Hot story

Hot story

***TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO***
FROM:C.E.O-EDDZARIA G.MSULWA
Hi
Ninapenda kutanguliza samahani, kwa wale nilio waunganisha kwenye magroup ya whatsapp, kisha sijapost story kama nilivyo waahidi.Kutokupost kumesababishwa na kuaribika kwa mashine yangu ya kuandikia(LAPTOP).Ambayo nimeisafirisha mkoani Tanga kwa fundi wangu anaye nifanyia matengenezo kila inapopata tatizo.
Pia watu wa kwenye page yangu ya story za Eddy, pia ninawaomba radhi kwa hilo, kwani mfumo wangu wa utendaji wa kazi ni mmoja kwa wote.
Pia wasomaji wangu wa mtandao wa Jamii Forams, ambao kwa sasa mumefika 85,000 na zaidi, kwani mfumo ni mmoja wa kupost story.
***KWA WALE WA WHATSAPP, NIKIANZA KUPOST STORY KAMA SEX DEALLER, na nyinginezo.Nitakuwa ninazirusha private inbox, kwa malipo ya sh.2000
Kwa mwzi, hata wale wataka ihitaji inbox FACEBOOK, JAMII FORAMS.***
Sababu ya kurusha private na si kwenye magroup, nikutokana kwenye magroup kuna msongamano wa fujo za meseji za watu zinazo pelekea wengine kukwazika na kuleft kwenye magroup na hata wanao baki story wanashindwa kuzipata kwa muda naalumu.
Pia wale walio nitumia meseji za kuwaunganisha kwenye magroup au meseji za kawaida kwenye whatsapp, na sijawajibu.Whatsapp yangu ilipata matatizo na kunilazimu kuifuta na kupotezs data zote za nyuma, ukiona kimya tambua wewe ni miongoni mwa watu ambao sikuwajibu chochote, kwani ilifika zaidi ya watu 500 wakinitumia meseji kwa siku moja na kuifanya Whatsapp, ishindwe kufanya kazi vizuri.
NOTE:Nini maoni yako juu ya hili?
Wasiliana nami 0657072588(whatsapp)-T-pesa
0768516188 M-pesa
KUBIPIWA SIHITAJI, WALA VIDEO CALL PIA SIHITAJI:ASANTENI

sasa umeweka picha yako ili iweje ??
Halafu calorite paka vizuri umekuwa kama soda ya pepsi
 
sasa umeweka picha yako ili iweje ??
Halafu calorite paka vizuri umekuwa kama soda ya pepsi
Acha wivu wewe , mwache kijana ale kipaji alichopewa na Mung nataka usome bure tu wakati ukienda kule bugurun unauziwa na hata pale sinza mori pia unauziwa
 
sasa umeweka picha yako ili iweje ??
Halafu calorite paka vizuri umekuwa kama soda ya pepsi

I love you so much mpenzi wangu MO11.
....halafu umemuona kamechisha shati la satin na mawani?
 
Last edited by a moderator:
I love you so much mpenzi wangu MO11.
....halafu umemuona kamechisha shati la satin na mawani?

la azizi nimekumiss hadi nimekumiss tena maana
kamechisha hadi macho kalegeza

everlyn salt anakusalimia baby
 
Last edited by a moderator:
la azizi nimekumiss hadi nimekumiss tena maana
kamechisha hadi macho kalegeza

everlyn salt anakusalimia baby

....Kama huyo ndo Admin kwenye kundi lake.....basi kazi ipo kwa members.
Utafikiri mjeda kwa hiyo mikwara.

Then nasikia una mke humu...nitajie kabla sijamsaka.
 
Last edited by a moderator:
....Kama huyo ndo Admin kwenye kundi lake.....basi kazi ipo kwa members.
Utafikiri mjeda kwa hiyo mikwara.

Then nasikia una mke humu...nitajie kabla sijamsaka.

hili swali akiniuliza mimi ni ugomvi mke wangu maswali aulize yeye atakula makofi tu
 
TANGA RAHA 7
ILIPOISHIA
Tukaagizia kifungua kinywa baada ya muda muhudumu akatuletea tulicho muagizia,Tukuwa katikati ya kula gafla Rahma akainama chini ya meza baada ya kuwaona wanaume wawili wenye asili ya kiarabu wakipita katika eneo tulilopo huku wakionekana kumtafuta mtuENDELEA
Nikabaki nikijiuliza maswali ni kwanini Rahma anaijificha baada ya kuwaona jamaa hao wawili.Walipondoka Rahma akanyanyuka huku akitabasamu
“Wakina nani wale”
“Wale ni wajomba zangu”
“Wanatafuta nini?”
“Sijajua ila nahisi kama wapo katika biashara zao”
“Isije wakawa wanakutafut a wewe”
“Hapana Sir wala usiwe na wasi wasi”
Tukaendelea kupata kifungua kinywa huku wakati wote nikiwa makini kama nitawaona jamaa wale wa kiarabu ambao Rahma anadai ni wajomba zake.Rahma akaniaga anakenda chooni mimi nikabaki nikimalizia kula.Dakika tano mbeleni Rahma akanitumia meseji
{SIR NAOMBA UJE CHUMBA NO 112}
{POWA}
Nikanyanyuka na kwenda hadi sehemu ya mapokezi ambapo wakanielekeza ni wapi niende.Haikuniwia ugumu san akufika katika chumba alichoniambia Rahma,nikagonga akanifungulia na kumkuta akiwa amejifunga taulo akijiandaa kwenda kuoga.Rahma akanitazama kwa macho yaliyojaa mahaba huku taratibu akinifungua vifungo vya shati langu.Mikono yangu nikaipeleka kiunoni mwa Rahma na kuanza kukiminya minya kiuno chake kilaini na kumfanya Rahma aanze kutoa miguno ya raha,Nikambeba hadi katika kitanda cha sita kwa sita chenye godoro kubwa na linalobonyea vizuri kiasi kwamba linaleta hamasa ya kufanya mechi kiuhakika

Rahma akaanza kunilamba kifua cangu hususani vijichuchu vyangu vya kifuani huku taratibu akipitisha pitisha kiganja chake taratibu na kuzidi kunipagawisha.Sikutaka niwe nyuma na mimi nikaanza kumpandisha taulo lake taratibu huku na mikono yangu ikaanza kuyaminya minya makalio yake makubwa kiasi ambayo yana ulaini wa aina yake.Rahma akajitoa mikononi mwangu na kuanza kuufungua mkanda wa suruali yangu huku nikiwa nimejilaza kitandani.Alipo maliza akanivua suruali yangu pamoja na viatu kisha akaanza kuichezea chezea koki yangu.Rahma akanitazama usoni jinsi ninavyotoa mihemo mikali na kukifanya kifua changu kujaa na kusuka,akaiingiza koki yangu mdomoni mwake hapo ndipo nilipozidi kuchanganyikiwa kwani Rahma kusema ukweli anaijulia kuinyonya koki yangu

Rahma akaendelea na unyonyaji wa koki yangu huku akivichezea chezea vitenesi vyangu huku mara kwa mara akirudia kuvinyonya.Rahma akajilaza na kuipanua miguu yake huku akiniomba niinyonye ikulu yake.Sikufanya ubishi taratibu nikaanza kuinyonya ikulu yake huku mara kwa mara akijaribu kunikandamiza kwa mikono yake nizidi kuinyonya ikulu yake huku akitoa vilio vya hali ya juu na kunifanya nizidi kumnyonya ikulu yake.Alipo tosheka nikapaka koki yangu mate kidogo kisha taratibu nikaiingiza ndani ya ikulu yake,Rahma akaanza kunionyesha mautundu ya kukatika kiunoo huku akitoa vilio kama mototo mdogo jambo lililozidi kunipagawisha na kujikuta nikizidisha kasi ya mashambulizi huku nikitumia ujuzi nilio upata jana usiku kwa Mama Fety
Rahma akajilaza kifudi fudi na kuipanua miguu yake kisha na mimi nikaingia katikati yake na shughuli ikaendelea,Rahma akazidi kunipagawisha pale alipoanza kuyachezesha makalio yake na kuyafanya yatetemeke kama simu iliyowekwa vibration huku miguu yake akiirusha rusha kama mtu anaye ogelea
“Sir Eddy”
“Mmmm……..!!”
“Nakupenda sana mpenzi wangu”
“Hata mimi pia ninakupenda”
“Nakuomba usinisaliti”
“Siwezi baby”

