Hospitali za bima ya NSSF kwa hapa Dar

Hospitali za bima ya NSSF kwa hapa Dar

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu ndugu zanguni watanzania,

Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za NSSF.
 
Habari zenu ndugu zanguni watanzania,napenda kuuliza mie nina kadi ya nssf kwa ajili ya matibabu,wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za nssf
Kwan wewe ulichagua hospital gani wakat unajiunga na nssf? Kwa nssf issue ya ujauzito ipo exclude,hasa kwa wanaotumia ile system ya hiari scheme sijui labda kadi yako ni ya mfumo upi.
 
Nilichagua hospital ya dr Hameer,sasaivi wanakupa huduma nyingine tu lakini sasaivi hawana huduma za kulaza wagonjwa,ila mwanzo walikuwa wanalaza ila sasaivi hawalazi,wakaniambia nikitaka docta wa specialist wa mambo ya uzazi itanibidi niongeze hela kila anapokuja clinic,sasa napenda kujua ni hospital gani nyingine inayotoa huduma za uzazi kwa kutumia kadi ya nssf
 
Ila nimeenda hapa kwenye ofisi ya nssf na wamenielewesha vizuri tu
 
Nilichagua hospital ya dr Hameer,sasaivi wanakupa huduma nyingine tu lakini sasaivi hawana huduma za kulaza wagonjwa,ila mwanzo walikuwa wanalaza ila sasaivi hawalazi,wakaniambia nikitaka docta wa specialist wa mambo ya uzazi itanibidi niongeze hela kila anapokuja clinic,sasa napenda kujua ni hospital gani nyingine inayotoa huduma za uzazi kwa kutumia kadi ya nssf
Mm nilichagua bochi bt kwa suala la ujauzito ni mpk mwanachama awe ametimiza miaka mitatu na zaidi napia apewe kibali toka nssf. Mengine yote fresh napata huduma bila shida yoyote
 
kwa mwanamke akichangia miaka 3 ndio anapata iyo huduma,sasa mie ni mwanaume nimemuunga mke wangu,so wamesema haiwezekana kwa mwanamke tegemezi,hapo ataambulia tu huduma nyinginezo za kimatibabu
 
Mm nilichagua bochi bt kwa suala la ujauzito ni mpk mwanachama awe ametimiza miaka mitatu na zaidi napia apewe kibali toka nssf. Mengine yote fresh napata huduma bila shida yoyote
wewe ni mwanamke ndio maana
 
Mm nilichagua bochi bt kwa suala la ujauzito ni mpk mwanachama awe ametimiza miaka mitatu na zaidi napia apewe kibali toka nssf. Mengine yote fresh napata huduma bila shida yoyote
mie miaka mitatu nimeipita mbona,
 
Hii Bima ya hovyo sijapata kuona, unaenda Hospitali uko hoi Mara unaambiwa Kadi yako haifanyi kazi mpaka uende NSSF wakaihuishe, unalazimika kutumia Cash.

Ukipata nafuu unajikongoja kwenda Ofisi zao kujua nini shida, wanakwambia samahani tulisahau kuupdate michango yako kwenye system, wanabonyeza bonyeza kwenye Kompyuta zao wanakwambia tayari, unaweza kwenda kuitumia.. Ukirejea Hospitali unaambiwa bado haijawa updated rudi tena NSSF wakakuangalizie.

Mjamzito anaambiwa kwa hii kadi yako hatuwezi kukupatia huduma, lipa cash. Wanakera sana. Nilishaachana na lihuduma lao libovu hawa..
 
Usemacho ni sahihi kabisa.Nimewahi kwenda hospital Kwa doctor Ameer pale faya zaidi ya mara tatu naambiwa nssf hawajaupdate,nalazimika kutumia cash.Bahati Tu ni kwamba nikipeleka risiti kazini narudishiwa gharama zangu zote

Nssf wanazingua sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli kaka, hii bima imenisaidia sana since nimejiunga nayo, hospital unapata huduma zote muhim.
Inategemea na aina ya maradhi unayoumwa,mengine unaambiwa haiwezekani inakubidi utoe cash
 
Sio kweli kaka, hii bima imenisaidia sana since nimejiunga nayo, hospital unapata huduma zote muhim.

Bima unachagua hospital moja?? are they serious? Kwani binadamu yupo stationary? hana movement? Unachagua hospital moja tu let say KCMC ,siku ukija Dar ukaumwa Bima ya NSSF haikusaidiii sasa hiyo ndiyo BIMA? Si Utopolo huo?? BIMA inatakiwa utibiwe sehemu yeyote nchini.
 
Back
Top Bottom