Hot story

Hot story

Nahisi wewe ndio umejichanganya, pasipo mimi unadhani ungeisoma hiyo story au unaropoka tu, unatambua hatimiliki ya hiyo story nikiamua kumchukulia hatua aliye ipost huku, unadhani anaweza kufurukuta katika sheria, kama hujui chanzo cha kitu wewe kaunsha

Hongera sana aiseee
 
kaka tupia zingine basi,achana na hayo mambo siku nikipata fedha nitakudhamini utengeneze tamthilia.
 
Mtumie hata buku 5 ya kifurushi sio usubiri mpaka upate nyingi, mtu mwenyewe unashinda JF utapata wapi fedha za kutengeneza movie.
 
Nahisi wewe ndio umejichanganya, pasipo mimi unadhani ungeisoma hiyo story au unaropoka tu, unatambua hatimiliki ya hiyo story nikiamua kumchukulia hatua aliye ipost huku, unadhani anaweza kufurukuta katika sheria, kama hujui chanzo cha kitu wewe kaunsha

Ndg mpaka story yako inawekwa huku ulikuwa wapi? Nenda kamshtaki tu mie hata hainihusu
 
Ebu achani ubinafsi na kujuwana tupieni vitu tufaidi mambo gani ya kutupa utamu nusu malizia achen malumbano
 
Ndg mpaka story yako inawekwa huku ulikuwa wapi? Nenda kamshtaki tu mie hata hainihusu
ram acha hizo yeye hakujua kama imekuja huku mpaka alipopewa taarifa na mmoja wa alieleta humu ndani stori yake so ilipaswa mue wapole na sio kumjia juu kivile na wala kugombana hakusaidiaa mnagombania nin??? Mwenye stor wewe endelea tu kutupa utam.maana ulishatukolea
 
Last edited by a moderator:

siwezi kugombana JF mamii, yeye anasema anaweza kumshtaki aliyeileta hapa, hili ni jukwaa huru, hakuna sababu ya kupaniki
 
Ahhha amshtaki tu na kama n.hivo atashatk wangapi maan stor ipo had wosap huko kwenye mablogu imejaaa aisee itakua kaz basi
 
Hapo mimi ndipo niliposhangaa na kumuuliza alikuwa wapi hadi story ikaletwa huku
 
Bas bwana yeye kitu kikishakua fb tena kikawa kinapendwa hasa hizi stories bas ajue itakua watu wanakopi na kupaste kila wanapopataka n ngumu kua makini yeye na atulie tu atutungie zingime sie tusome ndo yaliyo bakia
 
kwa hiyo haka ni ka mgomo? acheni ubinafsi na uchoyo, vinginevyo na siye wasomaji tutasusia tuone kama itaendelea kubeba jina la hot story.
 
Back
Top Bottom