Tulizungumza huku tukizidi kupagawishana huku mechi ikitawaliwa na rafu mbalimbali kutokana hakuna refa kila mtu anajaribu kulipiza rafu atakayochezewa na mwenzake moja wapo ya rafu hizo ni vibao ambayo ninampiga Rahma kwenye makalio yake huku na yeye akinilipizia kwa kunifinya katika mikono yangu.Kusema ukweli Rahma alizidi kunipagawisha huku akinitukana matusi yasiyo na idadi.Nikakaa kitako na kunyoosha miguu yangu na Rahma akaikalia koki yangu huku akiwa amenikumbatia na mechi ikaendelea huku safari hii akizidisha kasi ya kuikalia koki yangu.Nikaupeleka mdomo wangu kwenye shingo yake na kuanza kuinyonya sikuishia hapo nikaudumbukiza ulimi wangu kwenye masikio yeka na kumzidisha Rahma midadi akaa kama Nyati mwenye hasira aliye jeruhiwa kwa risasi na wawindaji.Rahma akaiweka mikono yake nyuma kwenye kitanda huku akitazama juu na kuendelea kuikatikia koki yangu na kunifanya nizidi kuchanyanyikiwa,Kwa mbali nikaanza kuhisi raha ambayo wanaume tukifikia katika eneo hilo ata ukiambiwa ufanye kitu chochote utakubali kwani mwioli na akili vyote vinakuwa vinahamia katika ulimwendu ambao ni wa ajabu

Rahma naye nakaanza kumuona akizidisha kasi ya mashambulizi huku mwili wake ukianza kukakamaa huku ikulu yake ikiibana vizuri koki yangu na kwa mbalia akaanza kutoa vilio vilivyoambayana na machozi,Ukimya mkali ukatawala kati yetu huku kila mmoja akiyasikilizia mapigo yake ya moyo yanavyokwenda.Rahma akajinyanyua taratibu na kunikumbatia huku akiwa analia kidogo wasiwasi ukaanza kunivaa
“Baby mbona unalia?”
“Eddy nakupenda sana nahitaji uwe mume wangu halali wa ndoa”
“Rahma wewe bado ni mwanafunzi”
“Nalijua hilo Eddy ila najua nitamaliza shule na utanioa”
“Rahma”
“Mmmm”
“Soma kwanza mke wangu na ndoa tutafunga”
“Sawa Sir ila kuna kitu nataka nikuambie ila naomba usikasirike”
“Niambie tu baby”
“Huto kasirika?”
“Ndio”
“Mimi kwetu tumezaliwa wawili dada yangu yupo uarabuni ameolewa mwaka juzi.Ila kama umewahi kusikia jinsi sisi waarabu tunavyoandaliwa wachumba tukiwa bado wadogo……..Nyumbani kwetu waliniandalia mwanaume na tayari amesha nitolea mahari hapa ananisubiri nimalize anioe”

Rahma alizungumza katika hali ya utulivu huku akiwa aamenikunbatia huku akiendelea kulia na kunifanya moyo wangu kuniuma baada ya kusikia swala la kutaka kuolewa
“Eddy wazazi wangu na matajiri sana na wanauwezo mkubwa wa kifedha ila siyafurahii maisha ya nyumbani kwetu nimekuwa ni mtu wa kuchungwa chungwa kiasi kwamba ninakosa uhuru wa kufanya mabo yangu”
“Sasa Rahma ikitokea wazazi wako kujua unamahusiano na mimi tena mwalimu wako hivi huoni itakuwa ni tatizo kwangu?”
“Eddy mimi ni mjanja sana na ninatumia akili sana katika swala la kuonana na wewe.Hii safari ya kuja huku niliipanga siku tatu nyuma ni nikawaomba wazazi wangu wakanikubalia”
“Na uliwaagaje?”
“Niliwaaga kwamba ninakwenda kumtembelea bibi yangu anaishi maeneo ya huku huku,Na nilizungumza na bibi asubuhi nikamwambia nitachelewa kwenda kwake………Eddy sijawahi kufurahia penzi kama unalo nipa wewe.Kweli wewe ni mwanaume na mwanamke akinata kwako hatohitaji kutoka”
“Lakini Rahma tisa kumi hivi ikitokea umeolewa unahisi mimi nitakuwa katika hali gani?”
“Eddy nakuapia hakuna atakaye nioa wewe ndio mume wangu wewe ndio mwanga wa maisha yangu,Eddy mimi nilikuwa ninawadharau sana watu weusi nikiona hawana maana kwangu haswa wanaume.Nipo tayari nitoroke niende sehemu yoyote tukaishi pamoja”
Kabla sijazungumza kitu simu ya Rahma ikaita akaniachia taratibu huku akijifuta machozi na kushuka kitandani.Akaipokea simu yake na kuanza kuzungumza kiarabu ambacho sikielewi hata kidogo.Akamaliza kukata simu yake kisha akanigeukie
“Nilikuwa nazungumza na bibi nikamwambia kuna sehemu Napata kifungua kinywa”
“Ahaaa”
“Baby twende basi tukaoge”
Nikanyanyuka kitandani na tukaongozana kuelekea bafuni.Rahma akafungua bomba la maji kisha tukakumbatiana huku Rahma akianza kulia tena
“No baby usilie”
“Hapana Eddy wazazi wangu wananionea hawanipi uhuru kwanini kila kitu ni mimi na mbaya zaidi huyo mwanaume wanayetaka kuniozesha yaani ni kama babu yangu”
“Ana umri gani?”
“Sijajua ila hata ukimuona wewe utashangaa”
“Anaishi hapa hapa hapa Tanga?”
“Hapana yeye anaishi Omani huko uarabuni”

Nikaendelea kumbembeleza Rahma hadi akanyamaza tukaoga na kutoka bafuni.Rahma akavaa nguo zake.
“Baby acha mimi niende hapo mbele kwa bibi kisha nitarudi kukuchukua”
“Sawa utanikuta humu humu au ukinikosa humu utanipigia simu”

Rahma akafungua pochi yake na kutoa laki tatu na kunipa kwa ajili ya matumizi ya hapo hotelini ikiwemo chakula cha mchana kisha akanibusu mdomoni na kutoka chumbani.Nikafunga mlango na kupanda kitandani nikaanza kuhisi kiusingizi kwa mbali kabla sijalala nikasikia mlango ukigongwa nikajifunga taulo na kwenda kufungua mlango nikakutana na muhudumu wa kike akiwa kisinia kilicho funikwa.Akaniomba kuingia nikamruhusu akakiweka chakula juu ya meza.Akiwa ameinama kijisketi kake kakapanda juu kwa nyuma na kuyaacha mapaja yake wazi na kunifanya koki yangu kuaanza kutuna kwenye taulo nililo jifunga kiunoni

Mhudumu akasimama na kugeuka kabla hajazungumza alichokuwa anataka kuzungumza nikamuona akiwa ameduwaa huku amci yake akiyaelekezea katika koki yangu iliyotuna kwenye taulo langu huku taratibu akizing’ata ng’ata lipsi zake.Tukabaki tumetazamana kwa muda,nikauvunja ukinya kwa kukohoa kidogo
“Ahaa karibu kwa chakula kaka yangu”
“Asante”
“Kuna dada alitoa oda ya chakula hicho”
“Shukrani”
Simu yangu ikaanza kuita nikapiga hatua za haraka kwenda kuipokea huku nikimgonga kidogo muhudumu begani kitendo cha kuinama na kuiokota suruali yangu iliyopo chini ili kuitoa simu yangu mfukoni gafla taulo langu likafunguka na kudondoka chini huku muhudumu akibaki ananishangaa

ITAENDELA
INVITE YOUR FRIEND TO LIKE THIS PAGE NA YOU MAY SHARE THIS STRORY
USIKOSE KITABU CHA MY MOMY FRIEND KITAKACHOINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI

