Mkuu FMES,
Nimeeleza kuwa kuna mambo mawili ambayo siafikiani nayo kwenye hiyo makala ambayo ni sababu za kukosana hawa wawili, na sababu ya kurudi nyumbani bila shahada. Nakumbuka kusoma maandiko yako siku za nyuma na nakubaliana na wewe kuwa Kambona alikamatwa na masanduku yaliyosheheni dola za US pale Nairobi lakini mwalimu akaruhusu wamwache aende zake. Mbali na kazi yake, hakuwa na shughuli nyingine yoyote ambayo ingehalalisha utajiri aliojipatia haraka haraka. Sasa kama kuzuia wizi mwalimu alikuwa anazuia maendeleo ya wananchi, hiyo iko juu ya uelewa wangu. Kwangu mimi kilichowakosanisha ni ufisadi ambao rangi yake ni sawa kabisa na huu unaopigiwa kelele na kina Slaa ambao sijui kama ni waumini wa azimio la Arusha. Fisadi ni fisadi tu, awe Balali, Nyerere, Kambona...
Kuhusu kurudi bila shahada, naamini kuwa wewe FMES una access ya information toka kwenye sources ambazo ni very reliable. Ukifanya utafiti kidogo utagundua kuwa huyu bwana masomo yalimshinda. Sina sababu yoyote ya kumchukia huyu mzee, lakini nasikitika sana ukweli unapogeuzwa kuwa uongo na uongo kuwa ukweli. Mwalimu anayo madhambi yake na moja ni lile la kukumbatia watu wakiharibu sehemu moja na kupelekwa sehemu kuharibu sehemu nyingine. Lakini pia lipo lile la kutorudi nyuma baada ya kumchukia mtu.
Naona ule usemi "maneno ya mkosaji", story ni nzuri na huo ndio uamuzi wake, tuheshimu maamuzi ya mtu, atakayehitaji atanunua tuu ndio ukweli, huwezi ukawa mpenzi wa story halafu ubanie kutoa 10,000 kununua kitabu ambacho umeshaanza kupata utamu wake. Kama imekuboa wewe susa wengine wale. Eddy malizia story utupe utaratibu wa kupata kitabu, mbona huko bar mnaacha hela nyingi zaidi ya hiyo au kwenye kucheki movie pale mlimani au quality center ni hivyo hivyo tuu. Mnakatishana tamaa halafu msanii asipokuwa na mafanikio mnakuwa wa kwanza kumsema vibaya.
Akwende mwanakwenda huyo
Bondia imeisha ngoja tumsubiri Casuist asiyekuwa na majivuno atulee kitu kingine
Teh umenogewa eehhEddy sema kitabu kinapatikana wapi nipitie wk end hii nilipie copy yangu nijipe raha mie.
Mimi kaniudhi sana, ila nataka kumwambia biashara haifanyiki hiv
Huyu jamaa nimemdharau sana
Kama nimekuudhi nisamehe ila na wewe hujui biashara yoyote juu ya uuzaji wa vitabu, haya si madera ukasema yatapitwa na muda wa kuvaliwa
Umenielewa
Naona ule usemi "maneno ya mkosaji", story ni nzuri na huo ndio uamuzi wake, tuheshimu maamuzi ya mtu, atakayehitaji atanunua tuu ndio ukweli, huwezi ukawa mpenzi wa story halafu ubanie kutoa 10,000 kununua kitabu ambacho umeshaanza kupata utamu wake. Kama imekuboa wewe susa wengine wale. Eddy malizia story utupe utaratibu wa kupata kitabu, mbona huko bar mnaacha hela nyingi zaidi ya hiyo au kwenye kucheki movie pale mlimani au quality center ni hivyo hivyo tuu. Mnakatishana tamaa halafu msanii asipokuwa na mafanikio mnakuwa wa kwanza kumsema vibaya.
Akwende zake kule basi angesema toka mwanzo kama atatoa epsod chache then kutakuwa na kitabu kizima ambacho kitauzwa au itatakiwa ulipie kiasi kadhaa ili uipate Stori nzima, so mtu uamue kabla hujaanza kusoma kuliko hivi alivyofanya, watu tushanogewa alafu anaanza kutulingia!
Kama nimekuudhi nisamehe ila na wewe hujui biashara yoyote juu ya uuzaji wa vitabu, haya si madera ukasema yatapitwa na muda wa kuvaliwa
Umenielewa
Hicho ndio wanakosea unakuja kununua kitabu bado sehemu chache hadithi iishe. Na hata kama akitoa kitabu hakitauza sana kama ambavyo asingeitoa kabisa.
na hii mipasho yako bora urudi Facebook