Sio kweli kaka, hii bima imenisaidia sana since nimejiunga nayo, hospital unapata huduma zote muhim.