*****TANGA RAHA*****(8)
AGE………………………………………18+
WRITER……………………………….EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA
Simu yangu ikaanza kuita nikapiga hatua za haraka kwenda kuipokea huku nikimgonga kidogo muhudumu begani kitendo cha kuinama na kuiokota suruali yangu iliyopo chini ili kuitoa simu yangu mfukoni gafla taulo langu likafunguka na kudondoka chini huku muhudumu akibaki ananishangaa.
ENDELEA
Nikashika na bumbuwazi huku nisijue ni nini nifanye huku muhudumu akiwa hakwepeshi hata jicho katika kunitazama katika kiko yangu.Nikaitoa simu na kukuta ni Rahma anaye piga.Nikaipokea huku nikiwa ninaliokota taulo taratibu
“Baby umeshaletewa chakula”
“Ndio baby”
“Ok mimi nimeshafika kwa bibi nikitaka kuja huko nitakuambia”
“Sawa mke wangu”
Nikakata simu na kumkuta muhudumu akiwa anmenata kama amedandishwa na superglue kwani hakutingishika wala kukwepesha sura yake katika taulo ambalo limeifunika koki yangu
“Hei dada…..dada”
Akastuka na kwa aibu akatoka pasipo kuzungumza chochote na akaufunga mlango na nikabaki nikijifikiria ni kitu gani cha ajabu alicho kiona muhudumu mpaka akawa anashangaa kiasi cha kunifanya nimshangae.Nikala chakula ambacho kimeletwa na muhudumu kwenye chumba changu.Nikamaliza na kuvaa nguo zangu na kwenda kutembelea maeneo ya hteli hiyo yenye mandhari mazuri ya kupendeza.Nikatafuta sehemu ya kukaa iliyopo kandokando ya swimming pool na kagizia juisi baridi na kuanza kunywa huku nikimsubiri Rahma kuja kunihukua.Nikiwa ninaendelea kunywa juisi yangu kuna wasichana wawili warembo wakaja kukaa kwenye kitanda kilichopo pembeni yangu huku wakianza kuvua nguo zao kwa ajili ya kuogelea katika swimming pool hilo
Wakabaki na nguo zao za ndani na kujitosa ndani ya maji na kuanza kuogelea.Wakiwa wanaendelea kuogelea mmoja anayeonekana si mzoefu sana katika kuogelea akaanza kupiga kelele ya kuomba msaada wa kuokolewa.Nikanyanyuka haraka haraka na kuvua viatu na kuitoa wallet yangu yenye pesa pamoja na simu mfukoni na kujitosa ndani ya maji.Nikaogelea hadi katika eneo alilo kuwepo nikamsubiria maji ya mlegeze kwanza kwa sekunde kadhaa nikihofia enedapo nikimuokoa akiwa katika hali yake ya kuwa na nguvu anaweza kunizamisha na mbaya zaidi sehemu waliyopo katika swimming pool hilo kuna kina kirefu kwenda chini.Nikamshika vizuri na kwenda naye njee na kumlaza katika ukingo wa swimming pool hilo huku nikianza kumminya minya kifuani ili atapike maji aliyo yanywa nikaanza kumpa pumzi kwa kumpulizia mdomoni kwake.Wahudumu wa kiume wa hotel wakawa tayari wameshafika katika eneo hilo na kunisaidia katika zoezi la kumtapisha msichana huyo huku mwenzake akiwa pembeni akilia
Baada ya muda kidogo akastuka na kila alipo kohoa akawa anayatapika maji aliyoyanjwa.Nikawaachia wahudumu wa Hoteli waendelee na hudumu nyingine zaidi.Nikarudi katika sehemu yangu niliyokuwa nimekaa nikavikuta vitu vyangu vipo katika usalama kama nilivyo viacha.Nikawa na kazi ya kusubiri nguo zangu zikauke,Yule muhudumu aliye niletea chakula chumbani akanifwata na kunisalimi
“Pole mwaya kaka yangu”
“Asante”
Akaaki kimya huku akionekana amekosa cha kuzungumza na akabaki anajing’ata ng’ata vidole vya mikononi
“Vipi unatatizo lolote?”
“Apana kaka yangu”
“Basi chukua hii ukanywe soda”
Nikapatia elfu ishirini akazipokea ila kwa haraka haraka nikawa nimeitambua dhamira yake ni ipi.Akapiga hatua kama kumi akasimama na kurudi nilipokuwa
“Samahani kaka yangu sijui ninaweza kuipata nambaya yako ya simu?”
“Powa”
Nikamtajia namba yangu ya simu kisha akanibip na akaondoka kwa furaha akijumuika na wahudumu wengine waliokuwa wakishuhudia yule msichana aliye taka kuzama kayika swimming pool.Nikamuona Rahma akija kwa hatua za haraka eneo nililokaa huku akionekana kuwa na wasiwasi
“Baby upo salama?”
“Ndio mbona umekuja haraka haraka kiasi hicho?”
“Wee acha tu kuna rafiki yangu yupo hapa amenipigia simu na kuniambia umezama kwenye swimming pool yaani amenifanya mpaka hapa mapigo yangu ya moyo hayapo sawa”
“Amekudanganya kuna wasichana wawili walikuwa wakiogelea hapa mmoja akaomba msaada wa kuokolewa ndio maana na mimi nikamuokoa.Ila sikuzama”
“Pole sana mpenzi yaani bado nusu presha ipande”
“Imekuwaje huyo rafiki yako anijue wakati hujawahi kuniambia kwamba kuna rafiki yako anayatambua mahusiano kati yangu na wewe?”
“Hapana Sir sikutaka kukuambia kwani nilijua utakasirika ila ni rafiki yangu mmoja yu ndio nimemuamia kuwa wewe ni mpenzi wangu ila yeye amekuja huku na bwana yake”
“Rahma kuwa makini bwana isije ikafikia hatua ukasababisha nikafugwa si unajiju wewe bado ni mwanafunzi”
“Nimekuelewa Sir ila nakuomba unisamehe kwani sipendi ukasirike mpenzi wangu”
“Powa ila sitaki hii siri ivuje pale shule kwani itanigharimu sana”
Tukachagua eneo jengine la kwenda kukaa na kuanza kuzungumza mambo mengi juu ya maisha yetu huku tukisimuliana maisha ya nyuma.Nikaanza kumsimulia Rahma historia ya maisha yangu
“Kusema ukweli mimi nimezaliwa katika familia ya kimasikini mkoani Morogoro na wazazi wangu walifariki na kuniacha nikiwa na umri wa miaka kumi huku mdogo wangu anaye fwatia ni wa kike ambaye kipindi wazazi walipo fariki walimuacha akiwa na miaka saba.Kitu ambacho wazazi wetu walituacha nacho ni shamba la heka kumi pamoja na kajumba kamoja ka matofali ya kuchoma.Kutokana na uroho wa mali wa ndugu upande wa baba wakatupokonya shamba la mpunga tulilo achiwa mimi na mdogo wangu na wakaliuza
Hawakuishia hapo wakatufukuza katika nyumba ambayo tulikuwa tunaishi na mdogo wangu na kutokana ni kijijini na ilikuwa ni miaka ya nyuma hatukujua ni wapi kwa kwenda kushtaki.Usiku ambao sinto usahau ni usiku wa tarehe 24 mwezi wa 12 ambapo tulikuwa tunatoka na mdogo wangu katika mkesha wa krismasi,Kutokana hatukuwa na makizi maalumu ya kuishi sisi kila sehemu kwetu ilikuwa ni kambi.Tukiwa tunajiandaa kulala nje ya duka moja lililokuwa kijiji cha pili kutoka katika kijiji chetu ambacho ndugu wa upande wababa walitufukuza na walituambia tusionekane kabisa katika kijiji hicho la sivyo watatufanyia kitu mbaya.Sungusungu wapatao wanne walituzingira na walinishika mimi na kunifunga kamba katika miguu na mikono kisha mdogo wangu wakambaka na kumuingilia kinyume na maumbile huku wakipokezana kwa zamu na kusababisha kifo cha mdogo wangu mbele ya macho yangu.”

