Hot talk na Heaven on Earth live

Hot talk na Heaven on Earth live

haha mbona bado sijaanza babu week ijayo naomba uwe mgeni wangu rasmi ukikataa najiblock serious me lols

teh teh ndio uchokozi wenyewe huo...

sorry kipenzi, hilo suala lipo nje ya uwezo wangu na wala usijiblock...

natamani ningekuunga mkono katika hilo...
 
teh teh ndio uchokozi wenyewe huo...

sorry kipenzi, hilo suala lipo nje ya uwezo wangu na wala usijiblock...

hahaha kiti nitakipoza hakitakuwa cha moto sana babu wanahot talk wanataka uhojiwe
 
wanaotaka watu8 ahojiwe walike hii post hii zikifika like nyingi tutakuteka babu lol

Tatizo unamuombea kwenye kadamnasi hebu mfate chemba uone kama atakutolea nje huyo kibabu wako
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa wapi kuyasema hayo kipindi yupo online?Mie napendaga yani nikiwa namtaka mtu najitokeza no matter what sasa wewe unajifichaaa????

huyu mtt anahitaji TIMING haki ya mungu mwaka huu ukiisha sijafanikiwa; narudi kwetu TANGA nitajua nini cha kufanya labda kuna mahali nakosea
 
Hahahaa kweli waswahili walisema akutukanae hakuchagulii tusi. Kibamia!!!!!! Japo panasemwa kuwa unaweza kumuu tembo kwa kisu cha mfukoni mandhali uwe unajua tu namna ya kukitumia but i dont fall in that group.

all in all nakubali tunaishi dunia mbili tofauti ukishalamba chumvi uanaume una baki kwenye nini tena? Thanks that i am a man enough.

HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Hiko KIBAMIA UKIJITAHIDI SANAA KIMBILIMBI Umpige nacho mtu katerero!!!!!!!!!!!!!!! Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Usichekeshe walionuna! HIVI HIO SCENE YA KIMBILIMBILI UNAJITUTMUA UNAKISAIDIA NA VIDOLE KUPIGA KATERERO! Hahahaaaaaaaaaaaaa! SI UTAJIAIBISHA MDOGO WANGU!

Nyie ndo wale asubuhi mtu anaasambaza mtaa mzima, kimbilimbi kile, shombo shombo! Una aibika bure KUJIFNYA TERMINATOR MANDINGO MZEE WA KAZI, HESHIMA DUDU kumbe unajaribu tu kisa ulisikia kijiweni katerero! Katetrero ilikuwa zamani watu wanakula nyama kwa ndizi, dushe dushe kweli, sio saivi chipsi yai! Alaaaaaaaaaaa! Unamkuta mwanamke wa kihaya, mashallah, mashallah zigo hilooo na hiko kibamia katerero lazima uchemshe.

Ila ukiwa smart kichwani unazama tu, ukiibuka kimbilimbili, vidole, chochote kitachokupa ushindi twende. Mwenye anastuka yuko anga za 7, kilichotokea siri yako. Shauri yako! DAWA YA WOGA KUUKABILI! Zama chumvini mpaka ukuzoee!
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
scary-smiley-screaming-emoticon.gif
 
Back
Top Bottom