Hot topic abt engineering

Hot topic abt engineering

Acha utani chali yangu,PCM ndo wako nondo physics.PCB wako nondo kwenye kemia.

Umeona ee mi nashangaa tu .. Sijui kaonea wapi PCB wako fit kwenye chemistry hilo nakubali, bt cio physics
 
duh wakubwa wanaipinga PCB
Hapa sio bure kuna kitu! Unajua pcb ni ngumu kuliko pcm kama mtu alimudu pcb hawezi shindwa engineering mpo hapo! Mimi anko wangu alisoma pcb na chuo akachukua bcs ya telecom sasa yupo airtel anakula tano!
 
Telecom ya kimama sana,haina tofauti na IT ambayo hata EGM wanapiga.Issue ni kwenye engineering coarses za kigumu kama Civil,Mechanical,Mining n.k.But kwa nchi za wenzetu hata pcm anaweza piga medicine japo ni kwa miaka mingi.
 
Simply engineering inamaana kudesign. Suala linakuja how you can design.? Na principle za designing yoyote ile lazima uanzie kwenye nature na fulfilment ya scientific laws.

Each of the science (physics, chemistry, Biology) subjects with nature kwa kuspecialize kwa upande wake. Na zote zinasaidiwa kuichambua nature kwa msaada wa Mathematics. Mathematics ana interact with all the science subjects.

So far as mtu anauwezo wa kuelewa kwa umaana wake any of the science subjects, inamaana anauwezo wa kufanya designing kama akistick katika principles za somo husika la science.

As long as ana elewa hesabu na logics zake, na pia anauwezo wa kufikiri beyond borders. He/she can be termed as an engineer. Wengi wanaosoma science wanakariri na hawaelewi logic behind ya wanachokisoma.

Unakuta mtu anauwezo mzuri wa kusolve maswali ya topic kama "vector" lakini haelewi what is behind na real application of it. Unakuta mwanafunzi wa engineering anasolve vyema maswali kama ya partial differentials, boundary solutions, double & triple intergrals, linear programming, schrodinger's theorem n.k lakini haelewi what is behind logic ya yote hayo na mwisho wa siku anataka kuja kuwa engineer(designer) mzuri. Hili jambo haliwezekani na ni sawa na kutaka kukusanya ambapo hukutawanya.

Kwa ugumu wa course za chuo ni ziko kama ifuatavyo.

1. Medical doctor(MD)
2. Engineering
3. Law

So how come mtu asome MD kozi ambayo inaaminika ni ngumu kuliko hiyo engineering na amalize na kufaulu then uje useme hawezi kusoma engineering.?

Wengi wenu mnaongea kiushabiki na hamna facts za kutosha. as long as mtu anaelewa physics, na yupo willing kusoma engineering whatever the combination ameisoma, mimi naimani mtu huyo anauwezo wa kusoma, kuelewa na kufaulu engineering course provided that anakuwa subjected katika mazingira yatakayompa kucover sylabus ya engineering husika (includes lecture nzuri, books, Practicals za kutosha). Ila utakuja kuona Malecturer wengi wanafanya elimu kuwa ya kukomoana na sehemu ya kuonesha ya kuwa wao wanajua zaidi kuliko wanaowafundisha.

Kwa hali hii taifa haliwezi kupata wasomi bora na wahitimu bora wa engineering. Pia wengi wa wanafunzi wa engineering Tanzania husoma engineeriing kama kufuata mkumbo, ama kwa kuwa wamekosa alternatives nyingine. Na wanakuwa hawako willing kudeliver their best for engineering.
 
How comes biology ikawa ngumu kuliko namba . Anza kucheck history ya matokeo ya nyuma mpaka sasa, utagundua somo ambalo watu wanaongoza kwa kufeli ni MathemAtics .. na sio biology .. ndo maana idadi kubwa ya watu hukimbilia Biology maana wengi wao ni vilaza wa namba ( Sio wote\) na mwisho wa siku wanajikuta wanapata Cut off point ndogo, sababu walienda kusoma PCB sio kwa kupenda bali kwa lengo la kukwepa Mathematics
 
Mwanangu umetoa bonge la point.Na ajiulize kwa nini wasichana wanapiga sana PCB kuliko PCM.Pure math kitu kingine kile,huwezi kuilinganisha na bios ya kumeza.
 