Sikuweza kuimalizia story ya maisha yangu na nikajikuta ninalia kama motto mdogo mbela ya Rahma huku naye kwa kunionea huruma machozi yakaanza kumdondoka taratibu huku akijaribu kuninyamazisha kwa kunibembeleza.Rahma akatumia kama dakika kumi na tano kunibembeleza hadi nikanyamaza
“Eddy pole sana mpenzi wangu”
“Nimepowaa ila katika maisha hiyo ni hali ya kawaida na huwakumba wanadamu wengi”
Kutokana muda ulishakwenda sana tukaondoka na kuingia katika gari na safari ya kurudi Tanga mjini ikaanza
“Baby hivi unaweza kuendesha gari?”
“Hapana siwezi kuendesha.Alafu Rahma uwe unaniita Sir Eddy kwani siku unaweza ukajisahau shule na kuniita Baby mbele ya watu ikawa ni balaa jengine”
“Sawa usijali kwahilo na siku tukipata muda nitakufundisha gari sawa mpenzi wangu”
“Nitashukuru”
“Alafu Sir kuna kitu nitakuambia pale kitakapo kamilika”
“Huwezi kuniambia wakati huu?”
“Hapana nataka nikufanyie surprise”
Tukafika Tanga mjini na akanipeleka katika bustani moja inaitwa Forozani ambayo ina mjumuiko wa watu mbali mbali wanopata chakula na vinywaji huku wengine wakipiga story zao,Tukashuka kwenye gari huku nikiwa nimevalia kofia ya Rahma iliyo niziba uso ili hata kama kuna mtu anaye nifahamu isiwe ni rahisi kunitambua vizuri.Rahma akaagizia chakula kikaletwa na muhudumu tukaanza kula.Tulipomaliza tukaingia tena kwenye gari na safari ya kwenda kwangu mtaa wa Chuda ikaanza,haikuchukua muda kufika kwangu.Rahma akalisimamisha gari sehemu ambayo alilisimamisha asubuhii nikashuka kabla hajafika simu yeke ikaita na akaonekana kustushwa na simu hiyo.Akaipokea na kuanza kuiogea nayo kwa upole huku akitumia lugha yao ya kiarabu.
Rahma akiwa anaendelea kuzungumza na simu kwa mbali nikamuona Mama Fety(Fatuma) akija katika eneo la ninapoishi hokum akiwa ameongozana na mwanamke mwengine ambaye sikuweza kumtambua mara moja kwani bado wapo mbali kidogo na nilipo simama mimi

ITAENDELEA

INVITE YOUR FRIEND TO LIKE THIS PAGE NA YOU MAY SHARE THIS STRORY
USIKOSE KITABU CHA MY MOMY FRIEND KITAKACHOINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI

******TANGA RAHA*****(9)
AGE………………………..18+
WRITER…………………….EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA
Rahma akiwa anaendelea kuzungumza na simu kwa mbali nikamuona Mama Fety(Fatuma) akija katika eneo la ninapoishi huku akiwa ameongozana na mwanamke mwengine ambaye sikuweza kumtambua mara moja kwani bado wapo mbali kidogo na nilipo simama mimi
ENDELEA
Rahma akamaliza kuzungumza na simu akashush kiio cha gari katika upande nilio simama mimi
“Baby wala siingii ndani hapa baba amenifokea kama nini kwa jinsi nilivyo chelewa”
“Sawa tutaonana kesho shule?”
“Powa.Nakupenda Sir Eddy”
“Hata mimi ninakupenda pia”
Rahma akawasha gari na kuondoka.Nikabaki nimesimama huku nikiwaona Mama Fety na mwenzake wakija nilipo simama
“Mambo Eddy?”
“Powa vipi?”
“Safi mida ya mchana nilikuja sikukuta ulikwenda wapi?”
“Kuna sehemu nilikwenda kufwatilia mambo yangu ndio ninarudhi hivi”
“Ahaa vipi chai ulikunywa”
“Ohhh yaani mwanao alipokuwa anaileta yaani nilikuwa ndio naondoka ikanibidi niiweke ndani na sasa hivi kama unavyo niona ndio ninarudi”
Nikamuona rafiki wa Mama Fety akimminya Mama Fety kiunoni kama anapeana ishara ila sikujua ni ishara ya nini
“Karibuni ndani”
Tukaingia chumbani kwangu nikawakaribisha na kuwawashia video waangalie wanachopenda kuangali.
“Baby huyu ni rafiki yangu anaitwa Saumu…..Saumu huyu kama nilivyo kuadisia anaitwa Eddy ndio mahabuba wangu”
Utambulisho alio ufanya Mama Fety haukunifurahisha hata kidogo japo ninajitahidi kuweka sura ya furaha usoni kwangu
“Nashukuru kukufahamu Eddy”
“Na mimi pia nasg=hukuru kukufahamu”
Nikachukua Laptop yangu na kuanza kupangilia mada nitakazo fundisha shuleni siki itakayo fwata.Wakaendelea kutazama Video baada ya muda Mama Fety akanyanyuka kutoka katika sofa alilo kaa hadi kwenye sofa nililo kaa mimi.
“Baby”
“Mmmmm”
“Mbona upo kimya jamani hata huzungumzi na sisi?”
“Kuna kazi hapa nina ifanya si unajua kesho ni Jumatatu inanibidi kupangilia kila kitu cha kufundisha mapema ili kesho nisipate tabu”
“Utamaliza saa ngapi?”
“Kwani munataka kuondoka?”
“Hapana ila nilitaka kujua ni saa ngapi utamaliza kwani mimi na rafiki yangu tunataka tukupeleke ukashangae shangae mji”
“Kwa hili best itakuwa ngumu”
“Kwa nini jamani?”
“Hap nilipo nimechoka kiasi kwamba nikimaliza tu hii kazi nalala ili kesho nisichelewe kazini”
“Jamani Baby si tunakwenda mara moja mida ya saa tano tano tunarudi”
“Yaani kweli kwa hapo nisamehe baby hembu tufanye siku nyingie”
“Mama Fatuma kweli shemeji Eddy anaonekana amechoka muache apuumzike kwani si yupo kila siku”
“Shemeji umeona eheeee”
“Haya bwana mumeamua kunishambulia watu wawili basi sina jinsi inabindi nikubaliane na nyini”
Nikashukuru Mola kwa shemeji Saumu kunitetea.Mama Fety akarudi alipokuwa amekaa awali na kuendelea kutazama video,baada ya dakika kumi wakaaga na kuondoka mimi nikashukuru Mungu.Nikamaliza kufanya kazi zangu nikaingia bafuni nikaoga na kupanda kitandani na kuaanza kuulazimisha usingizi huku kumbukumbu za maisha yangu ya nyuma zikianza kunijia akilini.Machozi yakaanza kunimwagika nilipokumbuka jinsi baba na mama walipokufa siku moja wakiwa shambani wakilima.Inasadikika kuwa radi ya kimiujiza iliwapiga na kuwaua na chakushangaza jua lilikuwa ni kali katika siku hiyo na hapakuwa na dalili yoyote ya mvua kushusha.Sura ya mdogo wangu ikaanza kunijia nikakumbuka kipindi mdogo nilipokuwa nina cheza naye hadi siku anafariki kwa kubakwa mbele ya macho yangu
Nikakumbuka jinsi nesi mmoja laiyejitolea katika kunisaidia akanipeleka katika kituo vha kulelea watoto yatima kilichopo Iringa ambapo nilipata fursa ya kuendelea na elimu yangu ya msingi na kufanikiwa kufaulu vizuri na kuendelea na eleimu yangu ya sekondari hada kidato cha sina na kufanikiwa kuingia chuo na kusomea ualimu.Na hapo ndipo nikaajiriwa Tanga Mjini na katika maisha yangu yote nilitokea kuwaogopa wasichana hadi Rahma aliponitoa uoga wangu siku mbili za nyuma.Kwa msongamano wa mawazo nikapitiwa na usingizi na kulala.
Nikastushwa nn sauti ya mlio wa saa yangu ya ukutani ikiniashiria ni asubuhu,Nikajiandaa na kwenda zangu shule kuwajibika.Nikafika shule moja kwa moja nikaongoza hadi ofisini na kuwakuta baadh ya wanafunzi waalimu wakiendele na na maandalizi ya masomo yao tukasalimiana nao na kukaa katika sehemu yangu.Kendelea ya wanafunzi kukusanyika ikawadia kama kawaida yangu nikaenda kwenye mkusanyiko huo wa wanafunzi ambao mara nyingi waalimu tunautumia katika kutoa matangazo.Wanafunzi wakiwa wanaendelea kuwepo mstaarini nikaliona gari alilo kuja nalo Rahma jana nyumbani kwangu.Akashuka mwana mama wa kiarabu huku wakiongozana na Rahma anayeonekana mnyonge kama mtu aliyetoka kupigwa muda mchache ulio pita.Wakapokelewa na mwalimu wa zamu na kuelekezwa katika ofisi za waalimu.Furaha yangu yote ikapotea nikajikuta nina shauku ya kutaka kujua ni kwanini Rahma ameletwa shule tena akiwa katka hali ya unyonge.
Wanafunzi walipo tawanyika nikaelekea ofisini na kuwakuta Rahma na Mama aliyemleta huku wakiwa wanazungumza na mwalimu wa zamu
“Malimu hii toto kuwa jinga sana……yeye chelewa chelewa rudi nyumbani chelewa amka yeye leo fanya tia yeye makofi awai amka ndio lete mimi hapa shule”
Mama aliye mleta Rahma alizungumza kwa Kiswahili kibovu ila niliweza kumuelewa,Rama akawa ananitazama kwa macho ya kuuiba iba huku akiwa amenunu
“Sawa mama tumekuelewa ila mwanao si jeuri na tabia yake ni njema labda hiyo tabia ya kuchelewa awe ameianza siku za hivi karibuni”
“Sawa malimu ila jana yeye danganya mimi na baba yake kwamab kwenda kwa nyanya yake ila nyanya yake dai yeye akukaa hata saa moja akaondoka hata jui alikuwa wapi na yeye rudi nyumbani saa tatu usiku”
“Rahma jana ulikuwa wapi?”
Mwalimu wa zamu alimuuliza Rahma na kunifanya nianze kuogopa kwani sikujua Rahma atajibu kitu gani kwani kili nilipomtazama usoni nikahisi ataitoa siri
“Sir jana mimi nilikwenda kwa bibi ila nikawahi kuondoka wakati ninarudi nikakuta kuna ajali ile barabara ya Mwahako basi pale nilitumia kama masaa mawili tukisubiri wagari yaliyopata ajali yatolewe barabarani…….Baada ya hapo nikaendelea na safari yangu….Nikiwa njiani gari ikapata pancha sikuwa na jinsi zaidi ya kumpigia fundi ninayemjua atoke huku mjini hadi sehemu mimi nilipo kufika kwanza akawa hana vifaa ikamlazimu arudi tena mjini ndio aje na kifaa cha kugungulia tairi za gari nililo kuwa nalo.Mpaka tunamaliza ni saa mbili usiku”

