Nahisi wewe ndio umejichanganya, pasipo mimi unadhani ungeisoma hiyo story au unaropoka tu, unatambua hatimiliki ya hiyo story nikiamua kumchukulia hatua aliye ipost huku, unadhani anaweza kufurukuta katika sheria, kama hujui chanzo cha kitu wewe kaunsha

Hongera sana aiseee
kaka tupia zingine basi,achana na hayo mambo siku nikipata fedha nitakudhamini utengeneze tamthilia.
Nahisi wewe ndio umejichanganya, pasipo mimi unadhani ungeisoma hiyo story au unaropoka tu, unatambua hatimiliki ya hiyo story nikiamua kumchukulia hatua aliye ipost huku, unadhani anaweza kufurukuta katika sheria, kama hujui chanzo cha kitu wewe kaunsha
Yeah very interesting indeed
Ndg mpaka story yako inawekwa huku ulikuwa wapi? Nenda kamshtaki tu mie hata hainihusu
Na hadithi yetu imeishia hapo, clap,clap ,clap
ram acha hizo yeye hakujua kama imekuja huku mpaka alipopewa taarifa na mmoja wa alieleta humu ndani stori yake so ilipaswa mue wapole na sio kumjia juu kivile na wala kugombana hakusaidiaa mnagombania nin??? Mwenye stor wewe endelea tu kutupa utam.maana ulishatukoleaNdg mpaka story yako inawekwa huku ulikuwa wapi? Nenda kamshtaki tu mie hata hainihusu
ram acha hizo yeye hakujua kama imekuja huku mpaka alipopewa taarifa na mmoja wa alieleta humu ndani stori yake so ilipaswa mue wapole na sio kumjia juu kivile na wala kugombana hakusaidiaa mnagombania nin??? Mwenye stor wewe endelea tu kutupa utam.maana ulishatukolea
siwezi kugombana JF mamii, yeye anasema anaweza kumshtaki aliyeileta hapa, hili ni jukwaa huru, hakuna sababu ya kupaniki
Ahhha amshtaki tu na kama n.hivo atashatk wangapi maan stor ipo had wosap huko kwenye mablogu imejaaa aisee itakua kaz basi
Hapo mimi ndipo niliposhangaa na kumuuliza alikuwa wapi hadi story ikaletwa huku