boda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 341
- 290
Ni Avicii ngoma ya Avicii..
Kwani Titanium ni ya Sia ama David Guetta
Ngoma ya David Guetta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Avicii ngoma ya Avicii..
Kwani Titanium ni ya Sia ama David Guetta
Hahah Mkuu kwenye sauti hujakosea mkuu,Nakubaliana na wewe kabisa,
Lakini sauti ni ya Aloe Blacc au nakosea ?
Hajawai kukosea David Guetta,Ngoma ya David Guetta
Dj snake ana vinanda vyake km mtoto analia ni hatari tupuKali sana hii
Uyu Markus yupo vzuri pia
Sema hata swedish mafia wanaleta tafraniBest 20 Electronic Music Dance(EDM) Djs &producers...2016 miami live ## Ultra music festivals...
1.Hardwell
2.Tiesto
3.Martin Garix
4.Avicii
5.David Guetta
6.Nicky Romero
7.Afrojack
8.Alesso
9.Calvin Harris
10.Jay haddway
11.vicetone
12.deudemaux
13.zedd
14.Dash Berlin
15.sweedish house maffia
16.Nervo
17.Armin van burren
18.Dzeko Tores
19.Axwell & Ingrosso
20.Galantis
Dude,he is really dead,R.I.P avicii, I loved his sings too.I heard some shocking news about Avicii...
It's not yet published by The Avicii Team- Is these really?
I'm still in love with his Music
@RedGiant Malcom
Well he already leave it behind.
he said "one day you will leave this world behind"
Mbna simuoni kygo apoNo 1 apo ni David guetta bana au Avicii sema ni mawazo yangu lkn
Ahh hatareeeWatanzania wanaelewa Shilole Amba lulu gigi money type of music..
Mi naamini muziki ni hisia tuu....
Nothin but The Beat...
Imagine unawekewa instrumental pekee ya David Guetta ft Usher -Without You
Unaweza kua na wendawazimu wa Ed music!!
Ah Swedish mafia wana ile nymbo inaitwa don't you worry child ahhh yan naikubali sana aiseeeSema hata swedish mafia wanaleta tafrani
Ni shidaAh Swedish mafia wana ile nymbo inaitwa don't you worry child ahhh yan naikubali sana aiseee
Hawa majamaa wa EDM wanavipaji vya hali ya juu sana. Zile beats kama zimesukwa na Alliens... Lyrics pia noma sanaWatanzania wanaelewa Shilole Amba lulu gigi money type of music..
Mi naamini muziki ni hisia tuu....
Nothin but The Beat...
Imagine unawekewa instrumental pekee ya David Guetta ft Usher -Without You
Unaweza kua na wendawazimu wa Ed music!!
Hahah tena alliens wa Mars....Hawa majamaa wa EDM wanavipaji vya hali ya juu sana. Zile beats kama zimesukwa na Alliens... Lyrics pia noma sana
Kwl aiseeeHizi edm ni ngoma Fulani za kuamsha hisia balsa....kwa Mara ya kwanza kusikia kwenye klabu za bongo ilikuwa noma sana.... baada ya hapo sizisikii tena club.....yani hawa madj wakibongo hawajui kwamba hizi nyimbo ni changanyikenichanganyikeni.You can dance however you want as long as the body moves...Zinatufaa sana tusiojua kucheza...Rest in Power aviccii.... wake me up!!!!!
SanaàaaHuu uzi nimekuja kuuona baada ya mkali wangu Avicii kututoka jana aiseee jamaa alikuwa anajua sana.