Uongo wa Rahma ukafanania na ukweli nikajikuta nikishusha pumzi kidogo nguvu zikaanza kunirejea.
“Jana nimemuelewesha baba akanielewa sasa sijui kwanini mama yeye amekuwa mbishi….”
“Malimu hii toto anza tabia ya vivu leo hadi amsha na makofi si kazi ndogo”
“Sawa mama hilo tutalifanyia kazi”
“Mimi malimu taka huyu kula bakora tano za nguvu kesho yeye menyewe atakumbuka wahi shule”
“Sawa”
“Taka ona mbele yangu wewe chapa hii toto zembe”
Mwalimu wa zamu akanyanyuka na kufungua kaati ambalo tunahifadhia fimbo akatoa fimbo moja ya mti wa mpera ambayo imekaukavizuri na kukaa katika kiti chake.
“Rahma chukua hii fimbo nenda pale kwa Sir Eddy akakuchape mimi mkono wangu unaniuma.Sir Eddy hembu nichapie huyo mualifu kwa niaba yangu”
Mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio kwani tangu nianze kazi yangu ya uwakimu sikuwahi kumchapa mwanafunzi wa aina yoyote na mbaya zaidi mwanafunzi ninaye anza kumchapa ndio kiburudisho cha roho yangu.Rahma akanipa fimbo huku akinikonyeza
“Wewe kijana taka chapa Rahma fimo za nguvu usimlezee kabisa”
Mama Rahma alizungumza na kuzidi kuigopesha.Nikimtazama Rahma usoni ananiambia nimchape kidogo kidogo kwa sauti ya chini sana ambayo haikuwa rahisi kwa wengine kutusikia huku sura yake ikiwa imejaa huzuni,nikimuangalia mama Rahma ninamuona jinsi alivyo na shauku ya kuona mwanae ninamchapa
“Wee weka mkono vizuri ukikwepesha ninafuta ninaanza upya”
Nilizungumza kwa kujikaza huku Rahma akionekana kuwa muoga wa kuchapwa.Akanyoosha mkono wake,Nikashusha fimbo ya kwanza kwa nguvu kwenye kiganja chake na ku fanya Rahma kutoa kelele ya maumivu na kuanza kulia
“Weka weka vizuri mkono wako”
Rahma akauweka huku akinitazama kwa jicho la hasira,Nikashusha fimbo ya pili ikiwa na jazo wa nguvu kama fimbo ya kwanaza.Rahma akavivikicha viganja vyake kisha akaweka tena huku akionekana kununa na sura yake kubadilika na kujawa na hasira.Fimbo ya tatu ikatua katika kiganjani Rahma hakuosogeza kiganja chake,Fimbo ya nne na ya tano zote zikamwingia katika kiganja chake huku zikiwa na ujazo sawa.Akaushusha mkono wake akaniangalia kwa sekude kadhaa huku akinipandasha na kunishusha pasipo waalimu wala mama yake kuona kwani aliwapa mgongo kisha akaondoka sehemu yangu na kurudi alipokuwa amesimama mwanzoni
“Nenda zako darasani”
Mwalimu wa zamu alimrihusu Rahma akaondoka na kuniacha nikiwa ninajiuliza sijui nitatumia mbinu gani kumtuliza Rahma kwani tayari nimesha jichafulia C.V.Mama Rahma akasimama na kuja nilipokuwa nimekaa na kunifanaya nistuke kidogo
“Malimu wewe onekana upo serious na kazi yak😵mba wewe fwatii nyendo zote za huyu binti na ngoja patie wewe namba yangu ya simu.Chochote mbaya anafanya julisha mimi ”
“Sawa”
Mama Rahma akanipa namba yake ya simu kisha akatuaga na kuondoka zake laity kama angejua ameniachia msala wala asingenipa hata hiyo nambay yake ya simu.Nikabeba vitabu vyangu na kuelekea darasani kwa kina Rahma ambapo kipondi cha somo langi la Biology ndia cha kwanza.Nikamkuta Rahma ameegemeza kichwa kwenye meza huku rafiki yake akimbembeleza.Wanafunzi wote wakasimama kunisalimia ila Rahma hakusimama zaidi ya kubaki kama nilivyo mkuta.Nikafundisha nilichopamga kukifundisha katika siku hiyo kisha nikatoka darasani huku nikumuavha Rahma akiwa katika hali yake
Kabla sijafika mbali kutoka darasa la kina Rahma mwanafunzi ambaye alikuwa anambembeleza Rahma aliniita na kuja hadi nilipo simama
“Sir kuna mzigo wako nimepewa na Rahma nikupatie”
Akanipa kikaratasi pasipo mtu yoyote kuona.Nikaondoka na kwenda ofisini nikaweka vitabu vyangu kisha nikaelekea chooni ili niweze kukisoma kikaratasi hivyo kwa shauku.Nikafunga malango wa chooni nikakitoa kikaratasi nilicho pewa na kuanza kukisoma
{EDDY…..EDDY……EDDY
Nimekuita jina lako kama lilivyo ili ujue nimekasirishwa na use**e ulionifanya.Wewe si mtu wa kuninyanyulia mkono wako na kunipiga mimi kisa umemuona mama yangu na ukajaa siifa hadi hilo bichwa lako likakaribia kupasuka.Tambua nimekuokoa katika mengi nilikuwa sishindwi kuwaeleza wazazi wangu kuwa wewe ndio unaye nit***a na ndio hapo ungejua kuwa baba yangu ni mtu wa aina gani.Umeona haitoshi ukanichapa mafimbo yako hadi hapa kiganja kilipo kimevimba.SASA WEWE SI UMEIANZISHA VITA BASI UMEIPATA NITAKUFANYIA KITU KIBAYA AMBACHO HUTOKUJA KUNISAHAU KATIKA MAISHA YAKO WEWE JANA SI ULINAIMBIA MDOGO WAKO ALIBAKWA NA KUFA MBELE YAKO SASA NA MIMI NITAHAKIKISHA NINATUMIA KIASI CHOCHOTE CHA PESA ILI NA WEWE UBAKWE MBELE YA MACHO YANGU NA WANAUME WEZAKO NA MIMI HIYO NDIO ITAKUWA MALIPO YANGU
BY:ONE ARMY LADY(msichna wa jeshi moja)}
Hadi ninamaliza kusoma kikaratasi nikajikuta mwili mzima ukimwagikwa na jasho huku mikono ikinitetemeka kama nimepigwa na shoti ya umeme.Sikujua hata nifanyenye niaanza kumlamu mwalimu wa zamu ni kwanini hakumalizana na Rahma yeye mwenye.Nikarudi ofisini kila story iliyokuwa ikipigwa ndani ya ofisi hiyo na waalimu wengine wala sikuzielewa kabisa na nikajikuta msongamano wa mawazo ukinipelekesha puta
“Sir Eddy una tatizo gani?”
Madam Zena aliniuliza na kuwafanya waalimu wote kuniangalia wakisubiria jibu langu
“Ahhaa kichwa kina nisumbua kidogo nahisi ni homa”
“Fanya ukapime kwani mbu wa Tanga hawana masihara kabisa katika kunyonya damu”
“Sawa”
“Madam nimekuelewa”
“Eddy au timu yako jana imefungwa ndio umekosa raha”
Mwalimu mwengine alinitania na kuwafanya wengine wacheke
“Wee Sir Sm hembu muache mwenzako si unaona anaumwa….Mwaya Eddy ukizidiwa sema nikupeleke kwako”
Kauli ya mwalimu Zena ikawafanya waalimu wengine kugua na kuanza kucheka na wakaendelea kutaniana.Nikapata wazo la kwenda darasani kwa kina Rahma kwani muda wa mapumziko bado haujafikia.Nikamuomba mwalimu niliye mkuta akifundisha aniitie Rahma.Jibu alili nipa likazidi kunichanganya
“Rahma aliniomba ruhusa kama dakika 20 zilizopita kwa jinsi anavyo onekana anaumwa sana”
“Asante mwalimu”
Nikarudi ofisini huku mawazo yakizidi kuniandama sikujua hata nifanyanye.Nikakusanya viti vyangu ambavyo ni muhimu nikaviweka kwenye begi langu na kuomba ruhusa kwa mwalimu mku.Madam Zena akaniomba anisindikize kwa kutumia gari yake ndogo.Sikuwa na kipingamizi zaidi ya kumkubalia.Nikamuelekeza hadi tukafika kwangu tukaingia ndani nikamkaribisha kinywaji Madam Zena taratibu akaanza kunywa
“Ehee Eddy kwako ni kuzuri mtu akiingia anaweza akasema umeanza kazi miaka mingi kumbe hata mwezi mwenyewe huna”
“Asante…”
“Unaishi na nani?”
“Peke yangu”
“Duu hongera sana ndugu yangu”
Simu yangu ikaingia meseji na namba iliyoleta meseji hito imeandikwa PRIVETE.Taratibu nikaanza kuisoma meseji hiyo
{NIPO NJE NAKUFWATILIA KILA HATUA NA HUYO MALAYA ZENA ULIYE NAYE NDANI KWAKO NITAMUUA UKISHUHUDIA}
Nikatamani ardhi ipasuke nidumbukie.Nikazidi kuchanganyikiwa pale Madam Zena aliponiaga anataka kuondoka ili akawahi kipindi chake cha kufundisha baada ya mapumziko ya saa nne asubuhi

