Hot story

Hot story

Musijali ndugu zangu jana kuna mwehu alikuwa amenivuruga na nyinyi nilivyo ona comment zenu nikawajumlisha ila kama kuna niliye muudhi anisamehe cse ni vitu vya kawaida

Tunashukuru mkuu kwa uungwana wako...na mimi naomba radhi kwa niaba ya wasomaji wenzangu waliokukwaza
 
Eddy yote ya nini maneno maneno ww si unafanya biashara mimi nimekuelewa. Ombi langu toa maelekezo vitabu tunalipia kwa njia gani na tunavipata vipi. Acha kubishana jibu maswali ya msingi fanya biashara
 
hahahahahahh....JF RAHA SANAAAAA....kwanza .tunashukuru mkuu eddy kwa kutuelewa na kufanyia kazi kile mashabiki wako wanachokitaka...2..tusamehe kwa maneno ya hapa na pale ambayo baadhi yalikuumiza mengine yalikukatisha tamaa na mengine yalikufaliji..3.kwaniaba ya woooooote wapenda story tumekusamehe kiroho safi...4.WANAJF MNUNUE KITABU CHAKE KIKITOKA ILI KUZIDI KUMSAPORT KWA KAZI NGUMU ANAYO IFANYA..4....twende kazi na raha ya tanga.....
 
ila jf looooooh....mbwembwe nyingi alafu story mnapendaaa...hahahahh.cheki mlivyotulizwa .haya ngoja tuone yaliyopo kwenye TANGA RAHA.
 
Duh!! Hizi story zako zafaa usome una kiburudisho pembeni maana mhh!! Hongera story za eddy
 
Last edited by a moderator:
***TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO***
FROM:C.E.O-EDDZARIA G.MSULWA
Hi
Ninapenda kutanguliza samahani, kwa wale nilio waunganisha kwenye magroup ya whatsapp, kisha sijapost story kama nilivyo waahidi.Kutokupost kumesababishwa na kuaribika kwa mashine yangu ya kuandikia(LAPTOP).Ambayo nimeisafirisha mkoani Tanga kwa fundi wangu anaye nifanyia matengenezo kila inapopata tatizo.
Pia watu wa kwenye page yangu ya story za Eddy, pia ninawaomba radhi kwa hilo, kwani mfumo wangu wa utendaji wa kazi ni mmoja kwa wote.
Pia wasomaji wangu wa mtandao wa Jamii Forams, ambao kwa sasa mumefika 85,000 na zaidi, kwani mfumo ni mmoja wa kupost story.
***KWA WALE WA WHATSAPP, NIKIANZA KUPOST STORY KAMA SEX DEALLER, na nyinginezo.Nitakuwa ninazirusha private inbox, kwa malipo ya sh.2000
Kwa mwzi, hata wale wataka ihitaji inbox FACEBOOK, JAMII FORAMS.***
Sababu ya kurusha private na si kwenye magroup, nikutokana kwenye magroup kuna msongamano wa fujo za meseji za watu zinazo pelekea wengine kukwazika na kuleft kwenye magroup na hata wanao baki story wanashindwa kuzipata kwa muda naalumu.
Pia wale walio nitumia meseji za kuwaunganisha kwenye magroup au meseji za kawaida kwenye whatsapp, na sijawajibu.Whatsapp yangu ilipata matatizo na kunilazimu kuifuta na kupotezs data zote za nyuma, ukiona kimya tambua wewe ni miongoni mwa watu ambao sikuwajibu chochote, kwani ilifika zaidi ya watu 500 wakinitumia meseji kwa siku moja na kuifanya Whatsapp, ishindwe kufanya kazi vizuri.
NOTE:Nini maoni yako juu ya hili?
Wasiliana nami 0657072588(whatsapp)-T-pesa
0768516188 M-pesa
KUBIPIWA SIHITAJI, WALA VIDEO CALL PIA SIHITAJI:ASANTENI
 

Attachments

  • 1416223434160.jpg
    1416223434160.jpg
    57.3 KB · Views: 615
Back
Top Bottom