Simply engineering inamaana kudesign. Suala linakuja how you can design.? Na principle za designing yoyote ile lazima uanzie kwenye nature na fulfilment ya scientific laws.

Each of the science (physics, chemistry, Biology) subjects with nature kwa kuspecialize kwa upande wake. Na zote zinasaidiwa kuichambua nature kwa msaada wa Mathematics. Mathematics ana interact with all the science subjects.

So far as mtu anauwezo wa kuelewa kwa umaana wake any of the science subjects, inamaana anauwezo wa kufanya designing kama akistick katika principles za somo husika la science.

As long as ana elewa hesabu na logics zake, na pia anauwezo wa kufikiri beyond borders. He/she can be termed as an engineer. Wengi wanaosoma science wanakariri na hawaelewi logic behind ya wanachokisoma.

Unakuta mtu anauwezo mzuri wa kusolve maswali ya topic kama "vector" lakini haelewi what is behind na real application of it. Unakuta mwanafunzi wa engineering anasolve vyema maswali kama ya partial differentials, boundary solutions, double & triple intergrals, linear programming, schrodinger's theorem n.k lakini haelewi what is behind logic ya yote hayo na mwisho wa siku anataka kuja kuwa engineer(designer) mzuri. Hili jambo haliwezekani na ni sawa na kutaka kukusanya ambapo hukutawanya.

Kwa ugumu wa course za chuo ni ziko kama ifuatavyo.

1. Medical doctor(MD)
2. Engineering
3. Law

So how come mtu asome MD kozi ambayo inaaminika ni ngumu kuliko hiyo engineering na amalize na kufaulu then uje useme hawezi kusoma engineering.?

Wengi wenu mnaongea kiushabiki na hamna facts za kutosha. as long as mtu anaelewa physics, na yupo willing kusoma engineering whatever the combination ameisoma, mimi naimani mtu huyo anauwezo wa kusoma, kuelewa na kufaulu engineering course provided that anakuwa subjected katika mazingira yatakayompa kucover sylabus ya engineering husika (includes lecture nzuri, books, Practicals za kutosha). Ila utakuja kuona Malecturer wengi wanafanya elimu kuwa ya kukomoana na sehemu ya kuonesha ya kuwa wao wanajua zaidi kuliko wanaowafundisha.

Kwa hali hii taifa haliwezi kupata wasomi bora na wahitimu bora wa engineering. Pia wengi wa wanafunzi wa engineering Tanzania husoma engineeriing kama kufuata mkumbo, ama kwa kuwa wamekosa alternatives nyingine. Na wanakuwa hawako willing kudeliver their best for engineering.

Ni kweli mkuu,lakini kumbuka huwezi kuwa engineer mzuri kama huna talent hiyo.Kuimudu MD haiwezi kuwa sababu ya kuiweza Engineering.Kuiweza phy haiwezi kuwa sababu ya kukufanya kuweza kisw.What matter here is just a talent,sema tu tatizo watu wengi hukosea kuchagua kombi zinazoendana na vipaji vyao.Utakuta mtu ana kipaji cha ujenzi then kwa kutaka ajira ya fasta anaenda kupiga pcb ili awe daktari baadaye,matokeo ndo hayo,tunazalisha wataalam vilaza.
 
Mwanangu umetoa bonge la point.Na ajiulize kwa nini wasichana wanapiga sana PCB kuliko PCM.Pure math kitu kingine kile,huwezi kuilinganisha na bios ya kumeza.

Biology ka ukimeza Structure ya protein ni ile ile miaka nenda rudi ,., Ila namba da inahitaji uwe active all the time, maana inachange mda wowote,., the is no formula like in biology any method can reach you to a answer
 
Ndo maana watanzania wanasema HISABATI NI JANGA tangu primary hadi secondary.Ila all in all,engineering yahitaji kipaji.AN ENGINEER CAN BE ANY BODY BUT NOT ANY BODY CAN BE THE ENGINEER.
 
hivi ili usome barchelor za engineering lazima upitie PCM!
NA KAMA PCM NDO ANASTAHILI NI FULCUT ZIPI ZITAMSUMBUA PCB? AU AKIKAZA MAMBO SAWIA..
NIPENI MTAZAMO WENU!

