Hot electronic dance music

Hot electronic dance music

Nakubaliana na wewe kabisa,
Lakini sauti ni ya Aloe Blacc au nakosea ?
Hahah Mkuu kwenye sauti hujakosea mkuu,

Ila kinachofanya hizi miziki ya aina hii nadhani David Guetta alishatuambiaga wakati anatoa Without You na Usher akaja kusema tena wakati wa When Love Takes Over ft Kelly,

Aliongelea sana kuhusiana na hisia za music akamalizia kwa kusema "Nothing But The Beat" na albamu yake moja iliitwa ivo...
 
Mwenye kufaham pini kali za House Music..tafadhali anijuze...mi ndo ugonjwa wangu hasa nnapokua njiani safarini nakua active muda wote.
 
Best 20 Electronic Music Dance(EDM) Djs &producers...2016 miami live ## Ultra music festivals...
1.Hardwell
2.Tiesto
3.Martin Garix
4.Avicii
5.David Guetta
6.Nicky Romero
7.Afrojack
8.Alesso
9.Calvin Harris
10.Jay haddway
11.vicetone
12.deudemaux
13.zedd
14.Dash Berlin
15.sweedish house maffia
16.Nervo
17.Armin van burren
18.Dzeko Tores
19.Axwell & Ingrosso
20.Galantis
Sema hata swedish mafia wanaleta tafrani
 
I heard some shocking news about Avicii...

It's not yet published by The Avicii Team- Is these really?

I'm still in love with his Music

@RedGiant Malcom
Dude,he is really dead,R.I.P avicii, I loved his sings too.
 
Hizi edm ni ngoma Fulani za kuamsha hisia balsa....kwa Mara ya kwanza kusikia kwenye klabu za bongo ilikuwa noma sana.... baada ya hapo sizisikii tena club.....yani hawa madj wakibongo hawajui kwamba hizi nyimbo ni changanyikenichanganyikeni.You can dance however you want as long as the body moves...Zinatufaa sana tusiojua kucheza...Rest in Power aviccii.... wake me up!!!!!
 
Huu uzi nimekuja kuuona baada ya mkali wangu Avicii kututoka jana aiseee jamaa alikuwa anajua sana.
 
Watanzania wanaelewa Shilole Amba lulu gigi money type of music..

Mi naamini muziki ni hisia tuu....
Nothin but The Beat...

Imagine unawekewa instrumental pekee ya David Guetta ft Usher -Without You

Unaweza kua na wendawazimu wa Ed music!!
Hawa majamaa wa EDM wanavipaji vya hali ya juu sana. Zile beats kama zimesukwa na Alliens... Lyrics pia noma sana
 
Hawa majamaa wa EDM wanavipaji vya hali ya juu sana. Zile beats kama zimesukwa na Alliens... Lyrics pia noma sana
Hahah tena alliens wa Mars....
Mkuu mimi zile beats zao zinanipaga sana wendawazimu wa mziki...
Kwenye lyrics ukute ni Sia halafu beat ya David Guetta unaweza kudhani kua dunia hii tunaishi milele kumbe kifo nje nje....
 
"I know I am blessed to be able to travel all
around the world and perform, but I have too
little left for the life of a real person behind the
artist,"
Avicii said
Nyimbo karibia zote ni kali
Wake me up
The nights
Hey brother
Lonely together ft Rita ora n.k
Bila kuwasahau major lazer
Swedish house mafia,
Aloe blac,
Calvin harris,
David gueta na wengineo wengi!
RIP AVICII
 
Hizi edm ni ngoma Fulani za kuamsha hisia balsa....kwa Mara ya kwanza kusikia kwenye klabu za bongo ilikuwa noma sana.... baada ya hapo sizisikii tena club.....yani hawa madj wakibongo hawajui kwamba hizi nyimbo ni changanyikenichanganyikeni.You can dance however you want as long as the body moves...Zinatufaa sana tusiojua kucheza...Rest in Power aviccii.... wake me up!!!!!
Kwl aiseee
 
Back
Top Bottom