HOT THREAD: (wamaliza visaani)tutume picha au video fupi zinazoonyesha umefikisha speed ya gari mpaka mwisho

HOT THREAD: (wamaliza visaani)tutume picha au video fupi zinazoonyesha umefikisha speed ya gari mpaka mwisho

Yes..! Hiyo hiyo..
Hio ipo fresh kisahani ulikimalizia njia ipi hio? Mimi naikubali sana Caldina GT four sema yenyewe haina manual version...na conversion yake transmission ni ngumu sana kuzipata
 
Aisee hiyo ilikuwa katikati ya Morogoro na Dodoma..!
Hiyo gari tamu..
Unaweza tafuta Second Gen yake ilikuwa na manual.. ST215..!
 
Back
Top Bottom