Hot story

Sikia wewe, sinauda wa kumringia mtu cse kazi ninaifanya kwa kujitoa sana na pia kama una uwezo fanya nilicho kifanya mimi na si kuzungumza kitu usicho na uelewa nacho

Wote tukiwa waandishi nani atakuwa msomaji? Uandishi ni kazi ya sanaa, na msanii anatakiwa akubali kusifiwa, kukosolewa, kushauriwa ili kuboresha kazi yake..... pokea maoni ya watu fanyia kazi sio kujib kwa kukurupuka we vipi? Kumbuka Fanani haendi Bila hadhira!
 

Word!!
 
Kwa bahati mbaya story yangu hukuvilipostowa pasipo idhini yangu, mtu ukitoa maoni tazama na kitu unacho zungumza.Ila kama kuna mtu nimemkera nisamehe, but uamuzi wangu wa kuikatisha story upo palepale hauwezi kubadilika.ASANTENI kwa kuisoma
 
Huyu kaka alitakiwa ajue sisi Ni katika wateja wake so tuongee tuyamalize sasa yeye anataka ngenga mwanaime mzima na mipasho juu ,

Tuheshimiane, ndugu mimi sina mipasho ila ninazungumza kile ninacho jua juu ya kazi yangu.Sipo kwa kupelekeshwa na shabiki wala mashabiki.Kwasababu haya ni maamuzi yangu binafsi, na wewe pia kwenye maisha yako huwa una maamuzi yako binafsi, ambayo usinge penda kuingiliwa na aliye yoyote.Asante
 

Anza kujiheshimu utaheshimiwa
 
Kwa bahati mbaya story yangu hukuvilipostowa pasipo idhini yangu, mtu ukitoa maoni tazama na kitu unacho zungumza.Ila kama kuna mtu nimemkera nisamehe, but uamuzi wangu wa kuikatisha story upo palepale hauwezi kubadilika.ASANTENI kwa kuisoma

kwaheri ya kuonana...!!
 
edy?vipi mtu akinunua kisha akaituma story huku jf unamruhusu?
 
vipi mimi unaniruhusu niendeleze story yako?samahani kama utakereka.
 
Hongera kwa kuwa mtunzi mzuri naamini hadithi yako ikihaririwa na wataalam itakua hadithi bora sana.

Usipaniki hapa ndio Unaweza kutangazia jina lako kibiashara, amini wanunuzi wa hadithi mara nyingi huangalia jina la mtunzi hata kama hadithi mbovu watanunua na Hawajui watanunua tu.

Kwa hapa umeshatangaza jina ila kuwa mvumilivu maana hawa ndio mashabiki wako na mabalozi wako.
 

Tupo pamoja ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…