story za eddy
Member
- Nov 5, 2014
- 42
- 9
Kikitoka niambie kinapopatikana ndugu
Powa soma hiyo story nyingine ya TANGA RAHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikitoka niambie kinapopatikana ndugu
Powa soma hiyo story nyingine ya TANGA RAHA
Musijali ndugu zangu jana kuna mwehu alikuwa amenivuruga na nyinyi nilivyo ona comment zenu nikawajumlisha ila kama kuna niliye muudhi anisamehe cse ni vitu vya kawaida
Ile ya Eddy mpaka lin
Tunashukuru mkuu kwa uungwana wako...na mimi naomba radhi kwa niaba ya wasomaji wenzangu waliokukwaza
Laptop yangu imehatibika juzi nimeituma mkoani kwa fundi wangu ikirudi kazi inaendelea kama kawa
Poa kaka ila nitakuwa nakusumbua mpaka ukome ila itabid unisamehee
Mkuu eddy tuna pataje vitabu vyako
oya umezingua,,mbona hamna muendelezo??,,,au ndo mb zimekata