Jiulize kwanza,ILI USOME KOZI ZA AFYA NI LAZIMA UPITIE PCB,CBG NA CBA?Na kama PCB,CBG NA CBA ndo anastahili ni kozi zipi zitamsumbua PCM?Pia jiulize,ili usome Bachelor of art in history ni lazima usome kombi zenye history?PIA JIULIZE,KOMBI ZILIWEKWA ILI IWEJE?Mwisho jiulize,WALIOWEKA VIGEZO KTK KUSOMA KOZI MBALI MBALI WALIVIWEKA KWA NINI? Mwisho naamini utakuja kugundua kuwa,somo achukualo mtu A level ndo litakalo muandaa mtu huyo kuimudu kozi flani. Mwisho,kwa mtazamo wangu kozi za eng zitakazomsumbua pcb ni kama Mechanical,Civil,Automotive,Electrical,Mining eng n.k.UKIWIWA KUWA ENGINEER,SOMA PCM AU PGM,USIKWEPE P/MATHS.Over!
 
Telecom ya kimama sana,haina tofauti na IT ambayo hata EGM wanapiga.Issue ni kwenye engineering coarses za kigumu kama Civil,Mechanical,Mining n.k.But kwa nchi za wenzetu hata pcm anaweza piga medicine japo ni kwa miaka mingi.

How come useme telecom ya kimama.? What makes hizo kozi (civil,mechanical n.k) za kigumu.? Ni kwa kuwa civil kazi zao most wanashinda outdoor.? Ama ni kwa kuwa mech engineer anashinda kwenye machines zenye kelele.?

Wewe kama ni mwanafunzi wa engineering ama umehitimu engineering, itakuwa ndio wale niliosema katika post yangu kuwa hawaelewi logics za engineering ama unaleta ushabiki katika facts. Hivi ushawahi kujiuliza ni jinsi gani kozi za engineering zimekuwa designed.?

Kwa kukusaidia acha nikupe hints kidogo, kwa sylabus ya Alevel TZ, mwanafunzi anayesoma physics huwa anasoma topics nyiingi sana. So anapomaliza na anapokwenda chuo kusoma engineering ni kwamba anachaguliwa masomo yanayorandana kwa ukaribu na hupewa jina la kozi. Mfano ukisoma civil engineering tegemea kukutana na muendelezo wa (mechanics, waves n.k), kwa mtu wa telecom yeye ataendelea na topic za magnetism, electronics, electrical kidogo, kwa mtu wa mechanical ni mechanics, heat waves kidogo. Mwisho wote hawa husoma hesabu ili wapate kuelewa na kufanya maisha ya physics kuwa rahisi. Hayo ni kwa uchache tuu.

So how come useme telecom ni ya kimama ikiwa contents ziundazo kozi ya telecom ni different na zile ziundazo civil.? Kwa taarifa yako now days hizi kozi zinaingiliana kwa kiasi kikubwa. Mfano, mtu wa civil anatumia total station katika kazi zake, unajuaanaweza kuwa amedesign total station.? Watu wa survey hutumia theodeolite, je theodeolite imedesigniwa na engineer wa discpline gani kwa kiasi kikubwa.? Tunashugudia siku hizi magari yamekuwa mordenised na kutegemea electronics na electrical sana katika uendeshwaji na utengenezwaji wake. Bila telecom/electrical hakika ndege, rockets zisingepaa kwa ufasaha kama zilivyo sasa. Hii yote ni kutaka kusema kwa sasa kozi zote za engineering hutegemeana ili kukamilisha engineering.

Hapo hapo unasema IT/Comp science ni kozi za kimama huku kila siku unafurahia kutumia internet, telecom networks na computer katika ufanyaji wako wa kazi. Hivi unajua how software za archCAD unazotumia katika hiyo civil/architecture zinatengenezwa.? Unajua imewagaharimu kiasi gani kutengeneza GUI O.S kama windows XP.?

Nenda youtube na search for Worlds Megastructures na then ucheki how they have been constructed mpaka zikasimama na kuwa iconic structures katika dunia hii. then urudi hapa utoe clues za ulichokielewa.

Be proffessional, kila kozi inamaana yake ya uwepo wake. Kama umesoma engineering nadhani umesoma somo la engineering/proffessional ethics. Engineering ethics hazikubaliani na kilichomo katika post yako. Engineering ni zaidi ya unachokifikiria.
 
