story za eddy
Member
- Nov 5, 2014
- 42
- 9
Bora wewe umeongea ukweli, maana huyu anataka kubembelezwa,
Sihitaji kubembelezwa am doing best for bussines, if u like or not it's okay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wewe umeongea ukweli, maana huyu anataka kubembelezwa,
Sikia wewe, sinauda wa kumringia mtu cse kazi ninaifanya kwa kujitoa sana na pia kama una uwezo fanya nilicho kifanya mimi na si kuzungumza kitu usicho na uelewa nacho
Wewe kaka utakuwa unaimba taarabu, sijisikii kijibizana na wewe
Wote tukiwa waandishi nani atakuwa msomaji? Uandishi ni kazi ya sanaa, na msanii anatakiwa akubali kusifiwa, kukosolewa, kushauriwa ili kuboresha kazi yake..... pokea maoni ya watu fanyia kazi sio kujib kwa kukurupuka we vipi? Kumbuka Fanani haendi Bila hadhira!
Umenichekesha sana aiseeee
Huyu kaka alitakiwa ajue sisi Ni katika wateja wake so tuongee tuyamalize sasa yeye anataka ngenga mwanaime mzima na mipasho juu ,
Tuheshimiane, ndugu mimi sina mipasho ila ninazungumza kile ninacho jua juu ya kazi yangu.Sipo kwa kupelekeshwa na shabiki wala mashabiki.Kwasababu haya ni maamuzi yangu binafsi, na wewe pia kwenye maisha yako huwa una maamuzi yako binafsi, ambayo usinge penda kuingiliwa na aliye yoyote.Asante
Word!!
Kwa bahati mbaya story yangu hukuvilipostowa pasipo idhini yangu, mtu ukitoa maoni tazama na kitu unacho zungumza.Ila kama kuna mtu nimemkera nisamehe, but uamuzi wangu wa kuikatisha story upo palepale hauwezi kubadilika.ASANTENI kwa kuisoma
Anza kujiheshimu utaheshimiwa
kwaheri ya kuonana...!!
Sawa nimekuelewa
Nashukuru kwa hilo
Knapatikana wp ktb hcho
Hongera kwa kuwa mtunzi mzuri naamini hadithi yako ikihaririwa na wataalam itakua hadithi bora sana.Tuheshimiane, ndugu mimi sina mipasho ila ninazungumza kile ninacho jua juu ya kazi yangu.Sipo kwa kupelekeshwa na shabiki wala mashabiki.Kwasababu haya ni maamuzi yangu binafsi, na wewe pia kwenye maisha yako huwa una maamuzi yako binafsi, ambayo usinge penda kuingiliwa na aliye yoyote.Asante
Hongera kwa kuwa mtunzi mzuri naamini hadithi yako ikihaririwa na wataalam itakua hadithi bora sana.
Usipaniki hapa ndio Unaweza kutangazia jina lako kibiashara, amini wanunuzi wa hadithi mara nyingi huangalia jina la mtunzi hata kama hadithi mbovu watanunua na Hawajui watanunua tu.
Kwa hapa umeshatangaza jina ila kuwa mvumilivu maana hawa ndio mashabiki wako na mabalozi wako.