Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,622
Naomba next week mdhamini mkuu awekwe kikaangoni tujue ilikuwaje hadi akaamua kuinvest humu.....lol
Tutampangia mtu wa kumuhoji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba next week mdhamini mkuu awekwe kikaangoni tujue ilikuwaje hadi akaamua kuinvest humu.....lol
Tutampangia mtu wa kumuhoji
marhaba...habari ya kuuliza maswali magumu wenzio?
Nasubiri kipindi kiishe braza niondoke na mtangazaji
maswali mengine atajibu kesho yuko na le shemeji muda huu we single nn mbona hulali
Nzuri babu nilidhani utapewa second chance lol
Nzuri babu nilidhani utapewa second chance lol
hahaha...!!!
naona waendeleza tena uchokozi sio...
Mi nashauri uwe unamtaja kabisa mgeni wa wiki inayofuata ili tujipange kimaswali.mfano Leo ungetuambia mgeni Wa next week
haha mbona bado sijaanza babu week ijayo naomba uwe mgeni wangu rasmi ukikataa najiblock serious me lols
Ila wana hot talk wanamtaka le mutuzhahhaa watakimbia wengine waoga u know
teh teh ndio uchokozi wenyewe huo...
sorry kipenzi, hilo suala lipo nje ya uwezo wangu na wala usijiblock...
Watu wengine wanapenda sifaa!!
maswali mengine atajibu kesho yuko na le shemeji muda huu we single nn mbona hulali
hahaha kiti nitakipoza hakitakuwa cha moto sana babu wanahot talk wanataka uhojiwe
wanaotaka watu8 ahojiwe walike hii post hii zikifika like nyingi tutakuteka babu lol
wanaotaka watu8 ahojiwe walike hii post hii zikifika like nyingi tutakuteka babu lol
Ulikuwa wapi kuyasema hayo kipindi yupo online?Mie napendaga yani nikiwa namtaka mtu najitokeza no matter what sasa wewe unajifichaaa????
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Hiko KIBAMIA UKIJITAHIDI SANAA KIMBILIMBI Umpige nacho mtu katerero!!!!!!!!!!!!!!! Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Usichekeshe walionuna! HIVI HIO SCENE YA KIMBILIMBILI UNAJITUTMUA UNAKISAIDIA NA VIDOLE KUPIGA KATERERO! Hahahaaaaaaaaaaaaa! SI UTAJIAIBISHA MDOGO WANGU!
Nyie ndo wale asubuhi mtu anaasambaza mtaa mzima, kimbilimbi kile, shombo shombo! Una aibika bure KUJIFNYA TERMINATOR MANDINGO MZEE WA KAZI, HESHIMA DUDU kumbe unajaribu tu kisa ulisikia kijiweni katerero! Katetrero ilikuwa zamani watu wanakula nyama kwa ndizi, dushe dushe kweli, sio saivi chipsi yai! Alaaaaaaaaaaa! Unamkuta mwanamke wa kihaya, mashallah, mashallah zigo hilooo na hiko kibamia katerero lazima uchemshe.
Ila ukiwa smart kichwani unazama tu, ukiibuka kimbilimbili, vidole, chochote kitachokupa ushindi twende. Mwenye anastuka yuko anga za 7, kilichotokea siri yako. Shauri yako! DAWA YA WOGA KUUKABILI! Zama chumvini mpaka ukuzoee!![]()
![]()
![]()
![]()