ITAENDELEA
INVITE YOUR FRIEND TO LIKE THIS PAGE END YOU MAY SHARE THIS STRORY
USIKOSE KITABU CHA MY MOMY FRIEND KITAKACHOINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI


******TANGA RAHA******(10)
AGE………………………….18+
WRITER……………………..EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA
Simu yangu ikaingia meseji na namba iliyoleta meseji hiyo imeandikwa PRIVETE.Taratibu nikaanza kuisoma meseji hiyo
{NIPO NJE NAKUFWATILIA KILA HATUA NA HUYO MALAYA ZENA ULIYE NAYE NDANI KWAKO NITAMUUA UKISHUHUDIA}
Nikatamani ardhi ipasuke nidumbukie.Nikazidi kuchanganyikiwa pale Madam Zena aliponiaga anataka kuondoka ili akawahi kipindi chake cha kufundisha baada ya mapumziko ya saa nne asubuhi
ENDELEA
“Madam ninakuomba usiondoka please”“Kwa nini Eddy wakati nimesha kuleta hadi nyumbani?”“Na penda tu leo unipe kampan yako ya kukaa hapa kwangu nakuomba”
Madam Zena akajifikiria kwa sekunde kadhaa kisha akatoa simu yake na kupiga kwa mtu ila sikujua ni nani
“Sir Barongo”
“Nakuomba unishikie vipindi vyangu kaka yangu kama huto jali kidogo nimepata dharura”
“Nashukuru kaka yangu haya Mungu akipenda kesho”
Madam Zena akakata simu kisha akairudisha kwenye begi lake na kuniangalia huku aikitabasamu
“Sasaa hapa ninaweza kukaa kwa amani….Ehee mgonjwa una CD gani nzuri nzuri za movie”
“Kwa CD tu hapa utakesha”
Madam Zena akachukua makasha ya CD yaliyopo chini ya meza ya kioo na kuanza kuangalia kasha moja hadi jengine hadi akakuta kasha lililoandikwa PIRATE ON BLACK SEE akaitoa CD yake na kuiweka ndani ya deki kisha akarudi kwenye sofa na kukaa.Madam Zena akaanza kuguna baada ya CD hiyo kuanza kwani imeshamiri mambo ya kikubwa yanayo onyeshwa live bila chenga
“Sir Eddy hivi hizi CD unazitolea wapi?”“Kwa nini?”“Huwa ninazitafuta ila sizipati”
“Kuna maeneo ya pale forozi karibu na benki ya NMB kuna jamaa best yangu anaziuza”“Bei gani?”
“Elfu tatu”
“Basi kuna vijana walinipitishia wakaniuzia kwa elfu ishirini”“Dooo wamekutapeli hao”
“Tena wamenitapeli sana kwani CD lenyewe lina scratch kama nini”
“Basi nitakutafutia”
Madam Zena akaendelea kutazama CD huku akionekana kunogewa kwa jinsi watekaji wa meli katika CD hiyo wakipeana mambo matamu,Nikatazama Wallet yangu na kukuta nina pesa ya kutosha.
“Zena ngoja nikanunue chakula cha mchana”
“Haupiki?”“Sijisikii kupika”
“Lakini mimi si nipo ninaweza kupika”“Utapika siku nyingine ila nakuomba kama mtu yoyote akigonga usimfungulie hadi usikie sauti yangu”“Sawa ila ni kwanini?”
“Watu wa mtaa huu ni wasumbufu sana na wamesha anza kunizoea vibaya”
“Sawa au unaogopa vimanzi vyako vitakuja?”“Sina manzi wala nini wewe fanya kama nilivyo kuambia……………Nikuletee kinywaji gani?”“Kwanza unakwenda kununua nini….”
“Alafu sikukuuliza nikuchukulie chakula gani?”“Mimi niletee chipsi yai na kuku nusu nikipata na castel mbili baridi utakuwa umeifanya siku yangu ikawa powaaa”
“Powa nitafanya hivyo ila na wewe fanya kama nilivyo kuagiza usije ukafungua mlango”
“Sawa Eddy nimekuelewa”
Nikatoka chumbani kwangu na Madam Zena akaufunga mlango wangu kwa ndani lengo langu ni yeye kuweza kuwa katika hali ya usalama kwani kuna watu wameanza kunipa vitisho kwa njia ya meseji.Nikamsalimia bibi kizee mwenye umri kwa makadirio yangu unao fika miaka 70 hivi.Aliyekaa nje ya nyumba ya jirani na ninapo ishi
“Marahaba mjukuu wangu.Hujambo baba”
“Sijambo haya mimi ninapita”
“Sawa…..ila kijana nakuomba mara moja”
Nikamsogelea sehemu aliyokaa na akanionyesha sehemu ya kukaa huku macho yangu yakilichunguza eneo la hapo kwani mtu aliye nitumia meseji alidai yupo maeneo haya huku akijua nipo na nani ndani kwangu
“Kijana unaitwa nani?”
“Ninaitwa Eddy”
“Ahaaa Eddy mjukuu wangu inavyoonekana wewe ni mgeni hapa Tanga?”‘Ndio”
“Wewe ni mwenyejii wa mkoa gani?”
“Morogoro ila nimeishi sana Iringa”
“Ahaaa…….Eddy wewe ni sawa sawa na mwanangu au mjukuu wangu unapoenenda kinyume inanipasa nikurekebishe”
Nikaanza kujifikiria ni makosa gani niliyo yafanya hadi huyu bibi anasema anataka kunirekebisha
“Ndio bibi”
“Eddy mwanangu wewe unatabia moja ambayo unaifanya na inanishangaza sana na kunikera”“Tabia gani bibi yangu?”
“Eddy wewe unatabia ya kufungulia mredio wako kwa sauti ya juu na wala huangalii kama kuna nyumba za majirani.Mjukuu wangu mimi hapa ninaugojwa wa moyo sasa nikisikia ile midundo ya jiredio lako basi unaniweka katika hali mbaya kama nini”
“Sawa bibi nime kuelewa sinto fanya hivyo tena”
‘Itakuwa vizuri sana kama ukinielewa……Na kingine mjukuu wangu kuna wasichana jana usiku niliwaona wanaingia upande wa nyumba yako”
“Ndio alikuwa ni Mama Fatuma na rafiki yake kidogo jina limenitoka wanaishi mtaa wa hapo mbele”
“Swadataa huyo Mama Fatuma mimi ninamjua kwa jina lake alisi anaitwa Asha……Mjukuu wangu yule mwanamke hapa mtaani kwetu hana hata rafiki na isitoshe ni mwizi sasa wewe wakaribishe karibishe ndani kwako watakuibia wakurudise nyuma kimaeneleo”
“Kumbe ni waizi…..!!?
“Mjukuu wangu wala usiseme kidogo kigogo wale ni mijiwezi hapa mtaani watu wanashindwa kukuambia tu labda kutokana hawajakuzoea……..Na mtindo wao wale ni kuwawekea waname dawa inaitwa Limbwata hiyo huweka kwenye chakula ukila tuu unajikuta unampenda hadi anakukomba kila kitu ukija kustuka umebaki mtupu hata chupi za ndani utakuwa huna”