Define what is ENGINEERING kwanza then utajua kama PCB inahitajika hapo.pia tambua kuwa siku hizi elimu ni biashara ndo maana hata ukisoma PCB kuna vyuo vitakuruhusu usome engineering cha msingi ni kuwa unapay ada.....xo wewe ndo utajiju kama uko sahihi au la......vile unavyoona mtu wa PCM hajui biology basi vivyo hivyo mtu wa PCB hajui MATHS hata kama amesoma BAM.hata kama utafanikiwa kupata chuo shule yako itakuwa ngumu kama jehenam ingawa sijawahi kufika.ENGINEERING & BIOLOGY are incompartible
FYI
2008 kuna kijana alikuwa ana div 1.3 ya PCB na aliingia kwenye top ten ya tz. aliomba TE udsm alitoswa
 
naunga mkono hoja hamna coz ya kimama.
How come useme telecom ya kimama.? What makes hizo kozi (civil,mechanical n.k) za kigumu.? Ni kwa kuwa civil kazi zao most wanashinda outdoor.? Ama ni kwa kuwa mech engineer anashinda kwenye machines zenye kelele.?

Wewe kama ni mwanafunzi wa engineering ama umehitimu engineering, itakuwa ndio wale niliosema katika post yangu kuwa hawaelewi logics za engineering ama unaleta ushabiki katika facts. Hivi ushawahi kujiuliza ni jinsi gani kozi za engineering zimekuwa designed.?

Kwa kukusaidia acha nikupe hints kidogo, kwa sylabus ya Alevel TZ, mwanafunzi anayesoma physics huwa anasoma topics nyiingi sana. So anapomaliza na anapokwenda chuo kusoma engineering ni kwamba anachaguliwa masomo yanayorandana kwa ukaribu na hupewa jina la kozi. Mfano ukisoma civil engineering tegemea kukutana na muendelezo wa (mechanics, waves n.k), kwa mtu wa telecom yeye ataendelea na topic za magnetism, electronics, electrical kidogo, kwa mtu wa mechanical ni mechanics, heat waves kidogo. Mwisho wote hawa husoma hesabu ili wapate kuelewa na kufanya maisha ya physics kuwa rahisi. Hayo ni kwa uchache tuu.

So how come useme telecom ni ya kimama ikiwa contents ziundazo kozi ya telecom ni different na zile ziundazo civil.? Kwa taarifa yako now days hizi kozi zinaingiliana kwa kiasi kikubwa. Mfano, mtu wa civil anatumia total station katika kazi zake, unajuaanaweza kuwa amedesign total station.? Watu wa survey hutumia theodeolite, je theodeolite imedesigniwa na engineer wa discpline gani kwa kiasi kikubwa.? Tunashugudia siku hizi magari yamekuwa mordenised na kutegemea electronics na electrical sana katika uendeshwaji na utengenezwaji wake. Bila telecom/electrical hakika ndege, rockets zisingepaa kwa ufasaha kama zilivyo sasa. Hii yote ni kutaka kusema kwa sasa kozi zote za engineering hutegemeana ili kukamilisha engineering.

Hapo hapo unasema IT/Comp science ni kozi za kimama huku kila siku unafurahia kutumia internet, telecom networks na computer katika ufanyaji wako wa kazi. Hivi unajua how software za archCAD unazotumia katika hiyo civil/architecture zinatengenezwa.? Unajua imewagaharimu kiasi gani kutengeneza GUI O.S kama windows XP.?

Nenda youtube na search for Worlds Megastructures na then ucheki how they have been constructed mpaka zikasimama na kuwa iconic structures katika dunia hii. then urudi hapa utoe clues za ulichokielewa.

Be proffessional, kila kozi inamaana yake ya uwepo wake. Kama umesoma engineering nadhani umesoma somo la engineering/proffessional ethics. Engineering ethics hazikubaliani na kilichomo katika post yako. Engineering ni zaidi ya unachokifikiria.[/QUOTE
 
Umesomeka mkuu,pia sorry kwa ile kauli yangu(kimama) na hongera kwa kureply kisomi tofauti na wengine ambao wangeanzisha ligi.Hebu turudi kwenye mada, hebu nikuulize mkuu,je pcb ni liable kupiga engineering courses au pcm ndo far better than pcb?
 
Back
Top Bottom