Hapo ndipo nikaanza kupata picha na kujiuliza ni kwanini jana Mama Fety(Fatuma) alimuagiza mwanae aniletee chakula pasipo yeye kuja na kwanini alipokuja usiku walikuja wawili wakawa wanapeana ishara za macho na mbaya zaidi alionekana mnyonge nilipokuwa nimemuambia sijanywa chai aliyoletwa asubuhi na akaanza kunilazimisha aende kunionyesha mjii
“Mjukuu wangu hayo maneno ninayo kuambia uyaweke akilini tena sana kwani wale mabinti si watu wazuri.Na wanakijana waoo mdogo hivi wa kiume mweusi mweusi sijui anaitwa nani..?”
“Jumaa”
“Eheee huyo huyo huyo huwa wanamtuma kwenda kutazama mazingira ya chumba cha mtu wakikuona unavitu vya thamani basi ndio ukaribu unaanza na mwisho wake ni kukupuna kila kitu ulicho nacho”
Nikashusha pumzi nyingi huku nikimtazama bibi na kila kitu anacho kizungumza ni kweli kimetokea kwani siku tu niliyonunua vitu vya ndani kwangu mtoto Jumaa aliniomba aje kuangalia mpira na sikujua ni nani aliye muambia kwangu nimenunua DSTV.
“Mjuukuu wangu hao wanawake si wazuri kabisa yaani watakutia matatizoni wakati wewe kijana bado mbichi unatafuta maisha……Ngoja kuna dawa nikuletee uwe unajipaka mikononi hata mtu mwenye nia mbaya na wewe hata weza kukudhuru kirahisi”
“Sawa bibi”
Bibi akanyanyuka kivivu vivu na kuingia ndani mimi nakabaki ninajiuliza maswali,Gafla maswali yote yakakata baadya ya kumuona mtu aliyevalia baibui ninja akimalizikia kuingia katika upandea wa nyumba yangu na nikajua moja kwa moja anaelekea chumbani kwangu kwani katika upande huo wa nyumba ninaishi peke yangu.Nikanyanyuka haraka na kuanza kupiga hatua za kueleka nyumbani kwangu huku nikijiuliza ni nani anaye kwenda ndani kwangu.Kitendo cha kufika usawa wa chumba changu naye mtu huyo akaingia ndani kwangu na mlango ukafungwa.Kwa haraka nikapiga hatua hadi mlangoni kwangu nikausukuma mlango nikakukta umefungwa kwa ndani.
“Zena…..Zena”
Nikaita mara mbili ila sikuitikiwa zaidi ya kuisikia sauti ya TV yangu.Nikagonga mara mara tatu mfululizo na mlango ukafunguliwa na Madam Zena huku akiwa anatabasamu ila macho yake yana uwekundu kiasi.
“Eddy vipi mbona high high kuna tatizo?”
Nikachungulia na kumuona Madam Rechol akivua baibui lake na kukaa juu ya sofa langu,Kidogo mapigo ya moyo yakatulia
“Ehhe mgojwa mboa unazunguka zunguka na jua si utajiongezea homa?”
Madam Recho alizungumza huku akinyanyuka kwenye sofa na kuja kusimama kwenye mlango
“Hapana nilikuwa nimekwenda kununua chakula”
“Sasa chakula chenyewe mbona hujaja nacho?”
“Ndio nataka niende hivi”
“Eddy saa zote hizo”
“Nisubirini ninakuja”
Nikaondoka na kuwaacha wakirudi ndani nikafika kwa bibi na kumkuta nje akishangaa shangaa
“Mjukuu wangu nilidhani umenitoroka”“Hapana bibi kuna rafiki yangu nilikwenda kumkaribisha”
“Sawa,sasa mwanangu haya mafuta ni ya mti wa mzaituni yametoka huko uarabuni ila haya mafuta nimeyachanganya na dawa nyingine za asili.Utakuwa unapaka kwenye viganja vyako kila asubuhi ukiwa unataka kutoka kwenda kwenye mishuhuliko yako”
“Asante bibi yangu”
Nikachukua kichupa kidogo na kukiweka mfukoni kisha nikatoa elfu kumi na kumpa kama asante japo mara ya kwanza alisita sita ila akaipokea
“Ukiwa na shida yoyote mjukuu wangu inayohusiana na tiba asilia usisite kuniambia”
“Sawa bibi yangu”
Nikaondoka na kwenda kwenye baa ambayo nilinunulia chakula juzi usiku.Nikatoa idadi ya saani ninazo zitaka kwa mpishi wa jikoni.Akaanza shughuli ya kunitengenezea chakula,Haikuchukua muda sana mpaka chakula kukamilika.Akanifungia kwenye mfuko mmoja mkuwa nikamlipa pesa yake na nikanunua bia za kopo kumi na mbili na soda mbili take away na kurudi nyumbani.
Nikiwa njiani ninarudi kwangu nikaona jamaa wawili wakinifwatilia kwa nyuma na kila nilipogeuka wakasimama na kujifanya wanafanya mambo yao.Nikaendelea huku nikianza kujiandaa kwa chochote watakachotaka kukifanya.Nikaongeza mwendo nao wakaongeza mwendo,sikuwa na wasiwasi sana kutokana nimefika karibu na nyumbani kwangu na eneo nililopo lina watu wengi wakiendelea na shughuli zao.Nikamkuta bibi nje kwake kwa kuwazuga nikaenda kukaa naye na jamaa wakapita huku wakinitazama kwa jicho la kuiba iba
“Wezi wengine walee vijana wawili walio ongozana waangalie miguu yao ilivyo mibaya”
Bibi alizungumza huku akiachia msunyo mkali na ikanibidi nicheke kwani jinsi sura yake alivyo iweka ikanipa nafasi ya kuyaona mapengo yake mdomoni kwake
“Huu mtaa una wezi ehee?”
“Ehhee ila hapa kwangu hawaibi”
“Kwa nini bibi?”“Ninawatoa vibusha wao wenyewe wananijua mimi ni nani”
Nikacheka na kumpa bibi soda moja kisha nikamuaga na kwenda nyumbani kwangu,nikagonga Zena akanifungulia mlango,Cha kushangaza nikamkuta Recho amejifunga taulo huku Zena akiwa amejifunga khanga moja
“Ehee wageni naona mumebadilisha mavazi?”
“Eddy huku ndani kwako kuna joto kama nini ndio maana Rechol akavaa taulo lako”
“Na wewe hiyo khanga umeipata wapi?”
“Niliikuta hapo chini ya sofa kwa upande wa chini imeanguka au ni ya wifi?”“Hakuana wifi wal nini….Movie haijaisha bado?”
“Bado hapa naona ikitupandisha midadi”
“Mmmmmm……… Jamani chakula nimekiweka kwenye mfuko mmoja na kama mtu utahitaji kula pekeyako nikutolee sahani kwenye kabati?”
“Tutakula humu humu kwani hakuna ubaya wowote tukila pamoja”
“Mmmm jamani kuwanunulia niwanunulie hata kuwatengea niwatengee?.Zena hembu nyanyuka utenge chakula”
“Yes Sir”
Sote tukajikuta tukicheka na Zena akanyanyuka na kuchukua jagi na bakulia akachota maji kwenye ndoo iliyop ndani kwangu kisha na kuanza kutunawisha mmoja baadaya ya mwengine
“Rechol kwangu umepajuaje?”“Zena alinipigia simu akanielekeza ndio nikafika”
“Ahaa kuna jipya gani shule?”“Hakuna chochote zaidi ya kuchoshana mishaara hawaitoi na sisi tutaendelea kutegea vipindi hivi hivi tuone kama mitoto yao haita feli”
“Ila Zena tunatakiwa kuwa na uvumilivu”“Eddy wewe unasema hivyo kutokana kazi umeianza juzi juzi sisi wenye miaka zaidi ya mitatu kazini hapa tunajionea maruwe ruwe tu”
Tukaanza kula taratibu na nikajikuta nikianza kujiuliza kuwa khanga aliyo ivaa Madam Zena ameingiaje ndani kwangu.Na ninani aliye ileta ndani kwangu nikakumbuka ilikuwa ni ghanga ya Saumu rafiki wa Mama Fety,Jana usiku walipokuja alikuwa ameishika mkononi huku akiwa ameikunja
“Eddy mbona upo kimya?”
“Kuna vitu nilikuwa nina vifikiria”
Simu yangu ikaita na namba inayopiga ni ngeni nikaiacha ikaita hadi ikakata,Ikapigwa tena aikanibidi niipokee ila nikakaa kimya.Nikasikia sati ya msichana akiwa analia
“Sir Eddy nakuomba unisamehee ile ilikuwa ni hasira tu yaani umeamua kuniumiza kwa kutemea na madam Zena”
Nikajua moja kwa moja ni Rahma ilizungumza huku nikimsikia akilia kwenye simu
“Wewe ni nani mwenzangu?”
“Sir Eddy yaani hata sauti yangu umeisahau Mimi ni Rahma”
“Yupi?”“Jamani Sir Eddy mbona unamakusudi Mimi Rahma mpenzi wako”
“Samahani dada utakuwa umekosea namba”“Eddy jamani si wewe tafadhali mpenzi wangu siwezi kuishi bila wewe nimejaribu kukutoa katika moyo wangu ila nikajua mimi ndio mwenye makosa ila tafadhali Eddy mpenzi wangu nakuomba unisamehe ehee”
“Tafadhali dada nakuomba tuheshimiane nakuambia utakuwa umekosea namba na huyo mtu unaye mpigia mimi wala simjui labda atakuwa anaishi nyumba ya jirani”
Nikakata simu kwa hasira na kuizima nikawafanya Madam Rechol na Zena kuanza kucheka hadi wakaacha kula chakula
“Mamaaa weee kumbe Sir Eddy unazungumzaga pumba kiasi hicho?”Madam Zena alizugumza huku akiendelea kucheka na kunifanya na mimi niungane nao kwenye kucheka.
“Yaani Eddy mtu akikuangalia usoni hivi atasema wewe bonge la mstaarabu kumbe pumba kama wewe hakuna…..Unamwambia mtoto wa watu eti mtu huyo anakuwa anaishi nyumba ya pili wakati humjui”
“Sir Eddy au umetia mbimba unakimbia majukumu?”
“Mimba wapi nyinyi wanawake munazingua”
“Ehhee jamani Eddy leo umenifurahisha…..Redio yako ni ina USB system?”
“Ndio..”
Madam Rechol akasimama na na kufungua pochi yake na kutoa FLASH kisha na kuichomeka kwenye redio akachukua rimoti na kuanza kuchagua mziki na kusikiliza na kuweka mziki unaoitwa ‘ALAJI’ na kuanza kucheza huku akiongeza sauti na kuanza kucheza huku akiyatingisha makalio yake huku ametuelekezea sisi
“Eddy umemuona mtoto huyo huko kwenu haya mambo yapo?”“Yapo wapi nayajulia huku”
Mlango wa ndani kwangu ukagongwa nikajikuta nikipandwa na hasira nikijua lazima atakuwa ni Rahma nikanyanyuka na kwenda kuufungua.Nikamkuta ni bibi wa nyumba ya jirani amesimama kwa sura ya hasira huku mdomoni akiwa ameweka ugoro.
“Eddy mbona nataka tuuane wana wa mwanaume mwenzio?”“Kwa nini bibi?”“Si nimekuambia huo mredio wako unanipandisha mapresha”“Haaa samahani bibi……..Wee Recho punguza sauti ya redio”Suti ikapunguzwa na ikawa ya kawaida bibi akaniaga na kuondoka,Nikiafunga mlango na kujitupa kwenye sofa
“Eddy na wewe hivi vijibibi umevitolea wapi vinawanyima watu raha zao?”
“Hembu mwacheni bibi wa watu mwenyewe anadai ana ugonjwa wa moyo”“Si afe kwani anasubiri nini……”
“Zena acha dharau je wewe si ufe kwani unasubiri nini?”
Recho akaongeza sauti ya redio hadi mwisho na kuipunguza haraka haraka na kunitazama usoni.Sikujua na jinsi kwani tayari pombe za mchana zimewachanganya.Recho akaendelea kucheza taarabu nayoimba ‘JAMANI NINA MWAGA RADHI’ huku wengine wakiitikia ‘MWAGAAAA’
Zena akawa anafungua taulo na kulifunaga.Mlango ukagongwa tane nikajua bibi amerudi tena,nikasimama na kwenda kufungua mlango.Moyo ukanistuka baada ya kumkuta ni Mama Fety amesimama huku akihitaji kuingia ndani kwangu

ITAENDELEA kesho saa tano asubuhi
INVITE YOUR FRIEND TO LIKE THIS PAGE END YOU MAY SHARE THIS STRORY
USIKOSE KITABU CHA MY MOMY FRIEND KITAKACHOINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
 
ntashangaa sana huyu dogo kama hatapata bonge la yai
nasubiri uhondo zaidi
 
Hongera sana story nzur,ila unatuonea wanawake bana kila mahali maharage ya Mbeya.lol

Hshahahaha! Mbona sisi anatuchoresha wanaume kwamba hatuna msimamo, kwamba tunaweza kufanya chochote mahali popote muda wowote na she yeyote hata kama ndo tumrjuana dakika hiyo
 
Hshahahaha! Mbona sisi anatuchoresha wanaume kwamba hatuna msimamo, kwamba tunaweza kufanya chochote mahali popote muda wowote na she yeyote hata kama ndo tumrjuana dakika hiyo

Hahahahaha!!! Atleast nyie ni mwanaume mmoja ndo anafanya hayo, duh kuliko sisi kila mahali wanawake ndo wanajirahisisha kwa Eddy.
 
Back
Top Bottom